Ukweli usemwe Yanga wamefika mwisho, ligi ya mabingwa sio lelemama

Baada ya kuandika uhalisia,unaandika ushabiki,penye ukweli andika ukweli,kwenye ushabiki andika ushabiki,kama hapa umeandika ushabiki baada ya ukweli.
Wana Simba mna chuki sana nyie.yotebhayo Kwa sababu ya goli tano tu.
 
Yanga inachokosa ni uzoefu wa CAF champion league lakini kwa sababu ya uongozi bora chini ya rais Hersi Said watawashangaza wengi robot finalise wanafika tena kwa pints 12 na kuongozq kundi
Kupata hivi vituko unavyoongea unabonyeza ngapi ngapi?
 
Ni kweli
 
Sisi tunaota hivi, na itakuwa.

Waalgeria watashinda au kutoa suluhu na Waghana, na mechi mbili zilizobaki zote watapigwa ya Dar na ya kwao.

Waghana nao, watapigwa na Wamisri na kusuluhu na waalgeria.

Yanga itapigwa na Wamisri na kuwafunga waghana na waalgeria.

Idadi ya magoli ndiyo itakayoamua, au Yanga kuvuka kwa points 8 ambazo So Waalgeria wala Waghana watakaokuwa wamezifikia.

Ni ndoto tu tuyatamani itime.
 
Duh...kumbe Yanga ina misimu miwili tu tangu ianzishwe?
 
Walimu wana kazi sana mashuleni, kweli akili ni nywele ila wahenga hawakusema za eneo gani.
Kwa hiyo Yanga alikuwa hashiriki michuano ya kimataifa kipindi ambacho Simba alikuwa anazikisanya hizo pointi?
 
Marumo gallants hayupo kwenye group letu mkuu tupate walau ahueni....Hali Tete....[emoji119][emoji119][emoji119]
adriz huku kuna risiti nyingi sana. Nikumbushe hivi kwenye shirikisho kuna timu ilifungwa goli na Yanga kwenye hatua ya makundi? Maana nashangaa huku kwenye kichaka walichokuwa wanakitegemea mwarabu bingwa wa Algeria halmanusura ale mkono kwa Yanga.
 
Ni kweli yanga ni mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…