Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mwasibu upoooooMwarabu nibakie Utopolo mpaka apate maradhi
Habari za siku ndugu. Vipi hii ramli yako uliyoipiga imefikia wapiTwende kimahesabu tuache uchale, Yanga ana points 2, amebakisha mechi 2 za nyumbani, mwarabu na Medeama na anamalizia kwa Al Ahly.Anaweza kumfunga Medeama na mwarabu hapa nyumbani lakini kule Misri labda sare, akijitahidi saaaaana, hiyo sare yenyewe labda mwarabu awe amefuzu na mechi moja mkononi, otherwise tusidanganyane.
Al Ahly ana point 5 tayari, anamsubiri Yanga nyumbani, anatakiwa aende Ghana kwa Medeama na aende Algeria kwa mwarabu mwenzake, ina maana ana mechi 1 tu nyumbani na Yanga, mechi 2 anatoka nje.
Medeama ana mechi 1 nyumbani nayo ni dhidi ya Al Ahly, mechi 2 anatoka kwenda kwa Yanga na Mwarabu wa Algeria yaan CRB.Yanga iombe Medeama ifungwe na Al Ahly nyumbani ili ikapate unafuu kule Misri ila Al Ahly akifungwa pale Ghana, iwe jua iwe mvua lazima akoge kule Misri.Hata mkatoe misaada kwa yatima wote kule Misri kufa ni haki yenu.
CRB ana pointi 4 ss hv baada ya kusare nyumbani kwa Al Ahly leo, anamsubiri Medeama na Al Ahly kwao, kwa Medeama atachukua 3 atakuwa na saba, atachukua 1 au 3 kwa ahly ameshafuzu huyo.
Yaani no way out, Yanga lazima amfunge CRB na Medeama hapa kwa Mkapa vinginevyo ameyaaga mashindano abaki asubiri kucheza na akina Mashujaa na Ihefu na uchale mwingi nje ya uwanja.Semaji lenu lenye rangi nyeupe lilishasema mechi kule Ghana ni ngumu na michuano hii ni migumu jamani, haya mwenzenu mliyempiga 4 anacheza kesho.Kila la heri.
uliyemtegemea akulipie kisasi cha goli 5 naona naye kala 4. Tafuta bausa mwingine unayemuamini umleteMwarabu nibakie Utopolo mpaka apate maradhi
Mbumbumbu unaendeleaje... unaonaje huu umbumbumbu wakoTwende kimahesabu tuache uchale, Yanga ana points 2, amebakisha mechi 2 za nyumbani, mwarabu na Medeama na anamalizia kwa Al Ahly.Anaweza kumfunga Medeama na mwarabu hapa nyumbani lakini kule Misri labda sare, akijitahidi saaaaana, hiyo sare yenyewe labda mwarabu awe amefuzu na mechi moja mkononi, otherwise tusidanganyane.
Al Ahly ana point 5 tayari, anamsubiri Yanga nyumbani, anatakiwa aende Ghana kwa Medeama na aende Algeria kwa mwarabu mwenzake, ina maana ana mechi 1 tu nyumbani na Yanga, mechi 2 anatoka nje.
Medeama ana mechi 1 nyumbani nayo ni dhidi ya Al Ahly, mechi 2 anatoka kwenda kwa Yanga na Mwarabu wa Algeria yaan CRB.Yanga iombe Medeama ifungwe na Al Ahly nyumbani ili ikapate unafuu kule Misri ila Al Ahly akifungwa pale Ghana, iwe jua iwe mvua lazima akoge kule Misri.Hata mkatoe misaada kwa yatima wote kule Misri kufa ni haki yenu.
CRB ana pointi 4 ss hv baada ya kusare nyumbani kwa Al Ahly leo, anamsubiri Medeama na Al Ahly kwao, kwa Medeama atachukua 3 atakuwa na saba, atachukua 1 au 3 kwa ahly ameshafuzu huyo.
Yaani no way out, Yanga lazima amfunge CRB na Medeama hapa kwa Mkapa vinginevyo ameyaaga mashindano abaki asubiri kucheza na akina Mashujaa na Ihefu na uchale mwingi nje ya uwanja.Semaji lenu lenye rangi nyeupe lilishasema mechi kule Ghana ni ngumu na michuano hii ni migumu jamani, haya mwenzenu mliyempiga 4 anacheza kesho.Kila la heri.
Huyu ni popoma alaf😅Habari za siku ndugu. Vipi hii ramli yako uliyoipiga imefikia wapi
Hahahahahaha kwakua Yanga alimaliza pakiti ya condom kwako ? Haya na mwenzio nae kamaliza pakiti la condomMwarabu nibakie Utopolo mpaka apate maradhi
Mungu siku zote huwaumbua sana wachawi.Najua mnataka Simba ifeli ili tufanane. Yanga Ni Mtoto Sana kwa haya mashindano. Klabu bingwa si lelemama.
Yanga imetumia miaka 26 kukusanya pointi 2,Simba imetumia wiki 2 na mechi 2 kupata points 2.
Yanga wao Ni kukimbia tu uwanjani ili kuonekana wanaupiga mwingi. Hanna mipango. Approach ya kucheza na Geita,Dodoma jiji Ndiyo Hiyo hiyo wanaitumia klabu bingwa.
Na bado mechi ya marudiano tutawabaka 7Gamondi alikuwa anasafiria upepo wa Yanga ya Nani na upepo umeisha.
Ila Yanga ajitahidi tu awe anashika nafasi ya Pili au ya 3 ktk ligi ili akacheze shirikisho. Huku Ndiyo saizi yao.
Yanga Ni wadogo Sana mwenye klabu bingwa.
Kazi kukimbia hovyo uwanjani bila mipango Eti Ndiyo kuupiga mwingi.
Gamond hamna kocha mle!
vipi umeisha tawaza?Twende kimahesabu tuache uchale, Yanga ana points 2, amebakisha mechi 2 za nyumbani, mwarabu na Medeama na anamalizia kwa Al Ahly.Anaweza kumfunga Medeama na mwarabu hapa nyumbani lakini kule Misri labda sare, akijitahidi saaaaana, hiyo sare yenyewe labda mwarabu awe amefuzu na mechi moja mkononi, otherwise tusidanganyane.
Al Ahly ana point 5 tayari, anamsubiri Yanga nyumbani, anatakiwa aende Ghana kwa Medeama na aende Algeria kwa mwarabu mwenzake, ina maana ana mechi 1 tu nyumbani na Yanga, mechi 2 anatoka nje.
Medeama ana mechi 1 nyumbani nayo ni dhidi ya Al Ahly, mechi 2 anatoka kwenda kwa Yanga na Mwarabu wa Algeria yaan CRB.Yanga iombe Medeama ifungwe na Al Ahly nyumbani ili ikapate unafuu kule Misri ila Al Ahly akifungwa pale Ghana, iwe jua iwe mvua lazima akoge kule Misri.Hata mkatoe misaada kwa yatima wote kule Misri kufa ni haki yenu.
CRB ana pointi 4 ss hv baada ya kusare nyumbani kwa Al Ahly leo, anamsubiri Medeama na Al Ahly kwao, kwa Medeama atachukua 3 atakuwa na saba, atachukua 1 au 3 kwa ahly ameshafuzu huyo.
Yaani no way out, Yanga lazima amfunge CRB na Medeama hapa kwa Mkapa vinginevyo ameyaaga mashindano abaki asubiri kucheza na akina Mashujaa na Ihefu na uchale mwingi nje ya uwanja.Semaji lenu lenye rangi nyeupe lilishasema mechi kule Ghana ni ngumu na michuano hii ni migumu jamani, haya mwenzenu mliyempiga 4 anacheza kesho.Kila la heri.
uliyemtegemea akulipie kisasi cha goli 5 naona naye kala 4. Tafuta bausa mwingine unayemuamini umlete
Wakati wenzenu tunajizuia kuandika ujinga muwe mnajifunza.Twende kimahesabu tuache uchale, Yanga ana points 2, amebakisha mechi 2 za nyumbani, mwarabu na Medeama na anamalizia kwa Al Ahly.Anaweza kumfunga Medeama na mwarabu hapa nyumbani lakini kule Misri labda sare, akijitahidi saaaaana, hiyo sare yenyewe labda mwarabu awe amefuzu na mechi moja mkononi, otherwise tusidanganyane.
Al Ahly ana point 5 tayari, anamsubiri Yanga nyumbani, anatakiwa aende Ghana kwa Medeama na aende Algeria kwa mwarabu mwenzake, ina maana ana mechi 1 tu nyumbani na Yanga, mechi 2 anatoka nje.
Medeama ana mechi 1 nyumbani nayo ni dhidi ya Al Ahly, mechi 2 anatoka kwenda kwa Yanga na Mwarabu wa Algeria yaan CRB.Yanga iombe Medeama ifungwe na Al Ahly nyumbani ili ikapate unafuu kule Misri ila Al Ahly akifungwa pale Ghana, iwe jua iwe mvua lazima akoge kule Misri.Hata mkatoe misaada kwa yatima wote kule Misri kufa ni haki yenu.
CRB ana pointi 4 ss hv baada ya kusare nyumbani kwa Al Ahly leo, anamsubiri Medeama na Al Ahly kwao, kwa Medeama atachukua 3 atakuwa na saba, atachukua 1 au 3 kwa ahly ameshafuzu huyo.
Yaani no way out, Yanga lazima amfunge CRB na Medeama hapa kwa Mkapa vinginevyo ameyaaga mashindano abaki asubiri kucheza na akina Mashujaa na Ihefu na uchale mwingi nje ya uwanja.Semaji lenu lenye rangi nyeupe lilishasema mechi kule Ghana ni ngumu na michuano hii ni migumu jamani, haya mwenzenu mliyempiga 4 anacheza kesho.Kila la heri.
Enheeei unasemaje........Gamondi alikuwa anasafiria upepo wa Yanga ya Nani na upepo umeisha.
Ila Yanga ajitahidi tu awe anashika nafasi ya Pili au ya 3 ktk ligi ili akacheze shirikisho. Huku Ndiyo saizi yao.
Yanga Ni wadogo Sana mwenye klabu bingwa.
Kazi kukimbia hovyo uwanjani bila mipango Eti Ndiyo kuupiga mwingi.
Gamond hamna kocha mle!
Enheee rudi tuzungumze ulicho kiandika......Wewe nawe kama haujui mambo ya mpira bora ujikalie kimya heshima yako kidogo uliyonayo uendelee nayo.
Yanga hadi sasa kacheza mechi 3 kaambulia points 2. Bado mechi 3 zingine ambazo hata akishinda hawezi kufika points 12 unazosema wewe.
Kule kwa Al Ahly anakula kipigo, CRB anamkazia hapa nyumbani sare ama kipigo pia.
Huyo Medeama labda ndiyo timu pekee mnaweza kuifunga hapa nyumbani.
Habari ya asubuhiKwanza ktk hilo group UTOPOLO ndio kibonde.. yaan team zote zinamtolea macho yeye wachukue points hapo.
Kwema mkuuTusiongopeane wala kufarijiana kinafki ukweli ni kuwa mechi rahisi kwa Yanga ilikuwa ni hii
Kujipa hope kuwa utapata matokeo kwa Cr Belouzidad binafsi nafasi ya hilo kuwezekana naiona ni finyu sana.
Hata wenyewe sidhani kama wana hayo matarajio kwa asilimia kubwa. Focus ya Yanga kwa saizi naona ni bora kuweka nguvu kwenye NBC
Muhasibu Yanga hajafuzu badoView attachment 2917067
Acheni kunipigia kelele
Yanga wameshatoka CAF championsTusiongopeane wala kufarijiana kinafki ukweli ni kuwa mechi rahisi kwa Yanga ilikuwa ni hii
Kujipa hope kuwa utapata matokeo kwa Cr Belouzidad binafsi nafasi ya hilo kuwezekana naiona ni finyu sana.
Hata wenyewe sidhani kama wana hayo matarajio kwa asilimia kubwa. Focus ya Yanga kwa saizi naona ni bora kuweka nguvu kwenye NBC
Nachompendea mwasibu akisema kitu ni vice versaMwasibu upooooo