Ukweli usemwe, Yanga wametuacha Mbali sana upande wa Jezi

Ukweli usemwe, Yanga wametuacha Mbali sana upande wa Jezi

Tukiwaambiaga Simba hawawachukulii Yanga kama mshindani wao huwa hamuamini, mnataka ushahidi gani tena? Ndiyo maana tukio la jana lilikuwa simple sana halikuwa na mbwembwe nyingi. Nyie mmeokoteza mamodo wasiojua hata kusimama jukwaani, sisi tumeshusha jezi kwa drone, hatukuzi mambo wakati kuna mambo mengi muhimu zaidi ya kufanya.
[emoji2][emoji2][emoji2] yule jamaa aliepiga picha na yule dada ni nani?
 
Hivi Uongozi wa Simba kwanini usitoe masharti kwa Vunja bei yenye kumfanya atengeneze jezi zenye viwango vyao klabu kama Simba? Yaani kitendo cha kumpa mkataba ambao haumbani ndio kinachofanya tuletewe haya madekio ambayo hata sokoni yataenda kudoda.

Jezi hazina ubunifu wowote, jezi hazina ubora wowote yaani ni Bora liende tu. Kwa kuwa mtani kazindua jezi eti nayeye vunja bei ili asionekane yupo nyuma nayeye kaleta matambala yake sokoni..

Kiufupi vunjabei anapaswa ajitafakali maana jezi za hii miaka miwili ya udhamini wake ni takataka sana[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]View attachment 2509772
Sio utopolo kuzidi jezi tu na mpira pia tumewazidi Makolo mbali sana!! Diamond hashabikii vitu vibovu ni timu ushindi!
 
Back
Top Bottom