Ukweli usiofundishwa kuhusu rangi za Bendera ya Taifa (Tanzania)

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini

Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
 
Kwa hiyo hapo kuna shida gani?
 
Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini

Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
Ni wapi panapoeleza madini yanayokusudiwa ni dhahabu tu, na hata ingekuwa dhahabu je, dhahabu zote zinakiwango kimoja cha muonekano wa rangi? Nijuavyo ile njano inawakilisha madini yote yaliyomo ardhini.
 
Umesoma kweli? Au basi tufanye umesoma sawa lakini je, umeelewa?

Wapi nimesema kwamba madini yaliyokusudiwa ni dhahabu tu
 
Lo! Shida hii, hiyo kukusudiwa haikuhusu wewe inawahusu waliotengeneza bendera.
 
Back
Top Bottom