Kwa hiyo hapo kuna shida gani?Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini
Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
Ni wapi panapoeleza madini yanayokusudiwa ni dhahabu tu, na hata ingekuwa dhahabu je, dhahabu zote zinakiwango kimoja cha muonekano wa rangi? Nijuavyo ile njano inawakilisha madini yote yaliyomo ardhini.Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini
Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
Umesoma kweli? Au basi tufanye umesoma sawa lakini je, umeelewa?Ni wapi panapoeleza madini yanayokusudiwa ni dhahabu tu, na hata ingekuwa dhahabu je, dhahabu zote zinakiwango kimoja cha muonekano wa rangi? Nijuavyo ile njano inawakilisha madini yote yaliyomo ardhini.
Lo! Shida hii, hiyo kukusudiwa haikuhusu wewe inawahusu waliotengeneza bendera.Umesoma kweli? Au basi tufanye umesoma sawa lakini je, umeelewa?
Wapi nimesema kwamba madini yaliyokusudiwa ni dhahabu tu