Ukweli utakaojitokeza juu ya Hukumu ya Kesi ya Bernard Morrison ambao Msemaji Bumbuli na Mawakili Uchwara wa Yanga SC hawaujui

Sijawahi ona mkulya mpenda sifa kama huyu jamaa,ana sifa zote za kihaya.
 
Ya Pili ni kuhusu Viongozi wa Simba (na siyo Klabu ya Simba) Kumshawishi Mchezaji Bernard Morrison Kujiunga Simba SC kinyume na utaratibu.
Ya Pili ni kuhusu Viongozi wa Simba (na siyo Klabu ya Simba) Kumshawishi Mchezaji Bernard Morrison Kujiunga Simba SC kinyume na utaratibu.
kwa maneneo haya tu ata ww ujui unacho zungumzia hivi unaweza vipi tenganisha Simba na viongozi wa simba
 
Magori amelifafanua hili jambo vizuri sana ila utopolo na matakataka yanapotosha.
Morison ndiye aliishitaki yanga TFF kwa kusema wamefoji mkataba wake kwa maana alikuwa na mkataba wa miezi sita lakini wao yanga wakadaoi ameongeza mkataba wa miaka miwili.
Baada ya kesi kusikilizwa na kamati ya TFF iliona mkataba ulioletwa na yanga ulikuwa na kasoro hivyo walisema Morison yuko huru.
Kwa sababu yanga hawakuridhika na maamuzi ya kamati ya TFF walikata rufaa cas.
Hapa ndio upotoshaji unaanza, unapokata rufaa huwezi kuleta maombi mapya hivyo kesi iliyopo ni maombi ya rufaa juu ya mkataba wa Morison na Yanga na hapo Simba haihusiki hata kidogo.
 
Sasa Magori na CAS walio amua kuisikiliza kesi ya Yanga nani ana akili? Yaani mlinganisha Mbonde na mzungu, kesi ishasikilizwa kila mtu kaongea yake Agosti 24 tusubiri nani atashinda, hao hao wakina Magori wakiongozwa na yule jamaa yao waliokuwa wakimlipa MIA SABA, walisema hamna kesi, Wazungu wenyewe wa CAS wakasoma hoja za Yanga wakasema hapa kuna kesi ya msingi.

Huyo Magori kama angekuwa wa maana ile barua yenu mliyo ipeleka FIFA kuishtaki Yanga 2016,ili Yanga ipokonywe ubingwa wa 2016/17,iliishia wapi?
 

Babu kesi ipi tena,mikia mbona mnatuchanganya na mathread ya kesi ambayo kwa madai yenu haipo!sindano ishaanza kuwaingia sio
 
utopolo maana yaake kutokwa na ufahamu wa akili hivi unaelewa maana ya rufaa kamaa huelewi kaulize halafu uje upost
 
magori mwanzo si aliesema cas hamna kesi,acheni papara kila dk mnaanzisha thread while wananchi wenyewe tumenyuti tu,
 
utopolo maana yaake kutokwa na ufahamu wa akili hivi unaelewa maana ya rufaa kamaa huelewi kaulize halafu uje upost
Mimi ili mradi mzungu kani elewa inatosha,we Mbonde kutoka dunia ya tatu hata husipo nielewa ni ww na matatizo yako ya akili,ila sio kosa lako tatizo ni yule jamaa mliyekuwa mnampa MIA SABA.
 
Mikia mnatuchanganya sana,mwanzo mlisema kesi haipo sasa ivi mnasema kesi ni ya morrison na YANGA ,shida nini enyi mbumbumbu?tulieni tu msiwe na shaka.
 
Anaweweseka,baada ya kujiaminisha kuwa kesi haipo baaadae ikawepo.
 
Anaecheka mwisho ndio anaecheka sana
Ni swala la muda tu ila Morrison ni mchezaji ambaye matukio yake anayo yafanya huwa hazingatii future yake na hilo amelithibitisha katika timu alizocheza huko nyuma
Hahahaha huna jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…