Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Style zetu ni zilezile sema kuna style mpya ya NO REFORM, NO ELECTIONLeo kuna Jambo niulize kuhusu watu wa humu na style zao,
Umejaribu kuolewa nayo imeshindikana??Shikamooni wakubwa wote wa JamiiForums
Leo ni siku nzuri kabisa ya jumatatu ikiwa inaishia,poleni na majukumu ya hapa na pale,Mimi binafsi nimechoka na hekaheka za daladala haswa baada ya kujikuta nimesimama kutoka kariakoo kibaruani kwangu hadi nyumbani Kinyerezi.
Leo kuna Jambo niulize kuhusu watu wa humu na style zao, Kwanza wengi wanaonekana wasomi ,maana ukibishana kidogo basi anakimbilia kiingereza, kiukweli hapa wananikomesha ,lakini pia kila mtu humu ni ana uwezo Kwa namna fulani.
Mana nikisoma baadhi ya Mada naona wengi wamepangq nyumba siyo chumba,au wanamiliki nyumba na magari,lakini pia wana simu za gharama
sasa swali langu ina maana humu hakuna tunaofanana hali na mimi?
au miye bado mdogo na elimu yangu ya form four kwakuwa sina kazi yenye kipato cha maana?
Mimi naishi local life na kwetu ni uswahilini hapa tu natumia simu ya kawaida sana.
Natamani maisha mazuri mno ila naogopa kurisk maisha na kukufuru .
Karibuni
Kivipi najichoreshaYou bubuno too much....unajichoresha bibie.
Hivo eeYa humu yaache humu humu mpendwa.
Mmm😂😂Pale unapotaka kuwaelewa watu wa jamiiforums
View attachment 3362420
Pita tuuKwahy tukusaidieje ndg Mtanzania?
Pole sanaMbona kama mwandiko wa kiume huu
InawezekanUngejua kuna majobless wengi mnoo uku jukwaani hata usingecomplain ni vile humu jf tunaishi anonymously
Hayo majina sasaBado hujakutana na Hawa
Toto la gegedo secretarybird
Bibi ya ndege DIVISHENI FOO
Tajiri la Jf, Bill Lugano
HUjakutana na mtoa connection za kazi Poor Brain
Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman
Nomadix yeye ni kataa ndoa
Hao hapo juu 👆 wanaishi Upanga na masaki mmoja ndo anaishi mikocheni
Kuna huyu mzee wa ushauri na busara Dr am 4 real PhD
Ishi maisha yako weka mipango yako sawa ipo siku utatusua tu. Tunaoishi maisha ya kawaida tuko wengi tu mimi kakaako ni mmojawapo. Humu chukua elimu na uzoefu pumba na mengine ya hovyo yaache humuhumuShikamooni wakubwa wote wa JamiiForums