Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #21
Dah nimekuelewa kaka yanguIshi maisha yako weka mipango yako sawa ipo siku utatusua tu. Tunaoishi maisha ya kawaida tuko wengi tu mimi kakaako ni mmojawapo. Humu chukua elimu na uzoefu pumba na mengine ya hovyo yaache humuhumu
Bado Kuna Lucas Mwashambwa muda wote abubujikwa na machozi ya furaha lukasii huyo,Hayo majina sasa
Kuolewa si hiyari Kwa mwanamke ni lazima,ila ndoa ikishindikana hakuna namnaUmejaribu kuolewa nayo imeshindikana??
Sasa mbona unamuanika kuwa unamdaiBado Kuna Lucas Mwashambwa muda wote abubujikwa na machozi ya furaha lukasii huyo,
Kuna huyu gentleman namdai hela yangu Ila anacheka tuu Tlaatlaah
Ila humu ππUnatamani maisha gani mamaa?View attachment 3362427Sema nipo hapa Petdeshee Shentemba nikupe ile kitu muroho yako inapenda usipate mutabu wakati tupo venye tunataka kukutuza
Sina shida nae mimiSasa mbona unamuanika kuwa unamdai
Hawezi jisikia vibayaSina shida nae mimi
Ooh sawatunajitabiria mema mkuu.
Mtoto anautaka, hebu mjiteue mumpe πEvelyn Salt hukumuweka huyu kwenye payroll sio??
Kwanza anakaa kinyerezi (sijui ndo wapi huko), anapanda daladala yaani hata gari hana!!
Mkuu tafuta namna mods waipige life ban hii id yako, unaitweza jf.
Enewei karibu mbweni weekend hii.
Bibie Mimi na wewe tunaendana na maandiko matakatifu yanadai kuwa ndege wafananao hawana budi kuruka pamoja.Shikamooni wakubwa wote wa JamiiForums
Leo ni siku nzuri kabisa ya jumatatu ikiwa inaishia,poleni na majukumu ya hapa na pale,Mimi binafsi nimechoka na hekaheka za daladala haswa baada ya kujikuta nimesimama kutoka kariakoo kibaruani kwangu hadi nyumbani Kinyerezi.
Leo kuna Jambo niulize kuhusu watu wa humu na style zao, Kwanza wengi wanaonekana wasomi ,maana ukibishana kidogo basi anakimbilia kiingereza, kiukweli hapa wananikomesha ,lakini pia kila mtu humu ni ana uwezo Kwa namna fulani.
Mana nikisoma baadhi ya Mada naona wengi wamepangq nyumba siyo chumba,au wanamiliki nyumba na magari,lakini pia wana simu za gharama
sasa swali langu ina maana humu hakuna tunaofanana hali na mimi?
au miye bado mdogo na elimu yangu ya form four kwakuwa sina kazi yenye kipato cha maana?
Mimi naishi local life na kwetu ni uswahilini hapa tu natumia simu ya kawaida sana.
Natamani maisha mazuri mno ila naogopa kurisk maisha na kukufuru .
Karibuni
Hahaha ππππ€£Bado hujakutana na Hawa
Toto la gegedo secretarybird
Bibi ya ndege DIVISHENI FOO
Tajiri la Jf, Bill Lugano
HUjakutana na mtoa connection za kazi Poor Brain
Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman
Nomadix yeye ni kataa ndoa
Hao hapo juu π wanaishi Upanga na masaki mmoja ndo anaishi mikocheni
Kuna huyu mzee wa ushauri na busara Dr am 4 real PhD
Luka na Tlaatlaah nawadai.Bado Kuna Lucas Mwashambwa muda wote abubujikwa na machozi ya furaha lukasii huyo,
Kuna huyu gentleman namdai hela yangu Ila anacheka tuu Tlaatlaah
Watupe vyetu mapemaLuka na Tlaatlaah nawadai.