Ukweli, uwazi humuweka mtu huru

Sasa jirani ndo uanze kumpa apake ili wateja wamiminike wajue una vipodozi genuine ambavyo vinaweza kumsaidia mtu aliyeungua na cream na kubabuka na mikorogo..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wakamtibu kwanza walikomuunguza,.Hatuna mda wa majaribio sisi
 
Ki msingi dar es salaam maisha ni ya taabu mno, nimishi dar almost miaka 30 tona npipokuwa mdogo nikahama sababi ya ajira, kwa sasa ninachokitamani dar ni hela tu ila maisha ya dar ni stress tupu. Hasa mobility na joto. Kama hauna gari da ni shida, ukiwa na gari bado nishida coz kuna watu wanapaki magari pale magufuli wanachukua dart kila siku
 
Harafu 99% humu mko Dar!!!
 
Unatamani maisha mazuri? Muone shoga ako Lamomy mkauze vijora pamoja. Sasa hivi utajenga na kudrive BMW X5. Chica Gee njoo karudi tena ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

#NO REFORMS NO ELECTION
#FREE TUNDU LISSU. โœŒ๏ธ
Huyu naye na hekaheka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ angejua anajichoresha angekaa kimya tu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น. Soon hii Id itatelekezwa
 
UNataka maisha mazuri halafu unaogopa kurisk, uchumi umeukalia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ