Nilipo kuna baridi... Hivo nimehakikisha nina heater.... Hio si nayo kuota moto?? (alafu umenipoteza.. whats it with tendo lenyewe na kuota moto)
Hahahahah...Babu bwana..!Kwahiyo kumbe nia yako ni watu wajilipue hapa?
Well kwa sasa hivi 0% kwasababu sijahitaji kufanya hivyo. Ila nikiangalia huko nyuma ukweli ni kwamba niko very selective kuhusu watu nnaofunguka kwao. Kama sijapata ile connection ya kunishawishi/nifanya nitamani kumwambia mpenzi/mtarajiwa mambo yangu bila kuchagua basi naangalia machache tu (siwezi kuweka asilimia maana hii inategemea na huyo mtu ila yaweza kuaanzia 10% na kuendelea) nnayoona ni muhimu huku nikitumaini kwamba kadiri muda unavyoenda nitafunguka zaidi.
mie nilifikiria tu ukweli as ukweli, na kuanzia pale mnaacha uongo, yaani mnaambiana mambo yenu, yawe past relatn, iwe fedha na mengine, then mnaendelea vizuri, kumbe tena ya kwa dada sophy hata mie sitaki kuambiwa hayaHii siyo scenario ya kutisha na kwa hiyo hakuna sababu ya kupata pressure nayo...Kasheshe ni pale ambapo kweli umepita kwa dada Sophy na kukamuliwa mzigo wako woote...Sasa mama anadai na wewe huna cha kutoa...
Uko tayari kutoa suicidal confession??
And from a different world (a non-fellow being)......Wewe ni mkai,
Uko among the top buddies kwenye list yangu......
Hivi umewahi kuishi na bibi/babu kweli wewe???
Huwa wanamwaga data hadi unashangaa....
Kuna mmoja kule Tabora alisikika redioni akisema kuwa wadada wa siku hizi wamesahau kuwapa lishe bora waume zao..Kwamba enzi zao mwanamume walikuwa analishwa kama dume la kafara ili aweze kuchapa mzigo kisawa sawa!!
Halafu huwa ni wazuri sana katika kueleza miiko ya kitandani vizuri (the dos and vice versa)!! Mfano..watakueleza kuwa ni marufuku kwa mwanamke kufumbua macho wakati wa majamboz...!!![/QUOTE]
haaaaa babu, mwanzo mwisho au iakuwaje, mlegezo pia hakuna?kweli bibi na bibi wanaeleza mengi ila hili wanatupeleka chaka
mie nilifikiria tu ukweli as ukweli, na kuanzia pale mnaacha uongo, yaani mnaambiana mambo yenu, yawe past relatn, iwe fedha na mengine, then mnaendelea vizuri, kumbe tena ya kwa dada sophy hata mie sitaki kuambiwa haya
Urafiki tu wa kupigana mizinga!!Heehhe!Hapa relationship gani unayoiongelea? uchumba au ndoa?
Jibu kwa utulivu leo Lawyer niko serious kweli.
Mie pia mwee, unaanzia wapi kwanza....what if ukishikwa, unaweza amua sema ukweliUnajua nilisahau kitu kimoja, nacho ni current (especially dubious relationships) kama zipo....Hapa nadhani kuna utata...
Mimi niko tayari kupigwa risasi kuliko kufungua domo langu kuyaongelea hayo!!
Hivi umewahi kuishi na bibi/babu kweli wewe???
Huwa wanamwaga data hadi unashangaa....
Kuna mmoja kule Tabora alisikika redioni akisema kuwa wadada wa siku hizi wamesahau kuwapa lishe bora waume zao..Kwamba enzi zao mwanamume walikuwa analishwa kama dume la kafara ili aweze kuchapa mzigo kisawa sawa!!
Halafu huwa ni wazuri sana katika kueleza miiko ya kitandani vizuri (the dos and vice versa)!! Mfano..watakueleza kuwa ni marufuku kwa mwanamke kufumbua macho wakati wa majamboz...!!!
Tunawasikiliza ila kwa kufumba macho mwanzo mwisho ni ngumu aiseeJamani wasikilizeni babu na bibi zenu...wameona mengi hao!!!
Shauri yenu mkijifanya vichwa ngumu!!
I rest my case!Urafiki tu wa kupigana mizinga!!Heehhe!
Mie pia mwee, unaanzia wapi kwanza....what if ukishikwa, unaweza amua sema ukweli
sasa, au ndio utajifanya umepata ukichaa
Kama ni hao hata 10% yako ni kubwa,
Hao halali yao ni -10%
ktk suala la usiri nashauri usipende sana kumsifia mpenzi wako wa zamani mbele ya huyu wa sasa, jaribu konyesha unamjali then rekebisha mapungufu yake taratibu tena kwa umakini mkubwa mpaka pale atakapo fikia hatua unayoitaka wewe! Ambacho hutakiwi kuficha ni ukweli juu ya maisha yako, don't pretend to live life which isn't yours, then hisia zako kwake mweke wazi na onyesha kumthamini! Mfanye ajione bora zaidi ya X-wake!