Nimekutana na matukio ya baadhi ya wajukuu zangu ambayo yameniacha hoi,
Kwa wale walio kwenye mahusiano ya kimapenzi (bila kujali strength ya bond), ni taarifa kiasi gani anatakiwa kupewe wa ubani wako?? Ni vitu gani vinatakiwa kuwekwa siri?? Labda niweke hivi:
Past relations....ni kiasi gani kiwe siri na yale unayoamua kumueleza basi ni asilimia ngapi za ukweli apewe??
DC hapa inategemeana na mwenzako yukoje maana unaweza mwambia akaona kama dah huyu mtu
kumbe yuko hivi aahhh maswali mengi but its better kumwambia mwenzio mahusiano yako ya zamani
Si kwa asilimia mia mimi nilimwambia kwa asilimia 85
Mambo ya fweza.....kuna haja ya kuwa siri? Na kama siyo siri, mwenzio ajue asilimia kiasi ngapi?
Hapa unamwambia si kwa asilimia mia pia maana anaweza kuanza kukupangia bajeti
Kwa sisi wanawake utataka lotion, uende saloon na mambo kama hayo. But kwa hili unaweza
Mwambia mshahara lakini sio posho za safari na marupurupu mengine
Mambo ya familia yako....umweleze yapi na kuficha yapi...na kwa yale uliyoamua kueleza, kuna umuhimu wa kubakiza kitu??
Hapa bana si yoote hata kama katika Familia yenu kuna madhara yake hutokea pale mnapogombana
Ataanza ndo maana hata familia yenu iko hivi iko vile hapa namwambia 50%
Mambo ya kwenye bedroom...Sanaa iwe kiasi gani na ukweli uwe kiasi gani?? Asilimia ngapa ya yale unayomweleza ni fix?
Mmhhh hapa ni 100% sasa utamficha nini na mlala uchi kila siku na shuka moja??
Mahusiano na vibustani (current but dubious relations, if any)......Unaweza kusema (disclose) kitu hapa??
Hiyo bluu hainihusu
AOB.......Unaweza kuongeza lolote ili wajukuu zangu wapate faida bure,
Kumbuka...umepewa bure....huna sababu ya kuwanyima wenzio!!!
......Ila ukikaa uchi lazima utaumbuka na ukijifunika sana utaiva kama ndizi!!!