Kwenye suala la hisia zako za kimapenzi...asilimia ngapi iwe real na ngapi iwe usanii??
Well
hiiz sredi za time hizi inabidi kuzijibu jua likiwaka manake pande nilipo ni kiza kinene
hivi DC unamanisha encounter ya mwana JF wa kiume kwa mwanaJF wa kike sio....
orait
Hivi kwani ukitoa chini ya 100% lazima sehemu inayobaki ijazwe ba usanii?!
Nadhani waweza sema unayoona uko tayari kwa wakati ule mengine ukayaacha kama vile hayapo badala ya kuamsaniisha mwenzako!!
Mengi katika past relationship hayana uzito wa kuitwa siri kwa hiyo useme usiseme bado unakuwa huru unless kama hiyo past bado unaambatana nayo kwa mfano labda ulipata mtoto katika maisha yako ya nyuma.
In most cases ukiwa mtu wa kubwabwaja bila kuulizwa inaweza kumfanya ulonae akubwage kwani kutamka tamka mpenzi wako wa nyuma ni kama kumkoga mwenzio.
Huwa sizungumzii kabisa past relationships zangu kwani naamini itaishia kwenye ugomvi tu maana hata nikimwambia jamaa kuwa yeye ni much better bado anaweza kudhani am not telling the truth.
But that depends; mimi na yeye hatuongelei past kwa kuwa tulikutana wote tukiwa single hamna aliyemuiba mwenzie. Kama uhusiano ulianza wakati mmoja au wote mlikuwa kwenye relationships hapo mwanawani hamna cha kuficha kwani you all know each other's last partner, tena wakati mwingine mpaka kwa sura; sasa kwa hapo kuongelea kunasaidia kupeana uhakika kuwa the past is the past.
Nimeongelea past relationship; Tukija mambo ya bedroom kwa kweli hayo mazungumzo ni mwiko! Hata kwa wanaume wenye vimada nawashauri muepuke kuongelea mambo yenu ya kitandani na wake zenu, hiyo ni dharau iliyopitiliza. Kwa kweli ukiona mwanaume anakusimulia mambo yake ya kitandani na x wake iwe anabonda au anasifu jua huyo ni hatari sana. Mkiachana atasimulia wengine. Ni ujinga. A gentleman hazungmzii vibaya kuhusu wanawake hata kama wameachana kwa ubaya. Kwa hiyo mimi naku disqualify ukibonda your ex lover.
mmmmmmhhhhh kina mama hamuna muamana bana,siku tukikorofishana (hasa ukinifumania au nikizaa nje) siri zangu za magendo na kuwakwepa TRA si utazianika kwa Kova?babu mi nafikiri hakuna siri yeyote unatakiwa kuwa nayo ukiwa na mwenza , mnatakiwa muwe wawazi sana ili isije kosesha uaminifu, coz hakuna siri inayokaa milele, huwa zinabumburuka then hapo inapoteza kabisa uaminifu
Nimekutana na matukio ya baadhi ya wajukuu zangu ambayo yameniacha hoi,
Kwa wale walio kwenye mahusiano ya kimapenzi (bila kujali strength ya bond), ni taarifa kiasi gani anatakiwa kupewe wa ubani wako?? Ni vitu gani vinatakiwa kuwekwa siri?? Labda niweke hivi:
Past relations....ni kiasi gani kiwe siri na yale unayoamua kumueleza basi ni asilimia ngapi za ukweli apewe??
Mambo ya fweza.....kuna haja ya kuwa siri? Na kama siyo siri, mwenzio ajue asilimia kiasi ngapi?
Mambo ya familia yako....umweleze yapi na kuficha yapi...na kwa yale uliyoamua kueleza, kuna umuhimu wa kubakiza kitu??
Mambo ya kwenye bedroom...Sanaa iwe kiasi gani na ukweli uwe kiasi gani?? Asilimia ngapa ya yale unayomweleza ni fix?
Mahusiano na vibustani (current but dubious relations, if any)......Unaweza kusema (disclose) kitu hapa??
AOB.......Unaweza kuongeza lolote ili wajukuu zangu wapate faida bure,
Kumbuka...umepewa bure....huna sababu ya kuwanyima wenzio!!!
......Ila ukikaa uchi lazima utaumbuka na ukijifunika sana utaiva kama ndizi!!!
Mkuu inaweza isiwe 100% lakini yale nyeti sana ushauri kwa couples ni kuyatunza mwenyewe rohoni mwako maana bana huwezi jua,mi nshashuhudia mke wa mtu anakwenda kwa katibu mkuu wa mmewe na copy za mazabe anayofanya mmewe,jamaa aliishia segerea mama anahangaika na watoto.Nilijua tu kuwa Babu Asprin hayuko peke yake katika kuhakikisha kuwa kila kitu ni 100% undisclosed!!
Mkuu inaweza isiwe 100% lakini yale nyeti sana ushauri kwa couples ni kuyatunza mwenyewe rohoni mwako maana bana huwezi jua,mi nshashuhudia mke wa mtu anakwenda kwa katibu mkuu wa mmewe na copy za mazabe anayofanya mmewe,jamaa aliishia segerea mama anahangaika na watoto.
Nimekutana na matukio ya baadhi ya wajukuu zangu ambayo yameniacha hoi,
Kwa wale walio kwenye mahusiano ya kimapenzi (bila kujali strength ya bond), ni taarifa kiasi gani anatakiwa kupewe wa ubani wako?? Ni vitu gani vinatakiwa kuwekwa siri?? Labda niweke hivi:
Past relations....ni kiasi gani kiwe siri na yale unayoamua kumueleza basi ni asilimia ngapi za ukweli apewe??
DC hapa inategemeana na mwenzako yukoje maana unaweza mwambia akaona kama dah huyu mtu
kumbe yuko hivi aahhh maswali mengi but its better kumwambia mwenzio mahusiano yako ya zamani
Si kwa asilimia mia mimi nilimwambia kwa asilimia 85
Mambo ya fweza.....kuna haja ya kuwa siri? Na kama siyo siri, mwenzio ajue asilimia kiasi ngapi?
Hapa unamwambia si kwa asilimia mia pia maana anaweza kuanza kukupangia bajeti
Kwa sisi wanawake utataka lotion, uende saloon na mambo kama hayo. But kwa hili unaweza
Mwambia mshahara lakini sio posho za safari na marupurupu mengine
Mambo ya familia yako....umweleze yapi na kuficha yapi...na kwa yale uliyoamua kueleza, kuna umuhimu wa kubakiza kitu??
Hapa bana si yoote hata kama katika Familia yenu kuna madhara yake hutokea pale mnapogombana
Ataanza ndo maana hata familia yenu iko hivi iko vile hapa namwambia 50%
Mambo ya kwenye bedroom...Sanaa iwe kiasi gani na ukweli uwe kiasi gani?? Asilimia ngapa ya yale unayomweleza ni fix?
Mmhhh hapa ni 100% sasa utamficha nini na mlala uchi kila siku na shuka moja??
Mahusiano na vibustani (current but dubious relations, if any)......Unaweza kusema (disclose) kitu hapa??
Hiyo bluu hainihusu
AOB.......Unaweza kuongeza lolote ili wajukuu zangu wapate faida bure,
Kumbuka...umepewa bure....huna sababu ya kuwanyima wenzio!!!
......Ila ukikaa uchi lazima utaumbuka na ukijifunika sana utaiva kama ndizi!!!
Nadhani umenisoma DC
DA...........
Sawa sasa tueleze...unashauri asilimia ngapi ziwekwe mezani kwenye conference ya wanandoa???
Halafu kuna mijamaa nasikia inaficha habari zao za fweza kwa 100%, hiyo unatumia kichwa halisi au Masaburi??
mie ni mkweli 100% kitandani tu, umeniridhisha/hujaniridhisha...menginryo ni 50-50 kutokana na uzito wa jambo.
Kwa maana hiyo msukuma wako akishindwa kibarua unamwabia live ...na vibao juu???
Sasa dada, ukifikia hapo si itabidi uwe unakaa macho (bila kumbua hata kidogo) ili uhakikishe unapata 100% returns on investment???
Halafu.....hivi vitu vinaitwa fake peaks vinaokeaga wapi??
Mimi bado naanimi usanii na mambo ya 6x6 havitenganishwi kama kidole na pete.

Safi kabisa dada,
Kwenye 6 x6, ningependa kusikia unalisemeaje suala la kumpa mwenzio feedback baada ya kufunga mahesabu ya kutwa mzima....Unashauri tuseme ukweli kwa asilimia ngapi na usanii ubaki kiasi gani???
Vipi mambo ya mafweza...Tuseme au kila mtu afe na account yake???
Current (dubious) relations je????
Tupe ma uzoefu yako kwenye hizo pia!!
wakati ule wa gal/boyfrnd alikuwa kama ananishangaa fulani nikimuambia, alivyokuja kunizoea akaona kawaida sana, yap! namwambia leo hollaa my frnd sio lazima ajikunje kwa cku hiyo hiyo kuniridhisha but akitulia atanipa kinachostahili, c wangu bwna sasa nimwambie nani?.....mie sio msanii kabisa kwenye hilo jambo aisee, napenda kula nishibe!