Ukweli Vs Usiri katika MMU....Ni taarifa kiasi gani apewe mwenza?


Nimekuvulia kofia....

Hapo kwenye confession...Kweli alifanya hivyo??

May be huyo jamaa yako ni malaika fulani...inawezekana pia akavunjwa mwiko ...kwama baadhi ya wezi wanaweza kustaafu kabisa!!
 
'Usanii' kwa maana ya ku fake orgasims au sanaa kwa maana ya 'art' ya manjonjo?

B,

Sanaa ni sanaa kwa sababu ni kitu ambacho kinafanana na real kumbe siyo!
 
Hii sredi maadam imerushwa na babu mwenzangu,

Ngoja leo tupate uzoefu wa wajukuu zetu.

Afu mwishoooooooni kabisa nitatoa mauzoefu yangu kwanini bibi yenu mpaka leo hajabanduka ubavuni mwangu na miaka yote hii lukuki ya ndoa.

Tutakusubiri tu hata ukirudi usiku wa manane...Hatuwezi kukuacha upotee/upotezwe kirahisi rahisi!!
 
mie ni mkweli 100% kitandani tu, umeniridhisha/hujaniridhisha...menginryo ni 50-50 kutokana na uzito wa jambo.

DC nimemwambia anasema eti kulala bila nguo tu ndo useme 100% hapo hakuna siri hujanitekelezea matarajio yangu nakupa live 100%
 
Pamoja na kuwa nipo kwenye "pingu za maisha" karibia miongo miwili, SIJAWAHI ku-disclose hata robo ya hayo uliyoyaandika!
- My ex : Hapa naweza kuvunja ndoa instantly!
- Financials : Hili linapimwa kwa matendo (otuputs) na siyo "bank statements" : mtimizie mwenzio kwa hali na mali
- Familia yangu: Siyo muhimu maana familia nyingi za ki-Tanzania ni tegemezi for life
- Chumbani : Hapa no comments
- Nyumba ndogo : ???
 
 
Well well well: Nimerudi kama nlivyoahidi......

1. My Ex?- Ukiondoa huyu nliyezaa naye kabla sijamuoa, huyu bibi yenu anaamini sijawahi kuwa na mwanamke mwingine (anaweza kuapa). Ukweli ni kuwa nshamcheat mara nyingi (Nashukuru Mungu hajui, na sitamwambia ili ndoa yetu iendelee kudumu kwa furaha na amani).............Upande wa pili wa shilingi, naye pia hajawahi niambia na kizuri zaidi wala SITAKI aniambie. Sijawahi kumuuliza na wala sitamuuliza..... Naamini niko peke yangu mpaka nitakapomfumania (siyo kuambiwa)

2.Mambo ya Fedha: Yale yaliyo rasmi...........Yako wazi, Tunashea kama kawaida. Yale ya mishemishe hajawahi kuyaona, na kama na yeye ana mishemishe, sijawahi kuyaona mapato yake......ngoma droo na maisha yanaendelea kwa raha zetu.

3. Mambo ya familia yangu hakuna nililomficha, naamini naye hakuna aliyonificha..... kama amenificha sina sababu ya kujua, na wala sina haja ya kumuuliza kama kanificha.

4.Vibustani?.......Rejea namba moja pale juu.

Angalizo: Tunazungumzia ndoa yenye zaidi ya miaka kumi, kwa hiyo naamini hii ndio njia sahihi zaidi KWANGU.


Mungu mbariki ODM
Mungu Mbariki Mrs ODM
Mungu wabariki mabinti zetu.

Ahsanteni kwa kunisikiliza.
 
Mbona unaacha madeni mkuu???

Malizia basi....!

DA keshasema ulisipofanya kazi vizur..you are fired instantly!!

Lt Gen..[Mkuu wa Kaya juzi amepandisha vyeo ma-Brig.Gen!]

Mambo ya Chumbani na Nyumba Ndogo yana uhusiano wa karibu sana na kwahiyo yanatakiwa kuwa "approached" in very similar "fashion"! Ni vizuri ukaacha mambo ya chumbani "yaogee yenyewe" au "yaji-disclose yenyewe"... Equally so mpango wa nje ibakie kuwa ni "uzushi wa watu tu"
 

Hii ni post yangu ya mwezi Sept............good (Babu) hasa hapo kwenye bluu
 
Mimi nadhani ukiacha suala la ni kipi kinahitajika kusemwa na kipi kiachwe, pia inategemea na hulka ya mtu. Kuna watu ambao kiasili ni wasiri sana, hawa hata ufanyeje huwezi kujua hata robo tu ya ukweli wao.
 
Ni kweli kabisa labda hapa tunashare experience tu. Huwezi kumbadili mtu tabia. Kuna watu wameumbwa hivyo ni wasiri sana na kuna wengine hawawezi kabisa kukaa na kitu rohoni kinawasumbua. Ni personality ya mtu. Na hata akijitahidi kuficha utamgundua tu mtu wa hivyo kwani anakuwa hatulii .
Mimi nadhani ukiacha suala la ni kipi kinahitajika kusemwa na kipi kiachwe, pia inategemea na hulka ya mtu. Kuna watu ambao kiasili ni wasiri sana, hawa hata ufanyeje huwezi kujua hata robo tu ya ukweli wao.
 
Nimeona umenigongea na ka-LIKE. Navyokapenda, natamani ungenigongea tutatu. Nikikakosa kamoja kwa siku nyumbani huwa sili chakula cha usiku.

nimekuongezea ka pili umekaona??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…