Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Ni kweli kabisa Uungu wa Yesu ni kwa ajili ya wakristo. Mungu wa mwislamu hafanani kamwe na wa mkristo, kama huyo mkristo anaelewa kikamilifu maana ya kuwa mkristo.
 
BADO NAIFUATILIA ASILI YA WAARABU NA WAISRAELI.KUNA JAMAA HAPA WANASEMA MITUME WALE WAISRAELI KUWA NI WAO WAKATI HUO HUO WAO WANAWAITA WAISRAEL MAKAFIRI....
Kuna mada nitaileta itawavunja vunja na kuwasambaratisha hao watu.STAY TUNED
Usichelewe sana kuileta ndugu kabla kiu haijaisha.
 
Ni kweli kabisa Uungu wa Yesu ni kwa ajili ya wakristo. Mungu wa mwislamu hafanani kamwe na wa mkristo, kama huyo mkristo anaelewa kikamilifu maana ya kuwa mkristo.
Ni kweli maana Mungu wa wakristo ni mfano wa binaadamu ambao hao binaadamu ni viumbe wa waliyoumbwa na Mungu muumba,hivyo ni kweli haiwezekani Muumba akawa mfano wa kiumbe ambacho kimeumbwa na yeye.

Unajua ukiuondoa uislamu basi imani karibu zote zimeugawa uungu kwa viumbe vilivyoumbwa na Muumba,na ndiyo utaona mungu jua,mungu ng'ombe,mungu Yesu..na hivyo vyote vimeumbwa.
 
Mungu wa waislamu anafanana na nini? Anaonekanaje? Ulishawahi kumwona?
 
Mtoa mada kama unaijua koraan vizuri kasome tena vizuri au kama huijui vizuri tafuta ajuae akufafanilie urudi hapa usahihishe ulichoandika

Kwa ujumla Nampenda Mwanaume YESU aliyekufa na kufufuka kwa ajili yangu,huyo aliyeenda jumla simjui
 
Mungu wa waislamu anafanana na nini? Anaonekanaje? Ulishawahi kumwona?
Mkuu hakuna aliyewahi kumuona Mungu na wala Mungu hajafanana na chochote,mbona haya mambo hata kwenye biblia yameelezwa.

Watu wanapopinga madai yenu ya kumwita Yesu ni Mungu si kwamba wameamua tu bali Yesu hana hizo sifa za Mungu kama biblia ilivyoelezwa na wala Mungu hajafanana na chochote,ukisoma sifa za Mungu kwenye biblia utaona.
 
aca kuongea uso yajua dini ya ki islam haiend na matakwa wala mawazo kila kitu kisha wekwa wazii
 
Dini ya kiislamu imeletwa kwenu na wafanyabiashara ya utumwa. Sasa nisichokijua hapo nini?
 
Unadhani Yesu sasa yuko wapi? Je, waislamu wanatambua kuwa Mungu ni Roho? Na kama wanatambua hivyo, wanaelewaje?
 
Mkuu tofautisha sifa za Mungu na imani ya wakristo juu ya Yesu,mie nimejikita kwenye sifa za Mungu na siko huko kwenye imani za wakristo kuhusu Yesu.
 
Huna unachokijua kuhusu Yesu, Yasu na Isa, kakojoe ulale. Yesu ni myahud na wewe ni mmatumbi wapi na wapi. Ongea habari za akina mwanamalundi, MKWAWA, KINJEKITILE mungu atakuelewa vizuri. Hiyo misahafu na bible unayotokea mapofu ziliwafikia wamatumbi kwa bahati mbaya tu kwa kutumia madhumuni ofu ya uporaji wa mali na utu wetu.
 
Kwa hiyo hizo sifa za Mungu umezitoa wapi? Na ni kitu gani kinachokuaminisha kuwa Mungu ana hizo sifa unazoziamini wewe?
 
BADO NAIFUATILIA ASILI YA WAARABU NA WAISRAELI.KUNA JAMAA HAPA WANASEMA MITUME WALE WAISRAELI KUWA NI WAO WAKATI HUO HUO WAO WANAWAITA WAISRAEL MAKAFIRI....
Kuna mada nitaileta itawavunja vunja na kuwasambaratisha hao watu.STAY TUNED
The religious affiliation of the Israeli population as of 2011 was 75.4% Jewish, 16.9% Muslim, 2.1% Christian, and 1.7% Druze, with the remaining 4.0% belonging to minor faiths such as Samaritanism, Baha'iism or no religion.
 
Kwa hiyo hizo sifa za Mungu umezitoa wapi? Na ni kitu gani kinachokuaminisha kuwa Mungu ana hizo sifa unazoziamini wewe?
Mkuu hizo sifa zipo kwenye biblia,sasa hiyo imani ya wakristo juu ya Yesu imekuja baadaye na inapingana na sifa za Mungu.

Sasa mkristo anaamini Yesu ni Mungu na alikufa,ni kinyume na sifa Mungu kufa.
 
Its true story ya Yesu kwenye Bible ni tofauti na Qur'an inavyomzungumzia Issah bina Marium...Naamini bible coz ndio ya kwanza kushushwa b4 Qur'an...
acha kujizonga ndugu...hiyo bible imeshushwa kutoka wapi? lete andiko bible imeshushwa,nani kaishusha na kwenda kwa nani? na ilishushwa kwa mechanism ipi?
 
Mkuu hizo sifa zipo kwenye biblia,sasa hiyo imani ya wakristo juu ya Yesu imekuja baadaye na inapingana na sifa za Mungu.

Sasa mkristo anaamini Yesu ni Mungu na alikufa,ni kinyume na sifa Mungu kufa.

Kwa hiyo Mkuu wewe Mungu umemjua kupitia Biblia? Au kitabu kingine? Na ni kitu gani kinachokufanya uamini kuwa sifa za Mungu ndio hizo kama zilivyoelezewa?
 
acha kujizonga ndugu...hiyo bible imeshushwa kutoka wapi? lete andiko bible imeshushwa,nani kaishusha na kwenda kwa nani? na ilishushwa kwa mechanism ipi?
Kama Qur'an ilivyoshushwa.....maandiko ni mengi tafuta Bible usome now cko na muda wa quotes ...that is why imejaa na imekamilika hiyo Qur'an nahis jamaa alisoma bible akameza baadhi ya sehemu akaanza kutiririka ukadhani imeshushwa...kama huamini roho mtakatifu huwezi kuelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…