Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

MAONI YALIYOKAA SAWA

17- MAONI YALIYOKAA SAWA

Alipokuja Nabii Muhammad s.a.w. mambo yote yaliwekwa sawa. Mafunzo safi ya Musa yalirejeshwa pahala pake, na dini ya Yesu ilisafishwa na kutolewa takataka za Upaulo. Zote dini hizo mbili, Uyahudi na Ukristo, bali dini zote zilizogeuka zilirejeshwa kwenye umbo lao la asli lisiloharibika, umbo la Uislamu. Muhammad s.a.w. alifunza kwa uwazi kabisa juu ya dhambi, na akalegeza mikazo iliyokuwa imewabana Mayahudi. Alifahamisha kuwa baadhi ya mikazo hiyo ni matokeo ya inda yao wenyewe na uasi wao, na mingine ilizuliwa na makuhani wao tu ili wazidi kuwakandamiza na kuwaendesha watakavyo wafuasi wao. Upande mwingine hakuwaacha watu wakitangatanga gizani bila ya uwongozi, wala hakuwaacha watu watende horera watakavyo au kuwaambia watazame maandishi ya kale ambayo jinsi yalivyo chafuliwa kwa maongezo na mabadiliko hata mtu hawezi kutambua lipi la kweli na lipi la uwongo, lipi la Mungu na lipi la matamanio ya binaadamu. Kuachia mambo hivyo huzidisha zogo penye fujo. La! Muhammad alikuja na Qur'ani, kitabu cha kusomwa, au kwa jina jingine, Furqan, yaani Kitabu cha kufarikisha, yaani kupambanua, baina ya haki na baatili, baina ya kweli na uwongo. Alileta Sharia, Sharia ya Kweli ya Mwenyezi Mungu, iliyomkomboa binaadamu kutokana na minyororo iliyowatatiza Mayahudi, lakini haikuacha mambo ovyo kila mtu atende atakavyo kama alivyofanya Paulo kuivunja sharia kabisa. Huo ni utumwa mwingine ambao ni mbaya zaidi, kwa kuwa ni utumwa wa ubongo na roho, kuuwachilia mwili utende upendalo na kuifunga akili isifikiri na roho isinawirike. Sharia ya Qur'ani ni sharia ya kati na kati. Dini ya Kiislamu ni ya kati na kati. Si ya kulia wala kushoto lakini ya kuongoza mbele moja kwa moja kumfikilia Mwenyezi Mungu. Anasema Mola Mlezi katika Qur'ani:



Adhabu yangu nitamfikishia nimtakaye, na rehema yangu imekienea kila kitu. Lakini nitawaandikia wale wanaomcha Mungu, na wanaotoa Zaka na wanaoziamini Aya zetu, ambao wanamfuata Mtume, Nabii asiyejua kusoma na kuandika, ambaye wanamkuta ameandikwa kwao katika Taurati na Injili, ambaye anawaamrisha mema na anawakataza maovu, na anawahalalishia vizuri, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyokuwa juu yao. Basi wale waliomuamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyoteremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.

(Qur'ani) Al Aaraf 7.156-57



Huyu ndiye Roho wa Kweli aliyetolewa bishara yake na Yesu kama ilivyo katika Injili ya Yohana sura ya 16. Ni yeye ambaye amesimuliwa kuwa "akisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu...huyo roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote." Ni huyu Muhammad s.a.w. ndiye aliyeambiwa Nabii Musa a.s. na Mwenyezi Mungu katika Kumbukumbu la torati sura ya 18:



Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe.

Kumbukumbu 18.18



Mafunzo ya Nabii Muhammad ndiyo yale ya Nabii Isa na ndio yale ya Nabii Musa na Nabii Ibrahim na kila Nabii aliyetokana na Mwenyezi Mungu. Msingi wao ni mmoja. Sharia zaweza kukhitilafiana kwa mujibu wa zama na hali, ama Imani na mambo ya kiroho na wema na ubaya hayo ni mamoja. Qur'ani imetilia nguvu sana juu ya Imani, Imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu, Imani kamili ya fadhila na neema ya Mwenyezi Mungu.



Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu na rehema yake juu yenu asingelitakasika miongoni mwenu kabisa hata mmoja.

(Qur'ani) An Nur 24.21



Lakini kumuamini Mwenyezi Mungu ni kutenda yale ayapendayo. Kama asemavyo Jalaludin Rumi, mshairi sufi mkubwa: "Ukimuamini Mwenyezi Mungu muamini kwa vitendo vyako! Atika mbegu, tena ndio mtegemee Mwenyezi Mungu!" Mswahili akichukua jembe kwenda kondeni husema: "Nenda omba Mungu."


Alikuwapo mtu mmoja akamuuliza Mtume s.a.w. amwachilie ngamia wake naye akimtegemea Mwenyezi Mungu? Mtume alimjibu: "Mfunge ngamia wako, ukisha ndio mtegemee Mwenyezi Mungu."


Qur'ani imejaa maneno kama haya: "Wanaoamini wakatenda mema". Na Yesu naye amefunza haya haya kama yaliyomo katika maneno yake mwenyewe, sio ya Paulo. Na waraka wa Yakobo, nduguye Yesu, unasema hivyo hivyo.
Kiukweli sijaelewa chochote na hili gazeti lako..
1.mbona mnamfosi sana muhamadi akubalike.
2.Mungu WA kweli hapiganiwi na wanadamu\jihadi huyo atakuwa feki.
3.Nacho jua Muhamadi s.a.w anamsubiria yesu aje amfufue siku ya mwisho.
4.nyie jamaa kizazi cha Ismail ,ni watata sana .ndiyo shida ya kuzaa na mchepuko.
5.Hawa wachungaji uchwara wa siku hizi kusiwafanye ndiyo kikawa kigezo cha kutokukubali injili ya kweli ya YESU mwenyewe. Hujui Paulo ni nani zaidi ya sumu zilizopandwa akilini mwenu.
6.Yeye ndiye njia ya kweli na uzima ( YESU) ,....hakuna awezaye kufika kwa baba (Mungu)pasipo yeye...Na muhamadi kashawaambia kwenye kurani ,hata yeye aendako hapajui na anasubiri YESU aje amfufue....kasome vizuri kurani yako.
7.Kwa jina lake (YESU),mapepo yanakimbia,wagonjwa wanapona, viwete wanatembea, vipofu wanaona, wafu wanafufuliwa.........very amazing. Muhamadi alipofika hapa ,akaona awe mdogo na kuwaambia na yeye anangoja ufufuo cku ya kihama ikija....
NB.hakuna pepo linatoka kwa jina la Muhammad., zaidi ya kuongezeana pepo lenye nguvu likamdhibiti lenye nguvu ndogo..kwa kuwasomea kisomo\kurani.
8.Pamoja na madhaifu yangu...I love you JESUS....simjui someone muhamadi.
 
Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi
Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba anakubali kuwa Isa alisulubiwa wakati wao Waislamu wanaamini Isa hakusulubiwa

Huenda alichosema ni sahihi kabisa lakini kuna vitu akawa havielewi

Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi

Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible

Kiarabu Yesu inatamkwa Yasu na sio Isa kama Waislamu wanavyowaaminisha wenzao kuwa ni Isa

Historia ya bible inasema Yesu Kristo au Yasu kwa Kiarabu alizaliwa nchini Israeli,katika mji wa Bethlehemu na katika hori la ngo'mbe hiyo ni bible inasema hivyo

Ukiangalia kwa makini huyu Isa utagundua sio Yesu kabisa na hata kuzaliwa kwao ni tofauti na hata walichokuja kuhubiri ni tofauti

Isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi Mungu kwa mujibu wa historia
Wakati Yesu alikuja kuwakomboa watu na dhambi zao

So kuanzia leo Waislamu wajue Yesu sio Isa kama wanavyoaminishwa
Na wala Isa sio Yesu kama wanavyoaminishwa

Nawasilisha tu
db22e02e5263d2c889b2e2e4cec506fa.jpg
Umechambua vizuri sanaaaa yani umetoa bonge la shule
 
Oya hazard wa kibororoni inakuwake..

Umesema "isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi mungu"

Hiyo dini mpya ni ipi na ya zamani ni ipi chief!?
 
Akili zako ziko likizo Baada ya kukariri Quran [emoji12] hebu Tafakari Yesu angefundisha na kawaagiza Wafuasi wake watumie UPANGA kupambana na makafir kama [emoji117]
d3f4b0e913fe782fbfba1b4edb477456.jpg
na KUYAISHI mafudisho Hayo hakika asingebakia kaafir juu ya ardhi kutupigia kelele humu na abdul qathem ingekuwa stori...Hamjui dhara wala maskhara [emoji12]
Mkuu hapa nimezidi kuichukia hii dini kabisa....kapicha haka nimekasevu for reference
 
Kidole juu huyo shehe ubwabwa [emoji15] huyu ndio shehe [emoji117]
04554a8275f929d9952fb4c6f7a80af5.jpg
[emoji15] [emoji47] nakualika uje madrasat nuur bahari jannat pale kwa Mtogole upate ilimu ghaibu...
QUR AIN inasema ....KUL YA AIYUHAL KAFIRUNA..enyi makafiri...LA TAABUDU MA TAABUDUNA,,,,,mnacho kiabudu nyinyi sio ninacho abudu mimi...WALAA ANTUM ABIDUNA NA MAA ABUDU....na ninacho abudu mimi sio mnacho abudu..LAKUM DI NU KUM WALIYADIN...nyie mna dini yenu na sisi tuna dini yetu....sasa ni wapi kumeandikwa upuuxi wa kushikiwa binduki uwe muslim?wwcha kuokoteza vitu kwenye dini ya haki...badala ya kuhoji kwann UKRISTO UMEIDHINISHA MASHOGA YANAOANA..wewe umekalia kutunga vitu vya kipuuzi kukashifu..hii sura imeshuka baada ya makafiri kuwa wnawapiga waislam kwa kuabudu MUNGU WA HAKI(ALAH)ikashuka kwa ajili yao
 
Kipozeo kafanya kazi sahihi. Yeye ni mwalimu wa dini na ni jukumu lake kumkumbusha diamond kama muislam mwenzie. Msalaba iwe wa marasta au wa mapasta kwenye uislam haukubalik. Msalaba ni ishara ya laana. Kipozeo sio wa kutafuta kazi ya kufanya. Hapo kafanya kazi yake


Wewe na Kipozeo wote ndio walewale, Arabic superstition na sisi waafrika wapi na wapi?
 
Wewe unaejua hebu tueleze historia ya msalaba na utatu mtakatifu. Kama unasema kweli kwamba msalaba wa yesu ni tofauti na msalaba wa Ethiopia tueleze ni lini wakristo walianza kutumia msalaba kama kweli wewe ni mkweli


Siamini kitu chochote kuhusu ukristu au biblia. Ni scam tu, na waafrika ndio vipofu wanaoamini. Kama unataka kujua kuhusu Ethiopia, fanya home work mwenyewe utagundua, Ethiopian Empire ilikuwepo kabla ya hizi dini zenu. Na sio cross tu, kwenye artifacts za Ethiopia kuna symbols nyingi ambazo zilikuwepo tangu watu wanajenga pyramids leo hii zinatumika bila watu kujua zilitokea wapi. Usifananishe historia ya Afrika na dini zenu zilizoletwa wa wafanyabiashara ya utumwa.
 
Na wale mashoga wanaooana wanaoana MSIKITINI au KANISANI?
Ni wafuasi wa allah na abdul qathem, sababu wao ndio walio fundisha ukitaka nikuwekee rejea [emoji4] mkuu, ukumbuke kwamba Imaan bila Matendo ya Kile unacho kiamini ni unafiki...qulu Haqi wainkana mura [emoji106]
 
kwahyo hayo mapadri leo yamekiwa wafuasi wa ALAH
Utajiitaje wee muisilam huku una Banda la kufuga nguruwe na bucha ya kuzuia nyama...bado watu waamini wewe ni muislamu...Yesu watu kama hao aliwaita magugu na aliagiza tuyaache yakue na ngano hadi siku ya mavuno ngano ghalani na magugu unapiga kibiriti!
 
Historia ya Yesu imeadikwa kutoka kitabu cha Matayo kuwa ametokana na uzao wa mwana wa Ibrahim Isaka , lakini historia ya Issa bin Mariam kwa mujibu wa Quran ametokana na uzao wa mwana wa Ibrahim wa nje aitwaye Ishumael. Hivyo hawa ni watu wawili tofauti
 
Utajiitaje wee muisilam huku una Banda la kufuga nguruwe na bucha ya kuzuia nyama...bado watu waamini wewe ni muislamu...Yesu watu kama hao aliwaita magugu na aliagiza tuyaache yakue na ngano hadi siku ya mavuno ngano ghalani na magugu unapiga kibiriti!
Kufilisika kwa hoja...mm nakuuliza MASHOGA wanafunga ndoa kanisani....ww unaungea USHUZI..huko ni kufilisika kimawazo
 
Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi
Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba anakubali kuwa Isa alisulubiwa wakati wao Waislamu wanaamini Isa hakusulubiwa

Huenda alichosema ni sahihi kabisa lakini kuna vitu akawa havielewi

Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi

Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible

Kiarabu Yesu inatamkwa Yasu na sio Isa kama Waislamu wanavyowaaminisha wenzao kuwa ni Isa

Historia ya bible inasema Yesu Kristo au Yasu kwa Kiarabu alizaliwa nchini Israeli,katika mji wa Bethlehemu na katika hori la ngo'mbe hiyo ni bible inasema hivyo

Ukiangalia kwa makini huyu Isa utagundua sio Yesu kabisa na hata kuzaliwa kwao ni tofauti na hata walichokuja kuhubiri ni tofauti

Isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi Mungu kwa mujibu wa historia
Wakati Yesu alikuja kuwakomboa watu na dhambi zao

So kuanzia leo Waislamu wajue Yesu sio Isa kama wanavyoaminishwa
Na wala Isa sio Yesu kama wanavyoaminishwa

Nawasilisha tu
db22e02e5263d2c889b2e2e4cec506fa.jpg

Uislamu ni project tu kama ilivyo projects nyingi, ukitaka kuelewa soma hapa chini:

Kati ya Yesu Kristo na Muhammad, Who makes sense?


Tufanye (tuassume) una akili timamu, una uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo kwa ufasaha.

1. Umeishi nyakati za Yesu Kristo, ukakutana naye, ukaona na kusikia anayoyafanya, ukalinganisha mambo na habari zake kwa kusoma Biblia ambayo iliandikwa miaka mingi kabla ya ujio wake kwa nyakati tofauti na watu tofauti walioishi sehemu mbalimbali/tofauti.

2. Baadaye akazaliwa Mtume Muhammad, ukabahatika kushuhudia maisha yake ya ukuaji, akilelewa na mjomba wake Abu Talib (mwenye ubini na baba yake). Siku za usoni katika ukuaji wake ukaanza kushuhudia mara kwa mara akijitenga na jamii hasa nyakati za usiku na kwenda katika pango la Hira lililoko mlima Jabar al-Nour katika sehemu ijulikanayo kama Hejez (kama kilomita 3 hivi kutoka Mecca) magharibi mwa Saudi Arabia ya leo. Madai ya kujitenga kwake na kwenda pangoni ni kwa lengo la kuswali.

Baada ya kufikisha miaka kama 40 hivi, Muhammad akaibuka ghafla siku moja na kudai kuwa ametembelewa na Malaika Gabriel akiwa katika pango la Hira na kupewa mafunuo (revelations) kutoka kwa Mungu. Miaka mitatu baadaye (mwaka wa 610 kwa mjibu wa Kurani), akaanza kuhubiri hayo mafunuo hadharani (kupitia mihadhara).

Tufanye pia unafahamu maisha na historia ya Muhammad kama ifuatavyo:

Katika kuhubiri mafunuo aliyodai kupewa alikumbana na upinzani mkali sana yeye pamoja na wafuasi wake kadhaa waliomfuata kutoka kwa baadhi ya Wamecca. Kitendo hicho kilimfanya akimbilie Madina/Medina, kama mwaka wa 622 hivi. Hiki kitendo cha Muhammad kukimbilia Madina kinajulikana kama "Hijra" na ndio mwanzo wa kalenda ya kiislamu "Hijri".

Akiwa Madina, Muhammad aliunganisha makabila chini ya katiba, ijulikanayo kama Katiba ya Madina. Pamoja na kuwa Mohammad alikimbilia Madina, uhasama kati yake na Wamecca uliendelea, na mara kadhaa palitokea ugomvi au msuguano dhidi yake na makabila ya Mecca. Mwaka 629, Muhammad alikusanya wanajeshi (wafuasi wake) wanaokadriwa kuwa kama 10,000 hivi na kuivamia Mecca. Uvamizi ulikuwa ni wa nguvu kubwa hasa kwa wakati huo, na Muhammad aliweza kuikamata Mecca bila upinzani mkali, kwa umwagaji damu kiasi.

Mwaka 632, Muhammad aliugua na kufa, lakini kabla ya kifo chake alihakikisha karibu jamii yote ya Peninsula ya Arabia (Yemen, Oman, Qatar, Bahrain, Kuwait, Saudi Arabia, UAE na sehemu za Jordan na Iraq) ilishageuka kuwa waislamu.

Mafunuo/mafundisho haya, yajulikanayo kama "ayah", ambayo waislamu huchukulia mpaka leo kama Neno la Mungu, ndiyo yale ambayo Muhammad alidai kupokea kutoka kwa Mungu kupitia Malaika Gabriel, na ndiyo yanayotengeneza aya za Kurani, ambayo ndiyo msingi wa dini ya Kiislamu. Kimsingi, Muhammad aliunganisha waarabu karibu wote na baadhi ya waajemi na kusisitiza kuwa mafundisho yake, matendo yake, imani yake, na Kurani yake vinakuwa ndio msingi wa imani ya Kiislamu.

Katika kuhubiri kwake alisisitiza kuwa yeye ni mtume wa mwisho wa Mungu kuja duniani, na kuwa amekuja kutimiliza mafundisho ya msingi ya akina Adam, Abraham, Mussa, Yesu Kristo (Nabii Issa) na manabii wengine katika Kurani.

Swali:

Je, baada ya wewe kuwa umewashuhudia Yesu Kristo na Muhammad, ni nani ambaye angeweza kukushawishi kuwa ndiye mtume wa kweli wa Mungu na kumwamini?


A Simple Reason Why The Qur’an Cannot Be The Word of God

The Islamic religion claims that the Qur’an, revealed allegedly by the angel Gabriel to the prophet Muhammad beginning in 610 A.D., is the inspired and inerrant word of God. Such an assertion, however, is highly problematic, and many, many arguments could be given to convincingly refute it. In this article, I am going to offer one of those reasons, which I perceive to be the most damning. In future articles, we will consider some other serious difficulties with the idea that the Qur’an represents the revealed words of God. My argument here can be summarized in syllogistic form as follows:


Premise 1: Either the Bible is the Word of God or it is not.

Premise 2: If the Bible is the Word of God, the Qur’an is not.

Premise 3: If the Bible is not the Word of God, the Qur’an is not.

Conclusion: Therefore, the Qur’an is not the Word of God.

Reference: http://crossexamined.org/simple-reason-quran-word-god/
 
Dini sio KUBET....unapaswa UJUWE unachokiongea..aliyokwambiya ISMAIL ndio uzao wa yesu nani?Ismail ndy uzao wa MTUME.MUHAMAD (SAW)na ISHAKA ni uzao wa YESU...sasa hapo hapo BABA wa ISMAIL na ISHAKA ambaye ni IBRAHIM alikuwa ni MUISLAM sasa yesu atakuwa dini gn?
wee unamuitaje muhammad ni Mtume wakti yeye Mwenyewe Amesema Hana hiyo sifa [emoji47] [emoji348] [emoji348] [emoji117]
baf90b2b0521680a45a76790d7ff6f30.jpg
[emoji118] [emoji117] hamfundishiki [emoji15] [emoji4]
 
Back
Top Bottom