Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

hahahaha, yani hata mimi ameniacha hoi hapo mkuu, hivi ni kwanini kujitia ujuaji wa jambo wa kati wewe ni mpumbavu kwenye hilo!!!
Kwa hiyo Yesu kwa Kiarabu ni Isa
Hivi unajua huko Uarabuni pia kuna wakristo kama kawaida
 
Huyu nae kaona Diamond ndio muislamu wa kwanza kuvaa msalaba? by The way Mungu wetu Sote! Kinachonikera toka kwa Waislamu ni Ubaguzi wao! Sasa huyo anaongelea nn hapo
tatizo sio ubaguz ila uislam ni haki na hua wanajielewa napia hua hawamuangalii mtu usoni kutokana na umaarufu wake ama vipi, kama wagalatia walipomfungisha ndoa Joti akiwa na "kiduku" kichwani na kushindwa hata kumkemea
 
Kwa Hiyo yesu anavyosema hakuja kuleta Amani bali upanga anamaanisha nini
Akili zako ziko likizo Baada ya kukariri Quran [emoji12] hebu Tafakari Yesu angefundisha na kawaagiza Wafuasi wake watumie UPANGA kupambana na makafir kama [emoji117]
d3f4b0e913fe782fbfba1b4edb477456.jpg
na KUYAISHI mafudisho Hayo hakika asingebakia kaafir juu ya ardhi kutupigia kelele humu na abdul qathem ingekuwa stori...Hamjui dhara wala maskhara [emoji12]
 
Ukiona hivyo juwa msalaba umeshikwa pabaya
Huyu kajilipua Mwenyewe [emoji117]
7e6708c99f8ae46a2f2c089547d58eda.gif
ilaha kwa wanaopotea Msalaba kwao ni upuuzi...muhammad kubishia wee mwisho kukamuliwa ngama yupo [emoji117]
1d183a026463b8ffb55b375a7000f4f5.jpg
pembezoni mwa jehannam anasikia reha na fukuto la jehannam [emoji4]
 
Afadhali umenyoosha maelezo. Ukristo sio dini. Sasa uislam ni dini. Na hakuna dini nyengine madam ukristo sio dini
deen badokarama ya makafir ambao hawajaamini kwamba MWENYEZI Kajidhihirisha ktk Umbile Bora la kibinadamu ili kumtafuta na kumuokoa
28af7a58a85d51d2d8ee8d50c838d523.jpg
50b6de2417b4d6cf7f456483e492ecf0.jpg
[emoji123] [emoji106]
 
Mnabishania dini zilizokuja na majahazi na mashua . How hopeless are we ?

Ni bora hata wasioamini dini yoyote kati ya hizi because they merely intrigues of hate & fraud
 
Huyo SHEHE UBWABWA ,,si kila mwenye kanzu ni shehe.....hakuna kitu kama hicho....
Kidole juu huyo shehe ubwabwa [emoji15] huyu ndio shehe [emoji117]
04554a8275f929d9952fb4c6f7a80af5.jpg
[emoji15] [emoji47] nakualika uje madrasat nuur bahari jannat pale kwa Mtogole upate ilimu ghaibu...
 
deen badokarama ya makafir ambao hawajaamini kwamba MWENYEZI Kajidhihirisha ktk Umbile Bora la kibinadamu ili kumtafuta na kumuokoa
28af7a58a85d51d2d8ee8d50c838d523.jpg
50b6de2417b4d6cf7f456483e492ecf0.jpg
[emoji123] [emoji106]
Karne hii bado Kuna mpuuz anakuja anakwambia Yesu Mungu. Mungu alizaliwa akaishi akila kunywa na kunya baadae akafa. Tena kwa kupiga misumari. Baada ya siku tatu akafufuka ndo akapaa. Kwa Hiyo hapo kashaokoa watu na dhambi zao. Sasa kashindwa nini kufuta tu hizo dhambi?
Yani Magu aje manzese achezee kichapo ili asamehe majambazi na wakosaji wa sheria zake. Kichwa kipo sawa kweli? Utapata wapi courage ya kudhihirisha ujinga huo bila aibu.
 
Hii ni dalili ya imani duni mtoa maada kutafuta maarifa sio dhambi nenda na mskitin ukajifunze wengine wanavyofanya
 
Karne hii bado Kuna mpuuz anakuja anakwambia Yesu Mungu. Mungu alizaliwa akaishi akila kunywa na kunya baadae akafa. Tena kwa kupiga misumari. Baada ya siku tatu akafufuka ndo akapaa. Kwa Hiyo hapo kashaokoa watu na dhambi zao. Sasa kashindwa nini kufuta tu hizo dhambi?
Yani Magu aje manzese achezee kichapo ili asamehe majambazi na wakosaji wa sheria zake. Kichwa kipo sawa kweli? Utapata wapi courage ya kudhihirisha ujinga huo bila aibu.
Hoja MWENYEZI anaweza au hawezi???? unaleta blablablaaa...nenda jukwaa la udaku hapa tunajadil Iman/deen [emoji123] [emoji106]
 
Back
Top Bottom