Counsellor Sima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 539
- 575
Dini na madhehebu vinatutesa, fuata Mungu wa kweli, Mungu aliye hai, anayeongea, sio aliyekufa, Tutaangamia sana kwa kukosa maarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe unajua kuwa kuna miungu ya uongo na ndiyo maana unashauri wafuate mungu wa kweli,basi pia kwenye suala la dini ni hivyo hivyo kwamba kuna dini za uongo.Dini na madhehebu vinatutesa, fuata Mungu wa kweli, Mungu aliye hai, anayeongea, sio aliyekufa, Tutaangamia sana kwa kukosa maarifa.
Mkuu ujue sifa za Mungu zilizoelezwa kwenye biblia na ndiyo hata kwenye Qur'an ni hizo hizo.Kwa hiyo Mkuu wewe Mungu umemjua kupitia Biblia? Au kitabu kingine? Na ni kitu gani kinachokufanya uamini kuwa sifa za Mungu ndio hizo kama zilivyoelezewa?
wewe acha kudanganya umma,bado hujajibu swali...na ukileta andiko bible imeshushwa kama ilivyoshushwa quran...naritadi na kumfuata yesu. quran ina Aya kabisa ambapo Mungu anasema kuwa ameishusha quran kwa haki na nyingi zenye muktadha huo.Kama Qur'an ilivyoshushwa.....maandiko ni mengi tafuta Bible usome now cko na muda wa quotes ...that is why imejaa na imekamilika hiyo Qur'an nahis jamaa alisoma bible akameza baadhi ya sehemu akaanza kutiririka ukadhani imeshushwa...kama huamini roho mtakatifu huwezi kuelewa..
Nini kimekushawishi kuamini kuwa hizo ndizo sifa za Mungu?Mkuu ujue sifa za Mungu zilizoelezwa kwenye biblia na ndiyo hata kwenye Qur'an ni hizo hizo.
Ni kweli maana Mungu wa wakristo ni mfano wa binaadamu ambao hao binaadamu ni viumbe wa waliyoumbwa na Mungu muumba,hivyo ni kweli haiwezekani Muumba akawa mfano wa kiumbe ambacho kimeumbwa na yeye.
Unajua ukiuondoa uislamu basi imani karibu zote zimeugawa uungu kwa viumbe vilivyoumbwa na Muumba,na ndiyo utaona mungu jua,mungu ng'ombe,mungu Yesu..na hivyo vyote vimeumbwa.
Mkuu unaniuliza kipi kimenishawishi kuamini sifa za Mungu? sijajua hili swali nalijibu vp! Kwani unaziamini hizo sifa? Hebu niambia wewe kimekushawishi nini?Nini kimekushawishi kuamini kuwa hizo ndizo sifa za Mungu?
Wewe unajua kama sie ni waafrika au kwa sababu tunaandika kiswahili?Ona waafrika mnajadili historia za watu wengine. Historia yenu iko wapi?
Sawa wewe si mwarabu kaanzisheni jukwaa lenu mjadili lidini lenu huko.Wewe unajua kama sie ni waafrika au kwa sababu tunaandika kiswahili?
Hujajibu swali nimekuuliza umejuaje kama sie ni waafrika? halafu ngozi nyeusi sio waafrika tu.Sawa wewe si mwarabu kaanzisheni jukwaa lenu mjadili lidini lenu huko.
Nachukia sana kuonaga ngozi nyeusi mnapigana/kugombana kisa dini mlizoletewa na wakoloni.
Amkeni.
"A slave and his master can never serve the same god"
Embu eleza maana ya neno kushushwa kwa kitabu .....In Bible kwa kifupi manabii wote wakubwa kama Yeremia, Hosea, na wengine wameandika wakiongozwa na roho mtakatifu hayakua maneno yao.....so embu changanua neno kushushwa ndio utaelewa ni ukakasi wa lugha tu unakusumbua...au unadhani kilitoka angani?wewe acha kudanganya umma,bado hujajibu swali...na ukileta andiko bible imeshushwa kama ilivyoshushwa quran...naritadi na kumfuata yesu. quran ina Aya kabisa ambapo Mungu anasema kuwa ameishusha quran kwa haki na nyingi zenye muktadha huo.
Tafuta andiko hata moja tu bibilia imeshushwa au aya zake zimeshushwa na Mungu.