ukweli wa daktari huyu

ukweli wa daktari huyu

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
katika pita pita zangu nikaona tangazo la daktar anaeitwa Dr Abdalla Mandai anapatikana maeneo ya Ukonga Dar es salaam..........hyu inasemekana anazo ARV mbadala kwa kutumia matunda mfano limao,kitunguu swaumu,nazi,papai,ndizi,nanasi nk,,,,,naomba kwa yeyote anaefahamu zaidi kuhusu huyu daktar ili tupate taarifa sahihi na kuweza kusaidia ndugu zetu na si vibaya pia kuwa updated,.asante
 
dah mkimbie kama ukoma

hao wanachofanya ni kuchukua ARVs hospitalini na kuchanganya na matunda yao halafu wanawapa watu wakidai ni natural products,

ndugu yangu hiyo ni ganga njaa mjini ndugu. Na naomba usiniulize zaidi ya hapa, mimi nimefanya kukutonya tu
 
Back
Top Bottom