mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
katika pita pita zangu nikaona tangazo la daktar anaeitwa Dr Abdalla Mandai anapatikana maeneo ya Ukonga Dar es salaam..........hyu inasemekana anazo ARV mbadala kwa kutumia matunda mfano limao,kitunguu swaumu,nazi,papai,ndizi,nanasi nk,,,,,naomba kwa yeyote anaefahamu zaidi kuhusu huyu daktar ili tupate taarifa sahihi na kuweza kusaidia ndugu zetu na si vibaya pia kuwa updated,.asante