Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

Bila shaka watakufuata pm kukuuliza unataka cheo gani. Jakaya atakumbukwa kwa uhuru wa kutoa maoni huyu atakumbukwa kwa kupambana na rushwa,wapingaji na kuu....wapinzani
 
Uovu haujawahi shinda haki na MTU muovu ajawahi kuwa na Amani
 
Wewe mbona hujaacha polisi na mahakama vifanue yao, huo ukweli wako umehukumiwa na mahakama gani? Mbona ninasema anatakatisha fedha na kukwepa kodi? Juha wewe!
 
Usihukumu mtu kabla mahakama haijatoa hukumu. Mimi sina tatizo na mtu yeyote kukamatwa, kinachotakiwa ni polisi kufuata taratibu za kumkamata mtu kisheria, na mtuhumiwa aelezwe kwa nini anakamatwa. Sio hii ya mara tumemkamata kwa kosa la uraia, mara baada ya siku uchochezi mara baada ya siku utakatishaji fedha hii sio sahihi. Na unapomkamata mtuhumiwa nyumbani kwake polisi watoe taarifa kwa mwenyekiti wa kitongoji au ndugu mahali au kituo cha polisi anakopelekwa mtuhumiwa.
 
Wewe acha unazi.kwann police wakaenda Kama watu wasiojulikana?gari halina namba,wako kiraia,Nia yao ilikua kumteka baada ya kuona wananchi wamejitokeza watauwawa wakaamua kunitambulisha
 
pumbavu huna lolote.Nilivyoona ni zombie la Lumumba sijahangaika kusoma.
 

Wenzetu wana dili na Ishu kubwa za kusaidia watu wao hawashindi mitandaoni kutoa maagizo kamkamate yule,au kudukua Simu za watu,au personal Ishu MTU kakosana na kimada wake,wako bize na issues za kitaifa.
 
Yaani buku 7 ndio inakufanya ujitoe ufahamu kiasi hiki
 

Hatuwezi yaamini sababu hatujasikia ajapewa nafasi tuyasikie hizo tuhuma ni kweli.
 
Sijaona ukweli wowote hapa
 
Baada ya miaka kadhaa:Mahakama imemfutia mashitaka Kabendera baada ya DPP kutoa notice ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi!!!!

Wadau: daaaaaaah,Mungu yupo!


!
!
Mkuu Huyu Jamaa Aliyeleta Post Ni Wa Kumpuuza Tu. Anajifanya Haoni Haki Zinavyopindishwa. Usikute Anaona Sawa Kabisa Mtu Kufatwa Na Mabunduki Kwa Kumtukana Tu Mkewe Je Akimpiga Si Wataenda Na Vifaru Na Makomandoo
 
Huna lolote wewe hayo matukio yamefanyika lini?mungu mtu akisemwa tuu ndiyo mnakurupuka na kesi za kipuuzi
 

Hujaongea jambo jipya, wenzako wote watetea vyeo wamejikita humo humo kwenye kutetea uovu.
 
Tukubali kuwa uko sahihi. Sasa je, polisi nao walikuwa sawa kuanzia ukamataji na ufunguzi wa kesi dhidi yake?

Vv
 
Huu ndio upumbav.u wa elimu ya taarifa, nyinyi mnaishi na kabendera na kujua maisha yake kwa kila anachofanya?? mtu yeyote anaposhitakiwa kwa kosa lolote, hiyopeke yake inaalika wachunguzi kuchunguza makosa mengine juu ya mtu huyu, unaweza shitakiwa kwa kosa la wizi wa ndoo kumbe pia wewe ni mbakaji, kuna ajabu gani hapo..cha muhimu pale kesi inapofika kwenye vyombo vya kutoa haki makosa yote unayoshitakiwa nayo yathibitishwe bila shaka yoyote..imesemwa kabendera ni mshirika wa makundi ya uhalifu..hao waliosema hivyo wamepekua emails zake, simu nk sasa utashangaa vipi kama mtu anashirikiana na mtandao wa uhalifu kimataifa kuwa na kosa la kutakatisha pesa?? tumieni akili kuona zaidi ya unachosikia hata kama elimu yenu mlisoma kwa kufundishwa taarifa tu na si maarifa.
 
Hebu tupe mifano kadhaa ya jinsi Rais alivyotukanwa, halafu Unatoa 'pole' kwa familia ya Kabendera wakati huo huo unaona ni sawa kwa madhila anayopitia Kabendera!!?
 
Wewe mdigo tumeshakufahamu vzr. Ww endelea tuu na ujjinga wako
 
Mkuu, pub zimefunguliwa saa ngapi?
 
wewe unawafundisha Polisi kazi, umetuhumiwa na makosa ukaitwa polisi uende kwa hiyari ukakataa halafu unawapangia waje kukuchukua unavyotaka wewe..akili ya ma.pumbu kabisa hii.
 
Wewe ndio unauhakika hajatakatisha fedha...
Kama unaushahidi lete usibeze bila maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…