Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

Mbona bandiko lako linaonyesha na wewe hamna unachojua kuhusu huyu mwanahabari
 
Nawewe unajiona umeandikaaaa!!
Hakuna mtu anakataa kuchukua hatua dhidi ya wahalifu,lakini hii style ya kubambikia watu kesi kwa sababu tu wana mitazamo tofauti na yako ni ushamba na upuuzi wa hali ya juu!
Yaani hata mtu mwenye akili ndogo anaona wazi wazi kwamba jamaa anasingiziwa makosa makubwa kwa sababu maalum!

Haiwezekani mtu mmoja unasema umemkamata kwa kosa X, kesho unasema hapana ni kosa Y,kesho kutwa unasema sio Y ni Z!

Siku mbili baadaye unasema yale yote X,Y,na Z si makosa unayomshtaki kwayo,ila ni D,C na F! Hii ni dalili ya wazi kwamba alikamatwa makosa yake hayajulikani,makosa yametafutwa baada ya kumkamata baaas!

Sisi sio wajinga!
 
Wewe unayesema madawa ya kulevya ni personal, ni jinga! Binafsi Kabendera ni bonge la jinga!! Hao wote unaowataja akina Rugemalira ni kundi la wajinga. Sihitaji kufundishwa na yeyote anayejidai ana huruma.Hakuna nchi inayosifia wapuuzi kama hawa.
 
Mkuu hayaelewagi baadhi ya majitu humu,na wengine wanafanya makusudi kwasababu ya maslahi yao, Kabendera lazima ashughulikiwe kikamilifu maana ni muharifu kama waharifu wengine tu.
 
Nikajua kwenye uzi wako umeandika facts ila baada ya kusoma nimekutana na porojo, upumbavu wa first degree bila kusahau unfounded allegations.

You have written totally rubbish.
Take this shit to the [emoji372]
 
Malimbukeni na washamba wa madaraka wamepewa nchi,basi imekuwa taabu tupu
 
Mkuu hayaelewagi baadhi ya majitu humu, na wengine wanafanya makusudi kwa sababu ya maslahi yao, Kabendera lazima ashughulikiwe kikamilifu maana ni muharifu kama waharifu wengine tu.
Si heri muongee tu kilugha? Washamba na limbukeni mnatupa tabu kweli kweli humu ndani! Si Kiswahili, si Kimombo...
 
Unfortunately I can not keep discussing with someone who has a low thinking capacity. From the way u write I can tell your IQ level
 
Unfortunately I can not keep discussing with someone who has a low thinking capacity. From the way u write I can tell your IQ level
You r so foolish..thats why you count on the way I write n not on contents, reasoning zero! may be cramming..
 
Si heri muongee tu kilugha? Washamba na limbukeni mnatupa tabu kweli kweli humu ndani! Si Kiswahili, si Kimombo...
Nashukuru wewe umenielewa mkuu tutakua ni kabila moja.
 
Kadai kodi!
Jinga wewe mke wako hajawahi kujutukana?
Mume gani wewe. Mwanaume suruali
Msenge.kumamayo. Je ulimshtaki? Au kumuacha?
Mungu anadhihakiwa mpaka leo mbona hajawaua.
Mramba viatu wa lumumba.mbona jiwe anafanya biashara ikulu
 
Tusi gani alilomtukana raisi na pia polisi wanamkamata mtu kwa kosa tofauti na analoenda kushtakiwa?
 
Kukwepa kodi na kuhujumu uchumi sio lazima uwe unafanya biashara tu, hata wewe hapo ulipo umeshakwepa sana ndikwega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…