Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

I wonder in which world are you leaving to the extent you can’t understand the basic function of police forces. Had you used a bit of wisdom you could have understood the main argument on this matter. The crux here is that the police force should execute its duty as per stipulated laws and regulations, if you don’t get this then you degree of insanity might be very high
It doesnt need any type of wisdom to know the functions of the police force n the way operates..am against those accussing police for the allegations given to kabendera..is it strange for kabendera be alleged with money laundering?
 
Jinga wewe mke wako hajawahi kujutukana?
Mume gani wewe. Mwanaume suruali
Msenge.kumamayo. Je ulimshtaki? Au kumuacha?
Mungu anadhihakiwa mpaka leo mbona hajawaua.
Mramba viatu wa lumumba.mbona jiwe anafanya biashara ikulu
 
Kwanza kabisa niwape pole familia ya kabendera,wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya kabendera kwa upande wake ,kwakua wataonekana hawana ubinaadamu,
Lakini kama nchi ,kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana raisi atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna watu ni watetezi wake,na bado jeshi la polisi lilitoa sababu kwanini lilimkamata kwa kumvamia kwa kuwa alikaidi wito,je hapo hatuoni makosa ya kabendera,
Kwanini alikuwa hataki kuitikia wito kama huna kosa polisi ni rafiki na kwenda polisi sio kwamba umefungwa tayari ni mahojiano.
Kabendera alikuwa anaonyesha jeuri kuwa nyuma yake kuna ubalozi wa mmarekani na uingereza.
Ndio maana alikuwa anakaidi,bwana huyo anaonekana ana mambo mengi mabaya ana tuhuma za kukwepa kodi na kutakatisha fedha bado kuna watu wanatetea je mnaujua undani wake ilihali wengine wanakamatwa italy kwa kwa kusafirisha madawa.
Tuwache kupiga mayowe waachwe jeshi la polisi,
mahakama wafanye kazi yao,
Ndio watakao toa maamuzi ya haki na sheria.
Angalizo hawezi kuwa mfungwa bila ya kutiwa hatiani na mahakama!
Pumba tupu hakuna logic hata moja umejaza opinions za kibange bange tu
 
It doesnt need any type of wisdom to know the functions of the police force n the way operates..am against those accussing police for the allegations given to kabendera..is it strange for kabendera be alleged with money laundering?
If that is the case why when they went to apprehend him they didn’t say they were doing so because of money laundering? First they said they are not having him, later they started with the issue of citizenship later they came with sedition issue and later tax evasion and finally it is money laundering. That’s why people are questioning the legitimacy of the force behind to apprehend him. If they were straight from the beginning no one could have questioned them
 
Hizi ID zinaficha mengi na kutufanya wakati mwingine tusome upuuzi upuuzi kama huu. Na Tz kulivyo unaweza ukakuta aliye andika upuuzi huu ni kamanda wa kanda maalum ya dsm mzee wa press conference mambo chacha.
 
It doesnt need any type of wisdom to know the functions of the police force n the way operates..am against those accussing police for the allegations given to kabendera..is it strange for kabendera be alleged with money laundering?
Hakuna kitu kibaya duniani kama kuamini unajua kumbe hujui kwani huwezi kufundishika. Ushauri mdogo tu; tafadhali andika Kiswahili, achana na lugha usiyoimudu...or is this a genealogic problem?
 
Kwani Mkuu kwanini sasa tunadangaywa kuwa Uhujumu uchumi kumbe hilo siyo tatizo kubwa, maana content nzima ya Andiko lako ni Kumchafua Mfalme wenu.
Halafu Kabendera anafanya biashara gani mpaka aingie Kukwepa Kodi na kuhujmu Uchumi? Hata haingii akilini hata Kidogo.
Alikuwa anapokea mamillion toka kwa mabeberu kwa kazi hiyo ya kuripoti ujinga dhidi ya nchi yake!
 
It doesnt need any type of wisdom to know the functions of the police force n the way operates..am against those accussing police for the allegations given to kabendera..is it strange for kabendera be alleged with money laundering?
Why not?
 
If that is the case why when they went to apprehend him they didn’t say they were doing so because of money laundering? First they said they are not having him, later they started with the issue of citizenship later they came with sedition issue and later tax evasion and finally it is money laundering. That’s why people are questioning the legitimacy of the force behind to apprehend him. If they were straight from the beginning no one could have questioned them
The police doesnt work to suite peoples feelings, from apprehension to interrogations police intends to gather from the suspect any possible acts of breaching the law, you cant force or instruct police on the way, timing and contents to report or write for the suspect..or even not to list other allegations even if revealed during interrogations simply they didnt mention at the start, why people finds it fair when in hospital a malaria patient is finally diagnosed having HIV???
 
Hakuna kitu kibaya duniani kama kuamini unajua kumbe hujui kwani huwezi kufundishika. Ushauri mdogo tu; tafadhali andika Kiswahili, achana na lugha usiyoimudu...or is this a genealogic problem?
uko na ujinga uliodumazwa na upumbavu wa akili yako kufikiri kwa kutegemea wengine wanavyofikiri..hujavuka mstari wa kufikiri zaidi ya unachosikia na kuona.
 
Kwanza kabisa niwape pole familia ya kabendera,wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya kabendera kwa upande wake ,kwakua wataonekana hawana ubinaadamu,
Lakini kama nchi ,kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana raisi atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna watu ni watetezi wake,na bado jeshi la polisi lilitoa sababu kwanini lilimkamata kwa kumvamia kwa kuwa alikaidi wito,je hapo hatuoni makosa ya kabendera,
Kwanini alikuwa hataki kuitikia wito kama huna kosa polisi ni rafiki na kwenda polisi sio kwamba umefungwa tayari ni mahojiano.
Kabendera alikuwa anaonyesha jeuri kuwa nyuma yake kuna ubalozi wa mmarekani na uingereza.
Ndio maana alikuwa anakaidi,bwana huyo anaonekana ana mambo mengi mabaya ana tuhuma za kukwepa kodi na kutakatisha fedha bado kuna watu wanatetea je mnaujua undani wake ilihali wengine wanakamatwa italy kwa kwa kusafirisha madawa.
Tuwache kupiga mayowe waachwe jeshi la polisi,
mahakama wafanye kazi yao,
Ndio watakao toa maamuzi ya haki na sheria.
Angalizo hawezi kuwa mfungwa bila ya kutiwa hatiani na mahakama!
takataka....rubbish.... garbage
 
Kwahiyo mtu anakua mhujumu uchumi baada tu ya kumchafua raisi?
 
Mimi nashangaa sana hivi kabendera ni nani hasa katika nchi hii mpaka anapewa umaarufu usio na maana. Kwa nini serikali hii inapenda kufuatilia mambo ya hovyo na madogo sana yasio na maana yoyote.polisi na mahakama unajiaibisha sana na unaiabisha nchi yetu
 
Mbona mashataka tofauti na mahojiano, tusaidie hilo manake inaelekea unajua mengi.
 
Back
Top Bottom