Ukweli wa historia ya mapinduzi ya Zanzibar yakimuhusisha mtu asiye maarufu sana, John Okello

well done mkuu kwa makala japo mda mwingine unaniudhi kwa ushabiki
 
jamaa jinga hili,sasa hiyo ndo mada kweli?
 
Kamanda umerudi...? asante jah.. mimi ni mfuasi wako mtiifu..
kama nawaona vijana wa lumumba buku 7 wakitetemeka ujio wako jf.. be blessed Yericko
 
Nyerere alimuogopa John Okello na Nyerere huyohuyo ndie alimtumia Komandoo wake ili amrudishe Okello kwao Uganda na ukawa mwisho wa Okello…!! Bado nakiwa na mashakha hapa … Huyu Okello kwa kipindi hiki alipata kuwa na.jeshi kubwa lenye makomandoo Nguli zaidi ya Nyerere kiasi Nyerere amuogope Okello…?
 
Mtu kaja Dar es Salaam mwaka 2010 kutoka Iringa halafu atufundishe history ya Zanzibar.
Nyie.wazaramo ndio maana vlaz.a na tunazidi kuwarudisha huko mkuranga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…