Ukweli wa historia ya mapinduzi ya Zanzibar yakimuhusisha mtu asiye maarufu sana, John Okello

Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Familia ya yule Mganda imeitwa? Au bado wanaficha ukweli
 
Mkuu JokaKuu kwanza hongera kwa bandiko zuri .
.
Niko Interested kujua ukweli juu ya mapinduzi ya Zanzibar na maisha ya John Okello baada ya mapinduzi.
Karibu mitaa hii Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?
P
 
Serikali iliyopinduliwa inadai hayakuwa mapinduzi ya wazanzibar Bali mavamizi kutoka nje na @yerico Nyerere makala yake inaonesha hivyo,ni wageni watupu ALIOWATAJA walioongoza mapinduzi,na ili.mapinduzo yawe na uhalali yanapaswa kufanywa na wananchi wenyewe.
 
"History is written by the victors" - Winston Churchill

CCM wameandika propaganda nyingi sana kuhusu mapinduzi haramu ya Zanzibar. Ukweli wameuficha.
Kila kitu Kiko wazi ni wewe tu kuchukua vitabu na kusoma,
Amrit Wilson kaandika kushiriki Kwa CIA ya MAREKANI
 

Attachments

  • 51K8BYicBbL.jpg
    17.7 KB · Views: 5
  • md16966812175.jpg
    23.5 KB · Views: 5
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Japo sasa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanaelekea miaka 60, Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
John Okello, mgeni Zanzibar na aliyekuwa akiishi kama mpiga rangi majumba, aongoze mapinduzi kwa maslahi yapi? ili apate nini?
 
MAPINDUZI- DAIMA asiye yataka ahamie kokote
 
Mapinduzi ya Zanzibar yanahitaji kusomwa vizuri
 
Leo katika mapumziko ya Mapinduzi Matukufu, sio vibaya kujikumbusha threads muhimu kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
P.
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…