Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Oct 11, 2026 #1 Watu wengi hawalijui hili, Wa-Israel walikuwa ni mojawapo ya koo za Wakanaani tu. Kuna ushahidi wa DNA na historia/ archeology. Hata lugha ya kiebrania ni lugha ya Kikanaani. Washindi ndio huandika historia.
Watu wengi hawalijui hili, Wa-Israel walikuwa ni mojawapo ya koo za Wakanaani tu. Kuna ushahidi wa DNA na historia/ archeology. Hata lugha ya kiebrania ni lugha ya Kikanaani. Washindi ndio huandika historia.