Ukweli wa kukumbatiana

Ukweli wa kukumbatiana

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Wataalam wanashauri eti ukimpenda mtu na hamtaki kufanya kale kamchezo basi mkumbatiane na kushikana mikona na ham itaisha je kunaukweli?
 
Wataalam wanashauri eti ukimpenda mtu na hamtaki kufanya kale kamchezo basi mkumbatiane na kushikana mikona na ham itaisha je kunaukweli?

Jaribu mkiwa chumbani alafu uone!
 
Hii nayo mpya,sijawahi sikia kabisa!
 
Du hapo mimi sijaamini bado,yaani nilidhike bila kushusha mzigo?aaah haiwezekani kabisa.
 
Wataalam wanashauri eti ukimpenda mtu na hamtaki kufanya kale kamchezo basi mkumbatiane na kushikana mikona na ham itaisha je kunaukweli?
Umenyimwa alafu ndio ukaambiwa ukimshika mkono ham itaisha?
Maana kama watu hamtaki kufanya ham inatoka wapi tena?
kama hamtaki kufanya basi someni magazeti, na kama mna ham basi fanyeni.
 
Umeshawah kuona simba na mbuzi wanakaa zizi moja?mkifanya hvyo kila m2 ataenda kutafuta kipozeo na kishushio mbele ya safari.AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO
 
Kweli wewe ni kukumdogo, ukikua utaacha!
 
Back
Top Bottom