Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Bado na ona wengi wana shangilia Kushikiliwa kwa ndege ya ATCL Sauzi
Ni muhimu muyajue haya.
1.Deni la Tz hadi sasa ni 31% of GDP. Hili ni deni la wastani na linalipika kwa urahisi
2.Mkitaka Deni zote zilipwe basi nanyi mkubali ushuru uongezwe ama JPM ahodhi madeni mapya alipe yale ya nyuma
3.44% ya bajeti ya Tz mwaka huu ni ya kulipa madeni pekee. Kwa hivyo hakuna aliyekataa kulipa
4.Wewe mwenyewe unavyo jifanya malaika ujichunguze kama umelipa madeni yako yote.
5. Huyo mkulima kaburu aliyeshikilia ATCL ajue ardhi ya Tz Ni ya wananchi..Pesa atalipwa lakini huduma kwa wananchi ndio kipao mbele
6. Wakenya na wapinzani Tz mjue uchumi supermarket iliyo filisika ipo na madeni ya wa Tz. Wakiamua kushikilia ndege moja ya KQ mtabaki na mbili
Ushimchibie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!