Tetesi: Ukweli wa Madeni ya TZ na Kushikikiwa kwa Ndege ya ATCL Huu Hapa

Tetesi: Ukweli wa Madeni ya TZ na Kushikikiwa kwa Ndege ya ATCL Huu Hapa

Hiivi huyu mzungu alipataje ardhi? Ni Nani alimlipa fidia wakati anatwaa hilo shamba. Ni wakati wa sisi kudai fidia kwa mashamba waliowanyanganya babu zetu kupitia mahakama hizohizo.
 
Write your reply...ishaurini serikali ismamie vizur mauzo ya korosho msimu huu ili innue ndege zingine
 
Kwa fikra zako za kuvukia barabara unafikiri deni ni la JPM ama CCM?
Hilo deni ni lako wewe mwananchi na ukitaka lilipwe leo ukubali JPM akuongezee ushuru.
Hivi akili ama kamasi?
Kulipa deni na kuongeza ushuru kunahusianaje? Ushuru wa nini hasa? Deni la watanzania wote unalaumu upande mmoja!!!! Au hujui watanzania wote wanalipa kodi zinazolipia madeni? Acha siasa......
 
Back
Top Bottom