Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

Nakwambia hivi kwenye mdahalo mwenyekiti wako ataeleza kivipi wapinzani watabomoa madaraja wakishinda!!
 
Kwahiyo umeamini huu udaku ni kweli?
 
Kuna uzi mmoja ulisema jf imekuwa hacked. Sasa naanza kuamini.
 
Kama Lissu ana mafuriko ilihali hakuwa Nchini, wala anakopita Watanzania hawatangaziwi bali wanastukizwa, basi huu Mwaka tuna hali ngumu..
Hii ni Dalili kwamba wapinzani wa kweli ni Watanzania, sio hawa CHADEMA tunaowavamia kuwapiga, ama kuwabambikia kesi.
Tujitafakari na Kujisahihisha.
 
Kama nawao wamejiunga na jeshi la ukombozi hakuna shida wamejitambua, cha msingi ni mkoloni mweusi aondolewe madarakani madarakani kwa njia ya halali.
 
CCM walikuwa wanatamba sana kipindi kile Cha waunga juhudi,Sasa wameshajua waliounga juhudi walikuwa wao kama wao wala hawakuwa na wafuasi wowote,upinzani utakufa kabla ya 2020! haya sasa badala ya kufa upinzani umekuwa wa mwendo kasi,hata zile tambo zenu hatuzisikii tena mmeshaanza kuweweseka mitandaoni
 
Wewe unatakiwa ukaeudie darasa la kwanza. Yaani mataga cjui akili zenu zimeenda wapi. Unataka kusema hao wagombea wa ccm wanao wanachama mamia kwa mamia ktk kila mkoa. Endeleeni kujitekenya. C mliwanunua wabunge mnalalamika nn sasa wapitisheni. Tuibadilishe Tanzania hawa wasiojua dunia inaenda wapi ndio wanaoidumaza nchi
 
Kila mgombea CCM aliyeshinda kura za maoni anao wanachama jimboni mwake. Kumbuka huu mtandao wanawasiliana kutengeneza hali tete Kila mahali apitapo Lisu. Wengi waanaomshangilia na kumfuata ni Wana CCM mikakati.
 
Huu Uzi kashonee kiraka cha nguo .
Hivi huko CCM mlipelekaga chooni ?
Hata uwezo wa kufikiri na kuja na andiko zuri la kusaidia Taifa lisonge mbele hakuna .
 
Endeleeni kudanganyana tu mkija kushtuka kumekucha Jogoo Hilo linawika kokoliko,CCM mnapaswa kujui Siasa in
Mwaka huu watachinjana wenyewe kwa wenyewe
 
Kuna uzi mmoja ulisema jf imekuwa hacked. Sasa naanza kuamini.
Kuna Uzi mwingine alidai Wanajeshi WA Tz waliwahi kupiga Rwanda Enzi za JK waliingia Hadi sebuleni Kwa PK ,jamaa sidhani kama dishi liko mahala pake.
 
Kuna Uzi mwingine alidai Wanajeshi WA Tz waliwahi kupiga Rwanda Enzi za JK waliingia Hadi sebuleni Kwa PK ,jamaa sidhani kama dishi liko mahala pake.
Ulidhani sio kweli, njoo jeshini uulizie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…