Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

2015 mbona chadema iliwagaraza ccm,
Chadema ilipata kura mili10 ccm ilpata mil 3,
unadhani walioipa CDM kura mil 10 mwaka 2015 mwaka huu wako wapi?
 
Mleta mada, huna hoja umeandika takataka tu.
 
Ndiyo, wakihofia kukatwa. Ni wabunge walioshinda kura za maoni. Wanaitisha kamati kuu ya CCM ione hali ni tete na kukatana kuepukwe kwa mustakabali wa Chama.
Una matatizo kichwani frequency hazisomi dish limeyumba
 
Lisu anazidi kubinya kende za nzi wa kijani, endelea hivyo hivyo lisu, mpaka maji waite mma.
 
Umenena vema
 
Siasa Raha sana.
Hiyo tathmini imeandaliwa wapi?
Umewahoji SAA ngapi hao wadhamini wa Lissu?
Mwisho wa yote ni Yale ya Wajumbe ndo yatakayotokea.
 
..wanaweza kuishia kuwapigia kura wapinzani.

..ccm iliangalia jambo hilo kwa umakini.
Acha tu tarehe 22 mwez huu ifike kamati kuu CCM itoe majina ya wagombea. Waheshimiwa wanahaha sana
 
Siasa Raha sana.
Hiyo tathmini imeandaliwa wapi?
Umewahoji SAA ngapi hao wadhamini wa Lissu?
Mwisho wa yote ni Yale ya Wajumbe ndo yatakayotokea.
Hao sio wadhamini, Mimi namaanisha wale wanaodandia msafara kwa kumpokea na kumshangilia na hata kumsindikiza Kila apitapo ktk maeneo yao. Hapo ndipo wagombea CCM wanapofanya sanaa yao.
 
Wote wanaojitokeza kwenye msafara wa lissu hawajaenda kwa lengo wanamkubali ila iko hivi 10%wanachama damu wa chadema,10%waliowai kumsikia lissu midomoni mwa watu ila hawakuwahi kumuona,10%waliokuja kumshangaa kama ndiye yule aliyepigwa risasi,10%wafanyabiashara ndogondogo,10%jobless,10%wanafiki,10%watoto u18,30%wapiga kura wasiotabirika .
 
Ujinga wa kiwango cha lami!
 
Nani aliye shauri vibaya kuhusu watumishi wa umma kutopata nyongeza ya mishahara miaka 5 iliyo pita?
 
Mnatapatapa. Mtakubali mwaka huu. Ndio kwanzaaaaaa.......tunaanza upyaaaa in bwege's voice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…