R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Aug 15, 2020 #81 Freed Freed said: Hapana, wengi wametumwa na mafisadi kutikisa kiberiti kwa CCM. Siasa mchezo wa hovyo Sana. Click to expand... Wafuasi wa lisu ni wafanyakazi, wakulima na wanafunzi, vijana wasio na ajira, ndugu na jamaa wa waliotekwa na kuteswa na utawala wa awamu ya tano. Full stop
Freed Freed said: Hapana, wengi wametumwa na mafisadi kutikisa kiberiti kwa CCM. Siasa mchezo wa hovyo Sana. Click to expand... Wafuasi wa lisu ni wafanyakazi, wakulima na wanafunzi, vijana wasio na ajira, ndugu na jamaa wa waliotekwa na kuteswa na utawala wa awamu ya tano. Full stop
F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,547 Reaction score 7,167 Aug 15, 2020 Thread starter #82 Jidu La Mabambasi said: Ujinga wa kiwango cha lami! Click to expand... Wagombea wa CCM baadhi yao ni wapuuzi kweli, bila rushwa hawaamini ktk haki. Sasa wanahaha
Jidu La Mabambasi said: Ujinga wa kiwango cha lami! Click to expand... Wagombea wa CCM baadhi yao ni wapuuzi kweli, bila rushwa hawaamini ktk haki. Sasa wanahaha
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,391 Aug 15, 2020 #83 Naantombe Mushi said: Nenda kaote tena ndugu yangu. Click to expand... Naona kaamka kabla ndoto haijaisha
Naantombe Mushi said: Nenda kaote tena ndugu yangu. Click to expand... Naona kaamka kabla ndoto haijaisha
F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,547 Reaction score 7,167 Aug 16, 2020 Thread starter #84 MANI said: Naona kaamka kabla ndoto haijaisha Click to expand... Najua Watanzania wengi wagumu kuelewa.
MANI said: Naona kaamka kabla ndoto haijaisha Click to expand... Najua Watanzania wengi wagumu kuelewa.
F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,547 Reaction score 7,167 Aug 16, 2020 Thread starter #85 Utakuja kugundua soon kamati kuu ikeketi