Ukweli wa mapigano ya mji wa Bakhmut nchini Ukraine

Ukraine ana Mifumo 2 tu ya Patriot.Moja kutoka Marekani na Moja kutoa Ujerumani.

Cha ajabu,Patriot 2 zimeweza kulinda anga la Kiev kikwelikweli. Kila Urusi ikirusha Makombora Kiev yanaambulia patupu.

Sasa ninawaza zikiwekwa 10 kwa mji mmoja? Kama huu mziki woote ni hizo mbili tuu Mmarekan na German
 
Acha kutulisha matango poli Patriot imekuja juzi tu kabla ya hapo anga la Kiev tiyari lilisha kuwa na mifumo kutoka Ujerumani, Uingereza, Israel na mwingine ya S300 ambayo Ukraine alipewa na Soravakia.
Mkuu hii Soravakia ipo sayari ipi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Bakhumut was already falling 🤣🤣🤣
Mrusi ni hatari
 
shehena ya Ukraine inalipuliwa hizo patroit zilifikiri kunguru zinakuja hazikutambua hypersonic
 
Naona leo hii bakhmut imesha bebwa na URUSI....ULIKUWA UNAONGEA ukweli au uwongo??
IN war don't trust any declaration of weakness from your enemy....it is always a TRAP.. huwezi jua mtego wake ni nini? , hebu tusubiri zaidi taarifa
 
Naona leo hii bakhmut imesha bebwa na URUSI....ULIKUWA UNAONGEA ukweli au uwongo??
IN war don't trust any declaration of weakness from your enemy....it is always a TRAP.. huwezi jua mtego wake ni nini? , hebu tusubiri zaidi taarifa

Hapa weken maneno ya akiba kidogo bado ni saa nne asubuh mpaka jua litue mengi yatakuja
 

Key Donbass city fully liberated – Moscow​

Artyomovsk, also known as Bakhmut, has been captured, the Russian Defense Ministry confirmed

Fighters from the Wagner PMC in Artyomovsk, Russia, May 19, 2023. © Sputnik
The Russian troops have completely liberated the strategic Donbass city of Artyomovsk, the scene of a grueling battle for many months, the Russian Defense Ministry confirmed in the early hours of Sunday.
The operation in the city known to Ukrainians as Bakhmut was executed by the “offensive actions” of the private military company Wagner Group with artillery and air support from regular Russian forces, the MOD said.
The statement from the MOD came hours after Wagner chief Evgeny Prigozhin announced on social media that his fighters had taken complete control of the city.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20230520-201256.png
    159.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230520-200925.png
    192.2 KB · Views: 4
  • 5355922-0d22fd924f539d34e3717bfe5cb1a073.mp4
    3.9 MB
Kwa hiyo Ilianzia Crimea utaishia Crimea hakuna tena..
 
Hyo sehemu ya bakhmut inayogombaniwa ukiitolea mfano Tz ni kama sehemu gani? Maaana panaonekana Kuna potentials nyingi sana hapo sio Kwa mapigano hayo
Wanasema Bakhmut ni njia panda ya kwenda maeneo mengine ndani ya Ukraine. Wakiiteka ni sawa wameziba njia zote na kuweka kinga kwa maeneo mengine ndani ya Donbas.

Kwa hapa Tanzania ukiwa unapush kutoka Kusini ni sawa na Morogoro. Utakua umekinga Mbeya, Iringa, Dar na maeneo yote ya Kusini mwa Tanzania.
 
Shukran nimekupata vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…