Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Kwanini unawasoma wakati kila siku unasema ni wapotoshaji... Serikali ya Samia kila siku ni kukanusha.. Hadi chawa mumeiga kukanusha ukweliLeo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji
Wewe mwenyewe unayo sasa?Huna akili
Kuliko wanaokulipaWewe mwenyewe unayo sasa?
Eti na wewe unaingia kamati tendaji ya chadomoghasia kanda!, eti na chadema ni msingi nayo ulikuwa unapga!Kuliko wanaokulipa
Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist).
Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho.
Ukweli ni kwamba, kama ambavyo viambatanisho kadhaa vitathibitisha, mabadiliko yamefanyika. Tafsiri ya mabadiliko haya ni kwamba Marekani, kinyume cha matarajio ya maadui wa Tanzania (akina Maria), imeonesha kuwa haina nia ya kuitenga Tanzania bali inataka kuendelea kushirikiana nayo kwa maslahi ya pamoja.
Viambatanisho vya kilichofanyika na ulinganisho kati ya mswada wa awali na wa sasa ni kama ifuatavyo:
KUONDOA ZUIO (WAIVER) Katika muswada wa awali, hakukuwa na kipengele hiki cha kuondoa zuio.
Muswada wa sasa unairuhusu Serikali ya Marekani kuondoa mazuio yoyote yanayoweza kuwekwa dhidi ya watu binafsi au Serikali ya Tanzania, pale ambapo kufanya hivyo kunalinda maslahi ya Marekani. Hii maana yake ni kwamba mambo yote yako mezani, yanazungumzika.
View attachment 3606557View attachment 3606558View attachment 3606559View attachment 3606560View attachment 3606561
Mkuu yote kwa yote,ukiachana na hao kina Maria Sarungi, Mpaka wafikie huko Hawa Marekani,Hua kuwa kunatatizo la Nchi yetu!Kwa nini watuhadili?Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist).
Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho.
Ukweli ni kwamba, kama ambavyo viambatanisho kadhaa vitathibitisha, mabadiliko yamefanyika. Tafsiri ya mabadiliko haya ni kwamba Marekani, kinyume cha matarajio ya maadui wa Tanzania (akina Maria), imeonesha kuwa haina nia ya kuitenga Tanzania bali inataka kuendelea kushirikiana nayo kwa maslahi ya pamoja.
Viambatanisho vya kilichofanyika na ulinganisho kati ya mswada wa awali na wa sasa ni kama ifuatavyo:
KUONDOA ZUIO (WAIVER) Katika muswada wa awali, hakukuwa na kipengele hiki cha kuondoa zuio.
Muswada wa sasa unairuhusu Serikali ya Marekani kuondoa mazuio yoyote yanayoweza kuwekwa dhidi ya watu binafsi au Serikali ya Tanzania, pale ambapo kufanya hivyo kunalinda maslahi ya Marekani. Hii maana yake ni kwamba mambo yote yako mezani, yanazungumzika.
View attachment 3606557View attachment 3606558View attachment 3606559View attachment 3606560View attachment 3606561
Sasa why hata wewe unashabikia wamarekaniUlivyo lijinga hata dawa ya bawasiri tu unategemea nchi za wateka meri na bukavu ya kongo.kesho usishangae rwanda kukusaidia.Pambana na rasilimali kuwezesha nchi na watu wako.Unaenda kupambana na mataifa internet yao,email yao,utabiri wa kinyeo chako kuwa una kipindu pindu wao,mitumba wao,choo msaada wao.Haya urusi aje kuboresha urojo uwe mtamu kwa kutumia nyukria
Wewe ni mgeni hapa yerusalemu?Mkuu yote kwa yote,ukiachana na hao kina Maria Sarungi, Mpaka wafikie huko Hawa Marekani,Hua kuwa kunatatizo la Nchi yetu!Kwa nini watuhadili?
Wenyeji tuambie ,Kuna nini?Wewe ni mgeni hapa yerusalemu?
The fact kwamba kuna vikwazo kadhaa vinawekwa kwa sababu ya 29 October Massacre ni ishara ya kupoteza dira na muelekeo wa Tanzania.Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist).
Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho.
Ukweli ni kwamba, kama ambavyo viambatanisho kadhaa vitathibitisha, mabadiliko yamefanyika. Tafsiri ya mabadiliko haya ni kwamba Marekani, kinyume cha matarajio ya maadui wa Tanzania (akina Maria), imeonesha kuwa haina nia ya kuitenga Tanzania bali inataka kuendelea kushirikiana nayo kwa maslahi ya pamoja.
Viambatanisho vya kilichofanyika na ulinganisho kati ya mswada wa awali na wa sasa ni kama ifuatavyo:
KUONDOA ZUIO (WAIVER) Katika muswada wa awali, hakukuwa na kipengele hiki cha kuondoa zuio.
Muswada wa sasa unairuhusu Serikali ya Marekani kuondoa mazuio yoyote yanayoweza kuwekwa dhidi ya watu binafsi au Serikali ya Tanzania, pale ambapo kufanya hivyo kunalinda maslahi ya Marekani. Hii maana yake ni kwamba mambo yote yako mezani, yanazungumzika.
View attachment 3606557View attachment 3606558View attachment 3606559View attachment 3606560View attachment 3606561
Asante..mswada bado ni mzuri kwa wanaharakati wanaopigania haki za Watanzania.
..Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akiona kuna ulazima wa kupunguza kibano atalazimika kuitaarifu kamati ya Bunge la Marekani inayohusika na mswada huo.
..pia mswada umejielekeza ktk kuhakikisha vikwazo havituathiri wananchi wa kawaida bali vinawapiga maofisa wa serikali wanaohusika na uminywaji wa HAKI.