Kuanzia 1999 mpaka sasa zaidi ya miaka 16 nimekuwa nikifanya utafiti wapi yalipo makazi ya Mwenyezi Mungu Kisayansi na Kutumia Vitabu vitakatifu hasahasa Biblia Takatifu nimepata majibu pasina shaka kila mumoja wetu atakubaliana nayo.
Utafiti huu haulengi kumchafua mtu mtu yeyote kwa imani yake naomba atakayeshindwa kuelewa asiwe na jaziba maana ni utafiti wangu binafsi.
KISAYANSI; Mpangilio na Usanifu wa muundo wa Ulimwengu wetu ni mpangilio uliofanywa kwa usahihi ndio maana kila kitu kipo katika sehemu yake bila kuathiri kingine kwa mfano; Dunia na Sayari zote katika mfumo wa Jua letu zinalizunguka Jua kwa kasi lakini haziwezi kugongana Na katika Anga yetu kuna Nyota mamilioni na pia Kuna Majua Mengine yametengeneza mifumo mifumo ya Sayari kama tuliyo nayo katika Jua letu, Vitu hivi vinaonekana kwa mbali na haviwezi kufikika kwa urahisi kwa akili za Kibinadamu.
Nina hakika Mwenyezi Mungu anaishi katika mojawapo ya Nyota za Jua kwa kuwa hakuwezi kufikika kwakua kuna joto {moto} kali sana hakuna chochote kinaweza kukaribia hata kwa kilometa milioni moja.
Mpaka hapa nilipo fikia kusoma ,sina haja ya kuendelea uko chini,
Moja,
Katika Anga/sky yetu hakuna jua lingine,labda itokee wanasayansi wakaamua kuita nyota nyinginezo jua,,"NOTE-,Sun/Jua ni Jina/Name". Ila kuna Sun like Stars,either small,same even big, Jua letu ni moja kati ya 100 Bilion stars zilizopo kwa hii galaxy! kumbuka Jua ni Nyota kama nyota nyingine angani, kwenye hii milky way yetu na all over the universe,pia Katika Universe ndipo kuna Galaxy yetu na Galaxy zingine kama 'Andromeda' ambayo ndo jirani yetu, zenye anga zao ambapo pia kunaweza kuwa na Big stars or even Biggest Stars, kama ili la kwetu na pia kuna uwezekano wa kuwa na Solar system kama yetu,usichanganye mambo,Pia narudi tena,hakuna 'nyota za jua', bali kuna nyota ambazo zipo kama/ndogo/au zaidi ya Jua.Pia kuna other Solar System within our Galaxy,,and Solar System yetu is located in the Orion Spur kwenye hii Spiral Milky Way yetu..
Kwa nilivokuelewa,Huu unaosema uchunguzi,ume base kwenye our home Galaxy tu,ambapo wewe ndo unaita 'Universe'! embu rudia hiyo so called research yako tafadhali,kama umeshindwa kujua kua Galaxy na Universe achilia mbali uwezekano wa Universe na Universe nyingine ni vitu viwili tofauti,basi naweza sema ulikua unacheza,hii stori uliyoandika kamwe haiwezi kuchukua miaka 16 kuitunga ,achilia mbali kuwa na walakini mkubwa, ni stori ya dakika moja! Baada ya Dogo kusoma kitabu cha George's Secret Key to the Universe ambapo nauhakika dogo wa miaka mitano anayeanza kukisoma sahivi ataelezea vizuri zaidi yako unayedai umetumia miaka 16 kuelezea maelezo haya ya kitoto.
2nd,
Kitendo cha huyu mungu ku exist inside of this same Universe ,tena kwa maelezo yako tupo nae kwenye galaxy moja maana yake there is nothing special kuhusu yeye,kwa maelezo yako,u-special wake ni yeye kuishi ndani kwenye jua,very funny!kwa maana nyingine,mwanzo wetu ndio mwanzo wake,na yeye pia ni matokea ya Big Bang!sasa kama yeye pia ni matokeo ya mwanzo wa Ulimwengu/Universe,amewezaje kutuumba sisi?kwa maana nyingine,mungu hana mamlaka na hii universe,sasa kwanini unamuogopa na kumsujudu wakati nayeye pia anategemea nature?
Kwa mantiki hii,huna tofauti na Vikings waliokua wanaabudu Eclipse,tena bora wao,maana kwa karne hii ya 21 kuabudu kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako wa kukifikia na hata kukitawala ni utumwa mkubwa sasa,,Religion people mnafurahisha sana,alafu sasa hamna utofauti,hampo logical,kuna wenzio wengine wanaamini kuna jamaa kashikilia dunia kwenye mkono wake,kuna wengine wanaamini kuna lijamaa lipo nje ya Universe linamonitor Universe nzima,nothing you people say makes sense,Hakuna mtu anayemkataza mtu kuamini,tatizo linakuja mnapo jiona mpo very correct na kuchukulia wasio hamini mnacho amini ambacho hakina maana ni wapumbavu na watenda dhambi wakubwa mbele ya huyo mungu wenu,mnatuombea hadi moto
😀 (actually huo moto mlioundiwa sijui utawashwa wapi
😀 ),Long story short,siku nyingine usikurupuke kutumia jina la Sayansi kupost vitu visivo na mantiki,abudu ,sujudu , sifu hakuna hataye kuingilia,ila when it comes tu science,Logic first. We care when you use it wrong.