Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Huweji kumuona Mungu na kumfanyia utafiti mpaka ufe kwanza ukaonane naye kwenye hukumu tukuhoji mwenzetu kwenye utafiti wako ulikufa?
Mkonongo kwani wachungaji na masheikh wanaotangaza neno la Mungu ni wafu
 
Mungu yupo na anisamehe mimi kiumbe wake nisiyeijua kesho natubu.
 
Mungu yupo kila mahali hana mahali pekee imani gani uliyonayo kwa. Mungu
Mungu yupo kila mahali hana mahali pekee imani gani uliyonayo kwa. Mungu
Huwa sikubaliani kuwa Mungu yupo kila mahali 1Timotheo 6:16 yeye peke yake ambaye hapatikani na umauti amekaa ktk nuru isiyoweza kukaribiwa hakuna mwanadamu aliyemwona wala awezaye kumwona utukufu na ukuu una yeye hata milele Soma kutoka
 
Hii topic ni kichefuchefu kitupu.
Nilitaka nipite bila Ku comment lkn mate yamenijaa mdomoni ndio maana nika comment.

Kwanza sitaki kujua Puf puf inarangi gani wakati hiyo kitu haipo
hakuna alie wahi iona zaidi ya kuisikia tu.

Wengine anaishi kwenye moto, wengine juu ya mbingu ya saba!

Mukiulizwa mumemuona? hapana "ni vitabu vinasema"

Vitabu hivyo vimeletwa na nani ? "Muhammad/Yesu"

Je , kuna mmoja wapo kati ya hao aliepata bahati hata ya kumuona tu "hapana"

Sasa ikiwa hao walie waletea hivyo vitabu wao wenyewe hawajawahi kuwaona wewe unapata wapi ujasiri na mapovu kua Mungu yupo?

NB: Mungu hayupo kama nadharia zetu zinavyo tutuma.
Hayupo kwenye jua wala hajajificha juu ya mbingu ya saba.
Na kama angekuepo basi duniani kusingekua na imani nyingi zinazo kinzana mahali alipo lkn zinakubaliana uwepo wake.
Naomba nikuulize unaamini uchawi na mashetani? Unaamini mizimu?
 
Ni utafiti uliovuruga tafiti zote kwa mtafiti kutafiti kitu asichokijua na kupata jawabu lisiloelewaka. Kama mungu anaishi mbona hajatuambia anapendelea kula nini na mwisho wake ni lini? Kisayansi jua ni sehemu ya ulimwengu yaani universe na ndiyo maana jua linasaidia uwepo wa usiku na mchana ukuaji wamimea nk. Kwa hiyo anataka kuwaambia wanaoamini kuwa wakifa wataenda kwa mungu ina maana watahamia kwenye jua?

Katika nuru za nyota kwa kuwa Iman yako imekufa nitaomba kwaajiri yako hjui utendalo mungu akusamehe
 
Unachekesha sana mtoa post,hakuna ajuaye makazi ya mungu,kwa kuwa mungu ndo muumba wa vyote usijeukashamgaa anaishi hata kwenye jua lenyewe,ila tu kwa kuwa ulipo mungu yupo,mungu anaishi nasi ulimwengu mzima

Soma 1Timotheo 6:16 Mungu haishi kila pahala au soma kutoka 19: 1-25 20:1-23
 
Ni mbaya/aibu sn Ku- determine suala la Mungu na uwepo wake Bila kujifunza na kumjua kupitia vitabu vyake na Sayansi pia.
Nakushauri jifunze, mwisho wa ck hautajiuliza maswali Mepesi kiwango hiki
Ni ugum wa kuelewa ama kwa makusudi maswali mepesi ni yépi?
 
Hata dunia ingesimama au athari za dunia kugongwa na vimondo zingekuwa nyingi Mungu yupo ndie anaetukinga na majanga
Ndo huyo awalindae kwa ebola,vimbunga,matetemeko na njaa..?
 
Duniani ni mahali pa kuweka miguu ya MUNGU. Mungu hafanyiwi utafiti, akili za MUNGU hazichunguziki ila Umejitahidi kumtafuta MUNGU
 
Hakuna mungu. Huyu mungu mjuzi wa yote, mwenhe uwezo wote na upendo wote hayupo.

Ni hadithi tu.

Angekuwepo asingeumba ulimwengu wenye madhila kama huu.

Ukisema mungu huyu yupo ni sawa na useme kuna pembetatu duara katika Euclidean geometry.

Pembetatu haiwezi kuwa duara. Duara haiwezi kuwa pembetatu.

Pembetatu duara ni contradiction. Haipo. Ni hadithi tu.

Mungu wenu huyu naye ni contradiction hivyo hivyo.
 
Ndo huyo awalindae kwa ebola,vimbunga,matetemeko na njaa..?
Ndio Mungu anayetulinda, hebu fikili kidogo vimondo vikubwa vinavyokuwa vinaelekea kwenye safari yetu ya dunia na kuishia kudakwa katika sayari sumbura nani alitengeneza mfumo wa kuizuia sayari yetu dunia na majanga.
 
Hakuna mungu. Huyu mungu mjuzi wa yote, mwenhe uwezo wote na upendo wote hayupo.

Ni hadithi tu.

Angekuwepo asingeumba ulimwengu wenye madhila kama huu.

Ukisema mungu huyu yupo ni sawa na useme kuna pembetatu duara katika Euclidean geometry.

Pembetatu haiwezi kuwa duara. Duara haiwezi kuwa pembetatu.

Pembetatu duara ni contradiction. Haipo. Ni hadithi tu.

Mungu wenu huyu naye ni contradiction hivyo hivyo.
Naomba unijibu Unaamini uchawi ? Unaamini mashetani?
 
Ndio Mungu anayetulinda, hebu fikili kidogo vimondo vikubwa vinavyokuwa vinaelekea kwenye safari yetu ya dunia na kuishia kudakwa katika sayari sumbura nani alitengeneza mfumo wa kuizuia sayari yetu dunia na majanga.
Na anawapenda kweli, kwa upofu gani ulionao hata huoni majanga..?
 
Duniani ni mahali pa kuweka miguu ya MUNGU. Mungu hafanyiwi utafiti, akili za MUNGU hazichunguziki ila Umejitahidi kumtafuta MUNGU
Mungu haishi duniani Soma 1timotheo 6:16
 
Na anawapenda kweli, kwa upofu gani ulionao hata huoni majanga..?
Mkuu fikilia kimondo (astroid) kilicho dondoka katika sayari ya Mass 76% ilipata bahari Ingawa bahari hiyo imeganda, kama kingekuja dunian 39.⅔%ingemezwa nn kingetokea katika uhai wa viumbe? Mungu anatulinda
 
mkuu uchawi upo, hata mimi au wewe ukiamua kuwa mchawi inawezekana
Kama mtu anaamini uchawi usio shikika wala kuonekana kwa macho lakini asiamini uwepo wa Mungu basi huyo ni kipofu asie ona na ni kiziwi asiyesikia. Ila mungu ni mwenye huruma atawasaidia maana hawajui walitendalo
 
Back
Top Bottom