Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Je tumeambiwa wanaomuasi Mungu watachomwa moto na haw ata muona sasa unazungumziaje hii kitu
Mungu ni mwema na Mungu ni utukufu usafi wa moyo ndio utakao kufikisha kumjua Mungu na kumuona ila kama ww ni mtenda maovu Hautakaribia utukufu na ukuu wa Mungu. Kutoka 19:1-20 20:1-15
 
Inawezekana sie wavuta sigara kuna ka dalili ka uchamungu
Hapana Mungu ni utukufu aliye ktk nuru isiyoweza kukaribiwa na chochote chenye mwili 1Timotheo:6:16
 
Inawezekana sie wavuta sigara kuna ka dalili ka uchamungu
Hapana Mungu ni utukufu aliye ktk nuru isiyoweza kukaribiwa na chochote chenye mwili 1Timotheo:6:16 Sigara haitakufikisha Matendo mema ya kumpendeza Mungu ndio silaha kumjua Mungu
 
Mnamchunguza mungu mnafikiri mtajua alipo? Mtabaki hatihati lake hamlipati ng'o..;
Lazima tujalibu akili ametupa tuzitumie
Wala Mungu hakutuficha alipo Bali yeye ni utukufu usiokaribiwa na uchafu wa aina yoyote
 
Shetani yupo a hera Mungu yupo katika nuru tofautisha nuru na ahera na kwa Mungu hatuishi viumbe inaishi roho achana na fikila za maisha ya kibinadamu kwa Mungu hatishi mwili tutaishi roho hakuna kula wala kunywa hakuna kuoa wala kuolewa watakatifu wataishi kiroho.
 
Shetani yupo a hera Mungu yupo katika nuru tofautisha nuru na ahera na kwa Mungu hatuishi viumbe inaishi roho achana na fikila za maisha ya kibinadamu kwa Mungu hatishi mwili tutaishi roho hakuna kula wala kunywa hakuna kuoa wala kuolewa watakatifu wataishi kiroho.
 
Rejea na Linganisha:

"Then God’s temple in heaven was opened, and within his temple was seen the ark of his covenant. And there came flashes of lightning, rumblings, peals of thunder, an earthquake and a severe hailstorm" - Revelation 11 NIV

"God...who lives in unapproachable light, whom no one has seen or can see" - 1 Timothy 6 NIV

"...The city does not need the sun or the moon to shine on it, for the glory of God gives it light" - Revelation 21 NIV

"The sun will no more be your light by day,nor will the brightness of the moon shine on you, for the Lord will be your everlasting light" - Isaiah 60 NIV

"I saw the Lord, high and exalted, seated on a throne; and the train of his robe filled the temple. Above him were seraphim, each with six wings: With two wings they covered their faces, with two they covered their feet, and with two they were flying. And they were calling to one another: “Holy, holy, holy is the Lord Almighty; the whole earth is full of his glory.” At the sound of their voices the doorposts and thresholds shook and the temple was filled with smoke...Then one of the seraphim flew to me with a live coal in his hand, which he had taken with tongs from the altar" - Isaiah 6 NIV

"As I looked, “thrones were set in place, and the Ancient of Days took his seat. His clothing was as white as snow; the hair of his head was white like wool. His throne was flaming with fire, and its wheels were all ablaze. A river of fire was flowing,coming out from before him" - Daniel 7 NIV

"The Lord came from Sina and dawned over them from Seir; he shone forth from Mount Paran" - Deuteronomy 33 NIV
 
Hebu ingia nyumbani kwangu nikukute ndani halafu niambie umeingia kwa kutumia uchawi huu.
 
Hebu ingia nyumbani kwangu nikukute ndani halafu niambie umeingia kwa kutumia uchawi huu.
Nimekupa ujifunze wewe uli uamini ukijifunza uchawi kwa mtu usie amini uwepo wa Mungu utaijua nguvu take hata ukipata matatizo ktk hili nitakusaidia kwa kuwa ninaye aliye Mkuu jina kubwa kushinda yote.
 
Nimekupa ujifunze wewe uli uamini ukijifunza uchawi kwa mtu usie amini uwepo wa Mungu utaijua nguvu take hata ukipata matatizo ktk hili nitakusaidia kwa kuwa ninaye aliye Mkuu jina kubwa kushinda yote.
Sitaki kufanya kitu ambacho sikiamini.

Fanya wewe uthibitishe kwamba uchawi unafanya kazi.

Wewe ndiye unayesema uchawi unafanya kazi, hivyo wewe ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha hilo.

Kwa nini wewe unasema uchawi unafanya kazi, halafu unanipa mimi mzigo wa kuthibitisha hilo?
 
Hizo ndio ndoto zenu... Nani kakupa Mastori ya huko anapoishi Mungu? ati Kuna Nuru... zaidi utasoma kwenye Biblia tu iliyoandikwa na mtu kama wewe... Acheni Uzembe
 
Vitabu vyenu vimeandika kuwa Shetani alitupwa Duniani sasa huko ahera kafikaje au hapa Duniani ndio ahera penyewe? wewe unaelekea kanisani kwenu huwa unaenda kusikiliza tu... Kitabu kimeandika kuwa siku ya Mwisho Shetani anatupwa Motoni sasa wewe unapingana na maandiko ya Mungu wako unayoyaamini ati Shetani anaishi Ahera... kisa cha Ayubu hukifahamu katu wewe itakuwa maana kimeandika kuwa Mungu alizungumza na Shetani kuwa Amtese atakavyo Ayub lakini asimtoe roho sasa kama Shetani yupo Ahera basi Ahera ndio Duniani na Yesu alikuja Kuishi Ahera... Muhaahahahaha

Mkuu Upo Level Ndogo sana kupelekana maneno na mimi Kalete Waalimu wenu niwape madondo yao waache kuwapotosheni... Hakuna Mungu... na kama yupo basi alishawatengeni na hawahitajini... ndio kawapeni Shetani muishi naye awachachafye atakavyo... na huku mkijidai mnapendwa na Mungu aliyewapatiliza mababu zenu vizazi na vizazi
 
Mimi nithibitishe Mara ngapi nataka wewe usiye amini ndio maana nimekuwekea hapo ufanye kwa vitendo uamin
 
Au unataka nikusaidieje
 
Sijui nikujibu nikikaa sawa ntaludi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Au unataka nikusaidieje

Unajuaje kwamba wewe ndiye unanisaidia mimi na si mimi ninayekusaidia wewe?

Umesema uchawi wako unaweza kukufanya uingie katika nyumba bila kufunguliwa.

Ingia kwenye nyumba yangu sasa hivi hapa tuongee vizuri.
 
Huwa sikubaliani kuwa Mungu yupo kila mahali 1Timotheo 6:16 yeye peke yake ambaye hapatikani na umauti amekaa ktk nuru isiyoweza kukaribiwa hakuna mwanadamu aliyemwona wala awezaye kumwona utukufu na ukuu una yeye hata milele Soma kutoka
Ndiyo maana yupo popote endelea kuomba na kumsujudia
 

Bro maelezo yako yanaonyesha una tatizo kubwa sana katika kufanya maamuzi ya kuchagua jambo, umechagua kutumia maneno yasiyo na staha dhidi yangu, wakati ulikuwa na nafasi ya kuchagua kutumia maneno yenye staha.. Ndio maana sishangai kuona umechagua kuamini Mungu hayupo.. Huna tatizo kubwa sana bro.. Tatizo lako lipo kwenye kuchagua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…