Mimi nakwambia mpangilio ktk Ulimwengu (universe) kila kitu kipo kipo kwa mpangilio.Kipi kiko wazi? Kwa nini kipo wazi? Kipo wazi kwa nani?
Kila kilicho complex kimesanifiwa?
Mimi nahitaji uthibitisho ulio logically consistent. Unaweza kunipa huo?
Nimekueleza kukana unakoona na kukuharaalisha ni kwa ajiri ya kutafta kuungwa mkono katika kile unachoamini.Sasa contradictions za kwenye Biblia unaziitaje zile?
Unafahamu contradiction ni nini?
Mkuu Mungu ametupa akili inamaana tumjue tumchunguze bila hivo tungekuwa mbuzi na ng'ombe.
Aisee Hi hatari!
Unawezaje kutumia miaka 16 tu kukamilisha Extraordinary research kama hiyo?
NASA wana taarifa yako?
Scientific research ndiyo,Methodology ipi uliyotumia?
Kifaa kipi ulichotumia kuchunguza hiyo nyota?Hubble space telescope?
"Nina hakika mwenyezi Mungu anaishi katika mojawapo ya Nyota za Jua"
'Nyota za Jua' ndiyo kitu gani kaka yangu?
Mkuu,Mungu hachunguziki.
Kila kilicho kwa mpangilio kimeumbwa? Kila chenye order na complexity kimeumbwa?Mimi nakwambia mpangilio ktk Ulimwengu (universe) kila kitu kipo kipo kwa mpangilio.
Ushahidi wangu aliyepangilia kila kitu ktk ulimwengu kuwa ktk Mpango sahihi ni yule aliye Fanya hivi viwepo nampa jina muumbaji ukipinga njoo na ushahidi
Wewe jifunze kuandika Kiswahili kwanza kabla ya kujadili mmbo ya kuwepo Mungu.Nimekueleza kukana unakoona na kukuharaalisha ni kwa ajiri ya kutafta kuungwa mkono katika kile unachoamini.
Kukana (contradiction's) unakoona wewe ni kule kukosa weledi ktk kusoma Bible ukaishia kukalili kipande kinachokupa uharali kuthibitisha ktk unachoamini
Umejuaje kwamba Mungu hachunguziki?Aisee Hi hatari!
Unawezaje kutumia miaka 16 tu kukamilisha Extraordinary research kama hiyo?
NASA wana taarifa yako?
Scientific research ndiyo,Methodology ipi uliyotumia?
Kifaa kipi ulichotumia kuchunguza hiyo nyota?Hubble space telescope?
"Nina hakika mwenyezi Mungu anaishi katika mojawapo ya Nyota za Jua"
'Nyota za Jua' ndiyo kitu gani kaka yangu?
Mkuu,Mungu hachunguziki.
Mkuu ni vipi unasema hakuna HIV huku watu wakiendelea kuteketea?
Watu wakitumia Erv na kunenepeana kama nguruwe wa kufuga?
Kweli kabisa mkuu.Mungu ni roho! mwanzo ume introduce vizuri ktk kueleza ukuu wa Mungu lakini mada yako ikakosa mwelekeo ktk umaliziaji sijui una usingizi, au weekend imekaa vema.
Huwezi kuanza kuelezea ukuu wa Mungu na mwisho unataka kujua Mungu niwa aina weupe au weusi umepoteza maana ya post yako mwanzo umejaribu lakini Mungu ni roho TUKUFU
Mkuu hizo ni dalili za kushindwa naweza kukosea herufi L na R lakini ujumbe umekufika.Wewe jifunze kuandika Kiswahili kwanza kabla ya kujadili mmbo ya kuwepo Mungu.
Jifunze wapi unatumia "l" na wapi unatumia "r" katika Kiswahili.
Kabla hujaweza hilo siwezi kuwa na uhakika kwamba unaweza kufuatilia hoja zangu.
Umeandika kama Mkurya mshamba aliyekuja mjini na mbio za Mwenge mwaka jana.
Unataka kuniambia habari za weledi wakati herufi za Kiswahili zinakushinda?
Mimi siyo mkurya hata sina unasaba wowote na wakuryaWewe jifunze kuandika Kiswahili kwanza kabla ya kujadili mmbo ya kuwepo Mungu.
Jifunze wapi unatumia "l" na wapi unatumia "r" katika Kiswahili.
Kabla hujaweza hilo siwezi kuwa na uhakika kwamba unaweza kufuatilia hoja zangu.
Umeandika kama Mkurya mshamba aliyekuja mjini na mbio za Mwenge mwaka jana.
Unataka kuniambia habari za weledi wakati herufi za Kiswahili zinakushinda?
Ukikosea herufi za "l" na "r" umejinesha huna umakini wa kufuatikia lugha.Mkuu hizo ni dalili za kushindwa naweza kukosea herufi L na R lakini ujumbe umekufika.
Naona somo limekuingia umeishiwa hoja
Nipe mfano hapa duniani kipi unakifahamu kipo kwe mpangilio bila kusababishwa?
Kama unashindwa kuwa na ufahamu ktk mambo ya Mungu ni ngum wewe mwenyewe kujielewa udhaifu wako.Ukikosea herufi za "l" na "r" umejinesha huna umakini wa kufuatikia lugha.
Mjadala ninaoleta umejikita sana katika kuchambua lugha.
Ukiona herufi moja ni kitu kidogo, utachanganya habari za "mzungu" na kuzifabya ni za "mungu". Tifauti ni herufi moja tu. Z.
Umenieleza kwamba hatavukikisea lugha hujakosea hoja.
Umenieleza kwamba nakosea weledi kwenye kusoma Biblia.
Hujaelezea weledi upi. Hujaelezea nakosea wapi. Hujaelezea nakosea vipi. Hujaelezea nikitaka nioatie na nisiendelee kukisea niache kufanya yepi na nifanye yepi.
Inaonekana kama kweli nimejosea, basi wewe ni mvivu wa kujieleza na kujenga hoja.
Ama, sijakosea. Ni wewe tu unashindwa kuelezea vizuri ninejosea wapi kwa sababu wewe ndiye umekosea. Ushazoea uvivu wa kufikiri, unaona makosa hata pale ambapo hayapo. Kwa sababu ni mvivu wa kufikiri.