Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Kama unashindwa kuwa na ufahamu ktk mambo ya Mungu ni ngum wewe mwenyewe kujielewa udhaifu wako.

Unashindwa kuwa na ufahamu kwanini ulimwengu umekuwapo huwezi kuwa na ufahamu kwa udhaifu wako.
Utajuaje yote hayo kama huna attention to detail ya kujua wapi uweke "l" na wapi uweke "r"?

Unakubali kwamba pembetatu ambayo hapo hapo ni duara ipo?
 
Hata wewe pitia mabandiko yako kuna sehemu unakosea lakini ujumbe wako unafika na kila ulicho lenga kinafika.

Mwanadamu hukosea asiye kosea ni Mungu tu

Nimekwambia Mungu ni roho hakuna kisicho wezekana kwake hiyo pembe tatu inakuwa ngum ni vile uwezo wako wa kufikiria umegota.

Challenge!

Unafahamu bacteria wanavoishi na hawawezi kuonekana kwa macho?
Kwa kutumia akili yako niandikie sentensi ya majibu unielekeze umewaona tuanzie hapo utaelewa somo litakuingia tu
 
Kwanza kabisa bacteria wanaonekana kwa macho kwenye microscope.

Pili nani kakwambia nabisha vitu kwa sababu havionekani kwa macho?

Hivi hoja zangu unazielewa au unabisha kitu ambacho hukielewi?

Pembetatu duara ipo? Nitajie ina nyuzi ngapi.
 
Wanasayansi wameeleza specific place ambapo solar eclipse itatokea na ikawa hvyo lakin ikumbukwe wakat yesu anakufa kupatwa kwa jua pia kulitokea nchi yote ikawa Giza so yanayotokea in just continuation.point ya msing kwa nn hao wanasayanc wanatumia theories kuelezea city kama why not reality huoni kwamba wanaelezea kitu ambacho mungu anakioperate mwenye but wengne hueleza tu wanachoona.mfano watabr wa hali ya hewa wametabr from June up to august hali ya hewa dar itakuwa barid na imekuwa hvyo he Hawa nao tutawaita mungu?mungu in yule aliyeumba kila kitu Hawa wengne wanatumia city vlivyopo kueleza how do these things occur, why, where.naonba kuwasilisha
 
Sasa umeuliza mfano ili iweje?

Unaelewa hata wewe mwenyewe unakoelekea au unakwenda bora liende tu?
Mkuu nimekujibu hilo sio swali tatizo umefika mwisho wa kufikili jibu unaita swali
 
Aliumba binadamu kwa mfano wake , anaishije kwenye jua?
Mungu ni roho :
1Timotheo 6:16 Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti amekaa katika nuru ambayo haiwezi kukaribiwa; hakuna mwanadamu aliyemwona wala awezaye kumwona; utukufu na ukuu una yeye hata milele.
Nyota huangaza nuru na nyota ni jua
 
Inaonesha hata maana ya neno "kama" huelewi ni nini.
Mkuu inaonyesha umefika mwisho ubishi tu umeelewa unabaki kudandia hoja kubali hoja yako imeshindwa

Mungu akuhurumie
 
Wanasayansi wameeleza specific place ambapo solar eclipse itatokea na ikawa hvyo lakin ikumbukwe wakat yesu anakufa kupatwa kwa jua pia kulitokea nchi yote ikawa Giza so yanayotokea in just continuation.point ya msing kwa nn hao wanasayanc wanatumia theories kuelezea city kama why not reality huoni kwamba wanaelezea kitu ambacho mungu anakioperate mwenye but wengne hueleza tu wanachoona.mfano watabr wa hali ya hewa wametabr from June up to august hali ya hewa dar itakuwa barid na imekuwa hvyo he Hawa nao tutawaita mungu?mungu in yule aliyeumba kila kitu Hawa wengne wanatumia city vlivyopo kueleza how do these things occur, why, where.naonba kuwasilisha
Mkuu ni kweli kwa bandiko lako naunga mkono hoja %
 
Mkuu nimekujibu hilo sio swali tatizo umefika mwisho wa kufikili jibu unaita swali
Wewe kwanza kajifunze herufi za Kiswahili.

Wapi pa kuweka "l" na wapi pa kuweka "r".

Neno ulilotakiwa kutumia ni "kufikiri" si "kufikili".

Siwezi kuwa na imani kwamba unaweza kufuatilia mjadala na mimi mpaka uweze kujua herufi za Kiswahili kwanza.
 
Mkuu inaonyesha umefika mwisho ubishi tu umeelewa unabaki kudandia hoja kubali hoja yako imeshindwa

Mungu akuhurumie
Kabla ya kuniambia Mungu anihurumie, unaweza kuthibitisha yupo at all?
 
Wewe kwanza kajifunze herufi za Kiswahili.

Wapi pa kuweka "l" na wapi pa kuweka "r".

Neno ulilotakiwa kutumia ni "kufikiri" si "kufikili".

Siwezi kuwa na imani kwamba unaweza kufuatilia mjadala na mimi mpaka uweze kujua herufi za Kiswahili kwanza.
Mkuu; sidhani kama haulewi ni vile unatetea hoja yako iliyoshindwa kuwa na majibu ya unacho kiamini
 
Hujaelewa kwamba suala si mimi kuelewa.

Suala ni uwezo wako wa kuwa na "attention to detail" basic kabisa ya kujua wapi pa kuweka "l" na wapi ni pa kuweka "r".

Hata hilo tu hujaelewa.

Nitegemee vipi kwamba utaelewa "non sequitur" ni nini na "circular argument" ni nini.

Mimi mtu akishindwa kujua wapi pa kuweka "l" na wapi pa kuweka "r" namuona "country bumpkin".

Sasa wewe "country bumpkin" unataka kuja kujadili high level philosophy of religion wapi na wapi?

Kajifunze Kiswahili cha msingi kwanza.
 
Hujui hata unacho kiandika! tatizo Mimi si wa level yako niite boga na kila unacho jisikia.

Watu wengi walio shindwa kama wewe huamua kutumia jaziba kutafta jinsi aonekane ameshinda hata kama anaongea upuuzi.

Mimi ni mtanzania si msomi wa aina ya wasomi uchwara wengi wao mmeishia kujifunza uchwara na kuamini mambo yasiyofaa.

Mnaaminisha watu ujinga kuwa hakuna Mungu lakini mmebeba ajenda nyuma yenu.

Mungu yupo na Dunia uliyomo ni yake ulimwengu na vyote ni vyake yeye.

Mtu unaye amini bacteria wanaonekana kwa microscope kama microscope zisingekuwapo ukaambiwa kuna vijidudu (bacteria) Kwa akili yako bila kuona ungeamini?
 
Back
Top Bottom