Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Kuna mtu kaweza kuthibitisha kwamba Mungu yupo?
Mungu yupo nathibitisha ulimwengu na vilivyomo vimeumbwa na Mungu wewe thibitisha ni tendo gani linakuaminisha kutokuwepo Mungu!!?
 
hahaaa, na ukimuuliza creationist ni kitu gani kinaweza kubadili mawazo yake juu ya uwepo wa Mungu atakujibu "HAKUNA"! Inahitaji moyo wa barafu kudebate na hawa watu!
Pia inahitaji moyo wa barafu Ku dabate na watu wa aina yako Mungu yupo ameumba ulimwengu na vilivyomo.

Wewe thibitisha ni tendo gani linakuaminisha kutokuwepo Mungu.
 
Pia inahitaji moyo wa barafu Ku dabate na watu wa aina yako Mungu yupo ameumba ulimwengu na vilivyomo.

Wewe thibitisha ni tendo gani linakuaminisha kutokuwepo Mungu.
Naona tunarudi kulekule nyuma, sihitaji tendo kukubali uwepo wake (sahihi ni WAO), nahitaji evidence tu! Siku kukipatikana evidence tosha ya uwepo wake nitaamini. Wewe unayeclaim kwamba yupo ndiyo unatakiwa uoneshe proof. Nilisoma story moja kwenye Biblia watu wa babeli katika kuutafuta ukweli kuhusu Mungu waliamua kujenga mnara mrefu, mungu akaogopa kwamba watamfikia akawachanganya lugha ili wasielewane na hivo kukwamisha shughuli ya ujenzi. Aliyetunga hiyo story akifufuka leo akaona magorofa yenye kupita usawa wa mawingu, akiona vifaa vilivyotengenezwa na binadamu vinavyoweza kwenda hata kwenye sayari tofauti kabisa na Dunia hakika atafumbuka macho na hataamini tena uwepo wa mungu.
 
Mungu yupo nathibitisha ulimwengu na vilivyomo vimeumbwa na Mungu wewe thibitisha ni tendo gani linakuaminisha kutokuwepo Mungu!!?

Ndiyo tayari umeshathibitisha hapo?!!...hahahahaa
 
Sababu za Mungu kuumba ulimwengu na yote yaliyomo mema na mabaya anazijua mwenyewe ni sawa na kukuta mhunzi aliweka alama ktk finyanzi yake huwezi fahamu kusudio lake

Bora umekuwa mkweli kusema hivi.

1.Kujibu hivi ni kusema hujui sababu.
2. Ukiwa hujui sababu basi huyu Mungu humuelewi.
3. Kwa hivyo, unamuamini Mungu usiyemuelewa
4.Ukimuamini Mungu usiyemuelewa, si ajabu kuamini Mungu ambaye hayupo
5. Mungu unayemuamini hayupo, kwa sababu idea ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe kama pembetatu ambalo pia ni duara katika Euclidean geometry.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote on the one hand, na ambaye kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana on the other hand ni contradiction.

Upande moja unapingana na mwingine.

Upande wa uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote una kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Lakini hakuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana, kwa mujibu wenu.

Mkiulizwa kwa nini? Hamuwezi kujibu.

Hamuwezi kujibu kwa sababu Mungu huyu hayupo, katungwa tu na watu ambao walikuwa hawajaona hiyo logical contradiction.

Sasa tumeelimika na kuweza kuchambua vitu, hatutakiwi kuamini uongo huu. Ni uongo wa zama za giza.
 
Kuwepo kwa Mungu kunathibitishwa na uhai lakini wewe huna fact ya kuthibitisha kutokuwepo Mungu
Uhai unathibitishaje kuwepo kwa Mungu?

Mungu wako amethibitishwa kwamba hayupo by contradiction. Unafahamu contradiction ni nini?
 
Mungu yupo nathibitisha ulimwengu na vilivyomo vimeumbwa na Mungu wewe thibitisha ni tendo gani linakuaminisha kutokuwepo Mungu!!?
Kusema "mungu yupo nathibitisha ulimwengu na vilivyomo vimeumbwa na Mungu" si kuthibitisha. Ni kusema tu.

Unaweza kuthibitisha?

Mungu wako hawezi kuwapo kwa sababu idea ya kuwapo kwake ina contradiction.

Upande mmoja ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, upande wa pili kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu mabaya hayawezekani.

This is a contradiction.An unresolved one.

Do you even understand what a contradiction is?
 
Kujikana unakofikiri ni vile uwezo wako wa kuchanganua na kuchakata mambo kwa ubongo wako kumekomea hapa.
Mungu yupo ameumba Ulimwengu na vilivyomo ni ipi sababu wewe unamkana Mungu hayupo au umepofuka hata kama kipofu huwezi kupapasa!
 
Uhai unathibitishaje kuwepo kwa Mungu?

Mungu wako amethibitishwa kwamba hayupo by contradiction. Unafahamu contradiction ni nini?
Usibebe contradict kama kielelezo cha kuvukia soma uelewe kujikana unakokudhani ni jinsi uelewa wako umegota kufikiri Mungu ni muweza wa yote uhai wetu ni kielelezo tosha muumba wetu anatupenda mimi
 
Bora umekuwa mkweli kusema hivi.

1.Kujibu hivi ni kusema hujui sababu.
2. Ukiwa hujui sababu basi huyu Mungu humuelewi.
3. Kwa hivyo, unamuamini Mungu usiyemuelewa
4.Ukimuamini Mungu usiyemuelewa, si ajabu kuamini Mungu ambaye hayupo
5. Mungu unayemuamini hayupo, kwa sababu idea ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe kama pembetatu ambalo pia ni duara katika Euclidean geometry.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote on the one hand, na ambaye kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana on the other hand ni contradiction.

Upande moja unapingana na mwingine.

Upande wa uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote una kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Lakini hakuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana, kwa mujibu wenu.

Mkiulizwa kwa nini? Hamuwezi kujibu.

Hamuwezi kujibu kwa sababu Mungu huyu hayupo, katungwa tu na watu ambao walikuwa hawajaona hiyo logical contradiction.

Sasa tumeelimika na kuweza kuchambua vitu, hatutakiwi kuamini uongo huu. Ni uongo wa zama za giza.
Umenielewa vibaya Mungu yupo na kila jambo afanyalo lina makusudi yake Mungu ni mwenye uwezo wote hakuna kinachoweza kumshinda yeye ni Alfa na
Omega
 
Kujikana unakofikiri ni vile uwezo wako wa kuchanganua na kuchakata mambo kwa ubongo wako kumekomea hapa.
Mungu yupo ameumba Ulimwengu na vilivyomo ni ipi sababu wewe unamkana Mungu hayupo au umepofuka hata kama kipofu huwezi kupapasa!
Maswali yaliyo katika post uliyonukuu umeyaelewa? Kwa nini hujayajibu?

Unafahamu contradiction ni nini?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Naona tunarudi kulekule nyuma, sihitaji tendo kukubali uwepo wake (sahihi ni WAO), nahitaji evidence tu! Siku kukipatikana evidence tosha ya uwepo wake nitaamini. Wewe unayeclaim kwamba yupo ndiyo unatakiwa uoneshe proof. Nilisoma story moja kwenye Biblia watu wa babeli katika kuutafuta ukweli kuhusu Mungu waliamua kujenga mnara mrefu, mungu akaogopa kwamba watamfikia akawachanganya lugha ili wasielewane na hivo kukwamisha shughuli ya ujenzi. Aliyetunga hiyo story akifufuka leo akaona magorofa yenye kupita usawa wa mawingu, akiona vifaa vilivyotengenezwa na binadamu vinavyoweza kwenda hata kwenye sayari tofauti kabisa na Dunia hakika atafumbuka macho na hataamini tena uwepo wa mungu.[/QU
Mungu yupo amini acha kujitia upofu papasa utagusa
 
Usibebe contradict kama kielelezo cha kuvukia soma uelewe kujikana unakokudhani ni jinsi uelewa wako umegota kufikiri Mungu ni muweza wa yote uhai wetu ni kielelezo tosha muumba wetu anatupenda mimi
"Usibebe contradict" maana yake nini?

Unafahamu lugha ngapi zaidi ya Kiswahili?

Umesoma vitabu vingapi vya falsafa na atheism mwaka huu?

Umesoma kitabu gani zaidi ya vitabu vya dini mwaka huu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Umenielewa vibaya Mungu yupo na kila jambo afanyalo lina makusudi yake Mungu ni mwenye uwezo wote hakuna kinachoweza kumshinda yeye ni Alfa na
Omega
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza... ni kwanin watu wanajali jambo ambalo u can't prove kama linaexist or not??? why are we bothered??.... why are we creating things in our minds... ni kwanin tunaelezewa mambo ya kale ambayo u can't justify if they are true words or not.... generation kadhaa zilizopita zilikuwa hazijui kabla ya ukoloni... watu walikuwa wanaishi tofauti na tunavyoishi sisi. Walikuwa hawaendi kanisani wala misikitini.... kwasasa tunaamin bila kufanya hayo ni dhambi kwa Mungu. Why tuishi kwenye the same planet earth alafu tuwe judged differently na Mungu huyo mmoja.
 
Maswali yaliyo katika post uliyonukuu umeyaelewa? Kwa nini hujayajibu?

Unafahamu contradiction ni nini?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Nimeelewa nimekujibu Kujikana (contradiction) ni kipengere ulichokomaa nacho lakini ni vile unashindwa kupambanua maandiko unakaririsha kichwa chako na ukaamini kipengere kimoja bila kusoma na kutafakari mwendelezo au mwanzo ulianzia wapi na umefkaka wapi!
"Usibebe contradict" maana yake nini?

Unafahamu lugha ngapi zaidi ya Kiswahili?

Umesoma vitabu vingapi vya falsafa na atheism mwaka huu?

Umesoma kitabu gani zaidi ya vitabu vya dini mwaka huu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Mungu yupo siyo wa kufikirika kama mawazo yako yalivyo.

Lugha ninazo ongea ni 5

Mwaka huu nimesoma vitabu 2 vya falsafa
sijasoma atheism sioni logic ya kusoma atheism

Nimesoma vitabu vingi ila Dini sijasoma.

Mungu yupo Ulimwengu umekuwapo kwa ajiri take.
Katik akili yako unaamini Ulimwengu umekuwapo kwa sababu flani hicho kilichosababisha na Mungu.
 
Mimi ni Muislam kaka na hoja yangu ni Quran.Mwenyezi Mungu yuko juu zaidi baada ya mbingu ya saba.Yuko kwenye arshi tukufu kwa lugha rahisi kiti cha enzi.
Mkuu unatumia nguvu nyingi...in the books hakuna testing au justification yenye logic ya kueleweka... zaidi ya kuambiwa have faith.
 
Back
Top Bottom