Ni kweliMtu asiye muaminifu
Ni wa kumuepuka sn ktk utaftaji wako
Hata muandikishane mikataba lukuki,
Muhun Ni muhuni TU,atakudhulumu.
Pia kuendesha kesi za madai Hizi mahakamani zetu utajikuta unapoteza Muda na pesa zaidi ya ulizodhurumiwa.
mtaji wa kupewa ningumu sana kuendelezaWaBongo uvumilivu ni sifuri,
Ndo maana biashara nyingi za partnership zinafeli, biashara bado changa ndo Kwanza imechanganya, tamaa inawaka wanataka waanze kugawana faida.
Kufilisika Ni muunganiko wa matukio mengi ya pesa kutoka nje ya mzungukoKama ni lazima na muhimu kutoa pesa kwa mtu, bora hiyo pesa uiite msaada utabaki na amani rohoni.
Ila ukiita mkopo utabaki na maumivu ndani ya nafsi na kujenga uhasama usiokuwa wa lazima.
Kabisa mkuu,mtaji wa kupewa ningumu sana kuendeleza
bishara lazima ukopeshe watu nawe lazima ukopeshwe hakuna alie wai kusimama kwa miguu yake peke yake,kudhurumiwa hiyo ni changamoto tuKama ni lazima na muhimu kutoa pesa kwa mtu, bora hiyo pesa uiite msaada utabaki na amani rohoni.
Ila ukiita mkopo utabaki na maumivu ndani ya nafsi na kujenga uhasama usiokuwa wa lazima.
bashara ni kazi kama zilivio nyingine inataji mtaji uzoefu sehemu ya kufanyia biashara uvumilivu kuepuka matumizi yasio ya lazima jinsi ya kununua kuuza,fikili mtu katoka chuo baba yake kasitafu kampa mtaji ankulupuka kufungua biashara bila kujuaKabisa mkuu,
Mtu anakua Hana uchungu wa kupoteza
Biashara haihitaji mihemko,bashara ni kazi kama zilivio nyingine inataji mtaji uzoefu sehemu ya kufanyia biashara uvumilivu kuepuka matumizi yasio ya lazima jinsi ya kununua kuuza,fikili mtu katoka chuo baba yake kasitafu kampa mtaji ankulupuka kufungua biashara bila kujua
alio wakuta wananunuaje na wanauzaje analeta habari ya chuoni na
anafungua biashara sehemu aliopoona wenzake wanauza sana kumbe wenzaka hao wanamiaka kwenye biashara hiyo wanamajina wateja wengi nae anataka kwa mizi 2 awenao sawa
Tatizo la Hii kauli Watu wanaikosea Sana na wanaibeba Kama ilivyo mwisho wa siku wanafilisika.bishara lazima ukopeshe watu nawe lazima ukopeshwe hakuna alie wai kusimama kwa miguu yake peke yake,kudhurumiwa hiyo ni changamoto tu
mkuu uko vizuri Sana Sana👏KINGINE wakuu,
Epuka Sana kuendesha biashara yako kwa mfumo wa Mali kauli,Hii kitu imefilisi wengi
Huu mfumo sio wa kila mtu
Mfumo huu unahitaji Watu wenye uvumilivu na nidhamu kubwa Sana ya pesa
Na ukijiona uko ktk mfumo huu,
Basi biashara yako simamia mwenywe mauzo yote na usiweke Watu
Unaweza weka kijana,MKE au ndugu
Mmeuza milioni 10, akajua leo tumeuza Sana, Hapa faida yetu milioni 2 haikosi.
Akajimegea laki 5 yake kibindoni kujipongeza na kufanyia Jambo lake.
Kumbe mzigo wenyewe mliouza Ni mzigo wa mali kauli, mnatakiwa kurejesha mil 9.8 ya watu, yenu hapo Ni laki 2 tu.
Ukizoea Mali kauli,
Utajikuta duka limeshona Mali balaa na unauza Sana,Kumbe unauza bidhaa za watu. Na hela unazopata sio zako, za Watu.
Sasa siku ghafla mwenye Mali kauli akisema nmesitisha MKATABA na wewe, nilipe pesa zangu zote nnazokudai.
Utashangaa Dukan kwako mzgo wote umekata ghafla, Unalazimika kuuza bidhaa zako zote ili kulipia Deni la Watu.
Ile Unamaliza kulipa Deni,
Unajikuta shelfu zimebaki wazi huna tena bidhaa za kuuza Wala pesa za kununua mzigo mwngn. Na supplier wa Mali kauli keshajiweka kando.
Utajikuta tayar ushafilika kimasihara[emoji4]
samahani mkuu wavaakobazi wapoje?hio kobazi ni vazi gani? shukrani👏Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
Nadhubutu kukusecond kwa hilo usemalo ni kweli kabisa .Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
Wavaa kobazi Sio tusi mkuu,samahani mkuu wavaakobazi wapoje?hio kobazi ni vazi gani? shukrani[emoji122]