Ukweli wa watu wengi kufilisika

Ukweli wa watu wengi kufilisika

Muccigang

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2022
Posts
1,313
Reaction score
1,918
Habari guys

Kuna kitu watu wengi huwa hawakisemi ila kwa utafiti wangu na bado najiuliza kwanini watu huwa hawakisemi
kufanya kazi kwa kuaminianaau makubaliano.

Unafanya biashara na watu unawapa pesa kisa unawaamnini no contract itakufanya uhisi unamikosi kila siku maana utavuna maumivu na itakupa shida kudai haki yako mdaiwa hafungwi kumbuka.

ONGEZEN ZINGINE TUZID KUJIFUNZA
 
Mtu asiye muaminifu
Ni wa kumuepuka sn ktk utaftaji wako

Hata muandikishane mikataba lukuki,
Muhun Ni muhuni TU,akishadhamilia kukudhulumu lazima atakudhulumu TU.

Pia kuendesha kesi za madai Hizi mahakamani zetu utajikuta unapoteza Muda na pesa zaidi ya hizo ulizodhurumiwa.
 
Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
 
Kama ni lazima na muhimu kutoa pesa kwa mtu, bora hiyo pesa uiite msaada utabaki na amani rohoni.
Ila ukiita mkopo utabaki na maumivu ndani ya nafsi na kujenga uhasama usiokuwa wa lazima.
Kufilisika Ni muunganiko wa matukio mengi ya pesa kutoka nje ya mzunguko

Kamwe Usikopeshe pesa unayoitegemea Kwny mzunguko wako,hata ukidhulumiwa haiwezi kupeleka kufilisika.
 
Kama ni lazima na muhimu kutoa pesa kwa mtu, bora hiyo pesa uiite msaada utabaki na amani rohoni.
Ila ukiita mkopo utabaki na maumivu ndani ya nafsi na kujenga uhasama usiokuwa wa lazima.
bishara lazima ukopeshe watu nawe lazima ukopeshwe hakuna alie wai kusimama kwa miguu yake peke yake,kudhurumiwa hiyo ni changamoto tu
 
Kabisa mkuu,
Mtu anakua Hana uchungu wa kupoteza
bashara ni kazi kama zilivio nyingine inataji mtaji uzoefu sehemu ya kufanyia biashara uvumilivu kuepuka matumizi yasio ya lazima jinsi ya kununua kuuza,fikili mtu katoka chuo baba yake kasitafu kampa mtaji ankulupuka kufungua biashara bila kujua

alio wakuta wananunuaje na wanauzaje analeta habari ya chuoni na

anafungua biashara sehemu aliopoona wenzake wanauza sana kumbe wenzaka hao wanamiaka kwenye biashara hiyo wanamajina wateja wengi nae anataka kwa mizi 2 awenao sawa
 
Ili kuepuka kufilisika
Pia epuka biashara yako tabia ya kuwakopesha sana wateja.

Yaani
Kuwakopesha wateja iwe Ni kwa dharula TU na wasijenge mazoea. Maana wateja wakikuzoea unakopesha kirahisi utashangaa kwa wengine wanalipa cash,wakija kwako ndo wanakukopa.

Pia epuka kumkopesha mteja kavukavu,
Lazimisha kwanza Alipie nusu au robo tatu, afu nyingine inayobaki ndo adaiwe.

Pia hiyo inayobaki unamdai jitahidi iwe ni sehemu ya faida yako,ili asipolipa Deni lake, ihesabike hujapata faida Wala hasara.

Bali pesa aliyokupa unaenda kununua mali nyingine na kuendeleza mzunguko wako.

Pia kumbuka
Kwenye biashara kukopesha kopesha Sana Ni kuwafukuza wateja, akikamia kumdai Sana mteja mnagombana na unajichafua.

Na wateja wakishakujua kwenye madeni unakamia sana,utashangaa hata usiwadai wanakuhama[emoji4]
 
bashara ni kazi kama zilivio nyingine inataji mtaji uzoefu sehemu ya kufanyia biashara uvumilivu kuepuka matumizi yasio ya lazima jinsi ya kununua kuuza,fikili mtu katoka chuo baba yake kasitafu kampa mtaji ankulupuka kufungua biashara bila kujua

alio wakuta wananunuaje na wanauzaje analeta habari ya chuoni na

anafungua biashara sehemu aliopoona wenzake wanauza sana kumbe wenzaka hao wanamiaka kwenye biashara hiyo wanamajina wateja wengi nae anataka kwa mizi 2 awenao sawa
Biashara haihitaji mihemko,
Ndo maana biashara nyingi changa kutoboa miaka 5 ya kwanza Ni ngumu sn.
Kuisimamisha biashara sio kazi ndogo mkuu
 
KINGINE wakuu,
Epuka Sana kuendesha biashara yako kwa mfumo wa Mali kauli,Hii kitu imefilisi wengi

Huu mfumo sio wa kila mtu
Mfumo huu unahitaji Watu wenye uvumilivu na nidhamu kubwa Sana ya pesa

Na ukijiona uko ktk mfumo huu,
Basi biashara yako simamia mwenywe mauzo yote na usiweke Watu

Unaweza weka kijana,MKE au ndugu
Mmeuza milioni 10, akajua leo tumeuza Sana, Hapa faida yetu milioni 2 haikosi.
Akajimegea laki 5 yake kibindoni kujipongeza na kufanyia Jambo lake.

Kumbe mzigo wenyewe mliouza Ni mzigo wa mali kauli, mnatakiwa kurejesha mil 9.8 ya watu, yenu hapo Ni laki 2 tu.

Ukizoea Mali kauli,
Utajikuta duka limeshona Mali balaa na unauza Sana,Kumbe unauza bidhaa za watu. Na hela unazopata sio zako, za Watu.

Sasa siku ghafla mwenye Mali kauli akisema nmesitisha MKATABA na wewe, nilipe pesa zangu zote nnazokudai.

Utashangaa Dukan kwako mzgo wote umekata ghafla, Unalazimika kuuza bidhaa zako zote ili kulipia Deni la Watu.

Ile Unamaliza kulipa Deni,
Unajikuta shelfu zimebaki wazi huna tena bidhaa za kuuza Wala pesa za kununua mzigo mwngn. Na supplier wa Mali kauli keshajiweka kando.

Utajikuta tayar ushafilika kimasihara[emoji4]
 
mkuu uko vizuri Sana Sana👏
 
Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
samahani mkuu wavaakobazi wapoje?hio kobazi ni vazi gani? shukrani👏
 
Kibongo bongo Ukitaka ufanikiwe,
Fanya biashara na wenye hofu ya Mungu,
Hasa wavaa kobazi, wazee wa swala tano.
Hasa wazanzibari,wasomali au waarabu
Kiukweli tangu nmefanya nao kazi sijawahi kujuta[emoji4][emoji1431]
Nadhubutu kukusecond kwa hilo usemalo ni kweli kabisa .

I used kuwakopesha wanafunzi wa vyuo kadhaa hela kipindi booms zao zimeisha .

Sasa watu wa dini yangu ya kiislamu sikuwahi kuzingushwa wala kutopewa hela yangu ila upande ule walinitaka nijiue watoto wale .

Ofcourse iko hivyo japo sio kwa asilimia 100
 
samahani mkuu wavaakobazi wapoje?hio kobazi ni vazi gani? shukrani[emoji122]
Wavaa kobazi Sio tusi mkuu,
Ni Neno tu la utani Tu tumezoea kuwaita wenzetu waislamu Safi ,hasa wale wazee wa swala tano.

kobazi ni viatu vya wazi ambavyo wao upendelea Sana kuvivaa ili kua comfortable na Ratiba zao wa sala 5.

Mashehe hawapendi kuvaa viatu complicated maana wanapenda Sana kuvua viatu na kunawa kila baada ya masaa machache ili kuingia mskitinu kusali.[emoji4]
 
Back
Top Bottom