Ukweli wa Zahera Mwinyi kuhamia Azam ni upi ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuna habari inazunguka mitandaoni kwamba Kocha wa Yanga ( Ambaye pia ndio Mganga wa timu hiyo kutokana na kuwahi kufanya shughuli za uganga kwao Congo ) , Ndugu Zahera Mwinyi ana mpango wa kuikacha timu yenye njaa kali ya Yanga na kuhamia Azam.

Kama kuna mwenye ukweli wa hili atuwekee hapa .
 
Wanasema kwa hali halisi ndio hivyo...

Hili nililiona toka alipofukuzwa Hans Der Puljm...NILIAMINI NI ZAHERA ANATAFUTIWA NAFASI...

ILA TATIZO LILILOPO AZAM SIO KOCHA...NAONA WANATUMIA KOCHI KAMA KICHAKA CHA KUJIFICHIA...

HILO NI TATIZO LA MANAGEMENT...AU TUKIONGEZEA NA AGENCY PROBLEM...

MANAGEMENT YA AZAM ILIYOILETA AZAM HAPA ILIPO SIO HII INAYOIENDESHA AZAM HIVI SASA...HAWA WALIOPO HIVI SASA HAWANA AKILI NA WANA SERA ZA KIBAHILI...

Hata akija Zahera kama wasipobadilika hata zahera ataondoka achukue dili la kufundisha timu ya taifa...

LABDA WAMUAHIDI ZAHERA FUNGU LA KUTOSHA KUSAJILI AWATAKAO...MAANA ZAHERA NI BONGE LA KOCHA...HAKUNA ASIYEJUA...

HATA HANS NAE YUPO VIZURI...ILA MANAGEMENT YA AZAM NI UTUMBO TU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante mkuu
 
Sasa hivi Yanga haina pesa. Lakini ina kitu muhimu zaidi - akili.

Azam hawana shida ya pesa lakini wanakosa kitu muhimu - akili.

Azam hawajui wanataka nini, wakati gani na kwa sababu gani.
 
kweli mkuu nimeshangaa wanamfukuza hans

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu haina morali!
Wanadhani wakibadili kocha morali ya timu itarudi!
Ila na mm siungi mkono kumfukuza Mzungu. Ila ndio dunia ya soka ilivo. Reference: Madrid, Man U, Arsenal! Na pia sioni tatizo kufungwa na SIMBA! SIMBA kampiga Mwarabu then YANGA! Hii inamaanisha SIMBA wapo vizuri! Labda matokeo ya Mbeya na Tanga yamewakatisha tamaa!

wanafanya sajili kisanii sana yaani chirwa na ngoma ndio wakuwasajili hawana hata mawakala wakuwatafutia majembe makali ambayo yakawa mapro ya ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema kwa hali halisi ndio hivyo...

Hili nililiona toka alipofukuzwa Hans Der Puljm...NILIAMINI NI ZAHERA ANATAFUTIWA NAFASI...

ILA TATIZO LILILOPO AZAM SIO KOCHA...NAONA WANATUMIA KOCHI KAMA KICHAKA CHA KUJIFICHIA...

HILO NI TATIZO LA MANAGEMENT...AU TUKIONGEZEA NA AGENCY PROBLEM...

MANAGEMENT YA AZAM ILIYOILETA AZAM HAPA ILIPO SIO HII INAYOIENDESHA AZAM HIVI SASA...HAWA WALIOPO HIVI SASA HAWANA AKILI NA WANA SERA ZA KIBAHILI...

Hata akija Zahera kama wasipobadilika hata zahera ataondoka achukue dili la kufundisha timu ya taifa...

LABDA WAMUAHIDI ZAHERA FUNGU LA KUTOSHA KUSAJILI AWATAKAO...MAANA ZAHERA NI BONGE LA KOCHA...HAKUNA ASIYEJUA...

HATA HANS NAE YUPO VIZURI...ILA MANAGEMENT YA AZAM NI UTUMBO TU...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vitu vya muhimu,ila pia kwa tetesi zilizokua chini ya kapeti ni kwamba Hance alichagia kuifikisha Azamu kwenye matokeo ya saizi, inasemekana Hance alianza kuwagawa wachezaji aliowakuta na aliyowasajili ndo mana wachezaji walikua hawajitumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna habari inazunguka mitandaoni kwamba Kocha wa Yanga ( Ambaye pia ndio Mganga wa timu hiyo kutokana na kuwahi kufanya shughuli za uganga kwao Congo ) , Ndugu Zahera Mwinyi ana mpango wa kuikacha timu yenye njaa kali ya Yanga na kuhamia Azam.

Kama kuna mwenye ukweli wa hili atuwekee hapa .
Wanachama wa CHAPUTA na MBUMBUMBU FC mawazo yao yanaingiliana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je Ni kweli Zahera anaenda Azam? Mwenyewe asema haya

Mara baada ya Azam Fc kumfukuza kazi kocha wake mkuu na kocha msaidizi Hans Van Pluijm na Juma Mwambusi ziliibuka taarifa za kocha wa Yanga Zahera Mwinyi kutua Azam Fc kumrithi Pluijm.

Baada ya Taarifa hizo Kocha Zahera ameibuka na kufunguka kuwa taarifa hizo si za KWELI Kama zinavyosemwa na baadhi ya watu namitandao ambayo imekuwa ikiandika.

Zahera ameenda mbali na kusema hajafanya mazungumzo na kiongozi yoyote wa Azam Fc na pia hakuna kiongozi wa Azam Fc anayejuana naye zaidi ya kuonana au kumuona labda ila hajawahi kukaa chini na kuzungumza nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna genge la wajanja wanakula pesa ya tajiri
Unamaanisha Yusuf SSB anapigwa? Yule mbona mjanja na Mjuzi sana wa mambo ya soka.... na najua ana uswahiba mkubwa na wanandinga legends km Machupa, Kally Mangonga, Shekhan et al!
 
Mkuu, huko Azam kuanzia akina Saad Kawemba wamepiga sana bila aibu.
 
Ni dhahiri Azam wamepoteza uelekeo. Hata mimi nakubaliana tatizo sio kocha, tatizo ni maono vs mikakati.
Wanataka kuwa timu kubwa lakini hawawekezi ipasavyo kwa wachezaji, kuanzia usajili, maandalizi na hata vipaumbele.

Angalia nguvu inayotumika kwenye mapinduzi = wachezaji wanacheza mechi karibu 7 hadi ya siku 13 tu, na hao hao wacheza mechi za ligi kuu na kushinda?
 
Kama hizi tetesi ni kweli sijui kwa nini Azam wanapenda kuchukua makocha wa yanga
 
Timu haina morali!
Wanadhani wakibadili kocha morali ya timu itarudi!
Ila na mm siungi mkono kumfukuza Mzungu. Ila ndio dunia ya soka ilivo. Reference: Madrid, Man U, Arsenal! Na pia sioni tatizo kufungwa na SIMBA! SIMBA kampiga Mwarabu then YANGA! Hii inamaanisha SIMBA wapo vizuri! Labda matokeo ya Mbeya na Tanga yamewakatisha tamaa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Al ahly 5-0 Simba, away
Simba 1-0 Al ahly, home
 
Back
Top Bottom