Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
asante mkuuWanasema kwa hali halisi ndio hivyo...
Hili nililiona toka alipofukuzwa Hans Der Puljm...NILIAMINI NI ZAHERA ANATAFUTIWA NAFASI...
ILA TATIZO LILILOPO AZAM SIO KOCHA...NAONA WANATUMIA KOCHI KAMA KICHAKA CHA KUJIFICHIA...
HILO NI TATIZO LA MANAGEMENT...AU TUKIONGEZEA NA AGENCY PROBLEM...
MANAGEMENT YA AZAM ILIYOILETA AZAM HAPA ILIPO SIO HII INAYOIENDESHA AZAM HIVI SASA...HAWA WALIOPO HIVI SASA HAWANA AKILI NA WANA SERA ZA KIBAHILI...
Hata akija Zahera kama wasipobadilika hata zahera ataondoka achukue dili la kufundisha timu ya taifa...
LABDA WAMUAHIDI ZAHERA FUNGU LA KUTOSHA KUSAJILI AWATAKAO...MAANA ZAHERA NI BONGE LA KOCHA...HAKUNA ASIYEJUA...
HATA HANS NAE YUPO VIZURI...ILA MANAGEMENT YA AZAM NI UTUMBO TU...
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu nimeshangaa wanamfukuza hansSasa hivi Yanga haina pesa. Lakini ina kitu muhimu zaidi - akili.
Azam hawana shida ya pesa lakini wanakosa kitu muhimu - akili.
Azam hawajui wanataka nini, wakati gani na kwa sababu gani.
Post matata sana hiiSasa hivi Yanga haina pesa. Lakini ina kitu muhimu zaidi - akili.
Azam hawana shida ya pesa lakini wanakosa kitu muhimu - akili.
Azam hawajui wanataka nini, wakati gani na kwa sababu gani.
Timu haina morali!
wanafanya sajili kisanii sana yaani chirwa na ngoma ndio wakuwasajili hawana hata mawakala wakuwatafutia majembe makali ambayo yakawa mapro ya ukweliTimu haina morali!
Wanadhani wakibadili kocha morali ya timu itarudi!
Ila na mm siungi mkono kumfukuza Mzungu. Ila ndio dunia ya soka ilivo. Reference: Madrid, Man U, Arsenal! Na pia sioni tatizo kufungwa na SIMBA! SIMBA kampiga Mwarabu then YANGA! Hii inamaanisha SIMBA wapo vizuri! Labda matokeo ya Mbeya na Tanga yamewakatisha tamaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vitu vya muhimu,ila pia kwa tetesi zilizokua chini ya kapeti ni kwamba Hance alichagia kuifikisha Azamu kwenye matokeo ya saizi, inasemekana Hance alianza kuwagawa wachezaji aliowakuta na aliyowasajili ndo mana wachezaji walikua hawajitumi.Wanasema kwa hali halisi ndio hivyo...
Hili nililiona toka alipofukuzwa Hans Der Puljm...NILIAMINI NI ZAHERA ANATAFUTIWA NAFASI...
ILA TATIZO LILILOPO AZAM SIO KOCHA...NAONA WANATUMIA KOCHI KAMA KICHAKA CHA KUJIFICHIA...
HILO NI TATIZO LA MANAGEMENT...AU TUKIONGEZEA NA AGENCY PROBLEM...
MANAGEMENT YA AZAM ILIYOILETA AZAM HAPA ILIPO SIO HII INAYOIENDESHA AZAM HIVI SASA...HAWA WALIOPO HIVI SASA HAWANA AKILI NA WANA SERA ZA KIBAHILI...
Hata akija Zahera kama wasipobadilika hata zahera ataondoka achukue dili la kufundisha timu ya taifa...
LABDA WAMUAHIDI ZAHERA FUNGU LA KUTOSHA KUSAJILI AWATAKAO...MAANA ZAHERA NI BONGE LA KOCHA...HAKUNA ASIYEJUA...
HATA HANS NAE YUPO VIZURI...ILA MANAGEMENT YA AZAM NI UTUMBO TU...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachama wa CHAPUTA na MBUMBUMBU FC mawazo yao yanaingiliana.Kuna habari inazunguka mitandaoni kwamba Kocha wa Yanga ( Ambaye pia ndio Mganga wa timu hiyo kutokana na kuwahi kufanya shughuli za uganga kwao Congo ) , Ndugu Zahera Mwinyi ana mpango wa kuikacha timu yenye njaa kali ya Yanga na kuhamia Azam.
Kama kuna mwenye ukweli wa hili atuwekee hapa .
Kuna genge la wajanja wanakula pesa ya tajiri
Unamaanisha Yusuf SSB anapigwa? Yule mbona mjanja na Mjuzi sana wa mambo ya soka.... na najua ana uswahiba mkubwa na wanandinga legends km Machupa, Kally Mangonga, Shekhan et al!Kuna genge la wajanja wanakula pesa ya tajiri
uswaiba wake na hao hausaidii kitu sio kwa sajili mbovu hizi chirwa na ngomaUnamaanisha Yusuf SSB anapigwa? Yule mbona mjanja na Mjuzi sana wa mambo ya soka.... na najua ana uswahiba mkubwa na wanandinga legends km Machupa, Kally Mangonga, Shekhan et al!
Mkuu, huko Azam kuanzia akina Saad Kawemba wamepiga sana bila aibu.Unamaanisha Yusuf SSB anapigwa? Yule mbona mjanja na Mjuzi sana wa mambo ya soka.... na najua ana uswahiba mkubwa na wanandinga legends km Machupa, Kally Mangonga, Shekhan et al!