Na hiki ndicho kinachofanya diamond asipige hatua za hapo , inabidi achukue maaamuzi magumu ya kuachana na tale bila hivyo itakula kwake kama vile Tip Top connection ilivyokula kwaoDu! Ila kamtoa mbali.
Ni ubahiri tuAngekuwa na hela asingeomba poo kwenye ile kesi aliyokuwa anadaiwa fidia ya Tshs.200mil
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli bora amuajiri Le Mutuz alisomea mambo ya meli lakini ni talented sana kwenye intertainment industry. Si mnakumbuka ile show ya Diamond Tukuyu?
Ana mameneja watatuHivi manager wa Diamond si nasikiaga eti ni Salam au.? Naomba kueleweshwa.
Au ulitaka aongozane na tunda man ambae anamtusi na show kwa mwaka mojaTatizo mashabiki wa diamond mnaushabiki unaovuka mipaka diamond tumemjua sababu ya muziki mambo mengine hayatuhusu kivile sijaona alikofeli tale sema mi naona abadili style ya kutembea kila kona na diamond anaonekana kama mbeba bag
Sio majungu mkuu ndio hali halisiMajungu tu
Ni ubahiri tu
Kwani wewe hujaona mtu ana milioni moja mfukoni lakini njiani akikuta shilingi mia anaokota
Wapo wengi kila mmoja na kazi ake wale wakina tale na fela wao soko la ndani ndo kazi yao nje sallam pamoja na collabo kubwa z kimataifa kwa soko la ndan media zote had upite kwa tale na fella ko hawez waachaHivi manager wa Diamond si nasikiaga eti ni Salam au.? Naomba kueleweshwa.
Itakuwa hapa tuna muongelea mond gan kwanza ambae meneja wake n rugeMeneja wa mond ni ruge hao wengine wapo kama vivuli tu