Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha haUmewachokoza wanaume wa Dar,watakuchamba kama gigy money
Mkuu hizo ni stori kma stori zingine,show zote za nje salam ndio mhusika huyo tale hata kuandika email kwa msaanii wa nje kupata kolabo hawezi,pesa anapata ila sio kihivyoNa hiki ndicho kinachofanya diamond asipige hatua za hapo , inabidi achukue maaamuzi magumu ya kuachana na tale bila hivyo itakula kwake kama vile Tip Top connection ilivyokula kwao
Nimependa hii..Nyinyi ndio wale ambao ukiwa katika shida unaoa mwanamke wa kawaida, ila ukizipata tu yule hafai tena unatafuta wanaojua kutembea uchi.
SHILAWADU SHILAWADU. ....Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum
Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond
Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo
Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao
Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua
Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo
View attachment 466186
View attachment 466187
hance mtanashari nilikumiss saaaana nitafute 0713800880 hahahahahaAmini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum
Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond
Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo
Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao
Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua
Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo
View attachment 466186
View attachment 466187
Kwani mond alianza akiwa na pesamkuu kabla hajawa na mondi hakuwa na pesa kiasi hicho
acha umbumbumbu hivi angewezaje kuwa meneja wake kama hajamzidi kipato??Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum
Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond
Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo
Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao
Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua
Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo
View attachment 466186
View attachment 466187
kabla ya kuwa na mond alikuwa utajiri wa kiasi gani???mkuu kabla hajawa na mondi hakuwa na pesa kiasi hicho
Tale mtalaam wa vizizi sana huyo......mtu mpaka kaikimbia tiptop unaleta masihara nini.Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum