Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum

Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond

Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo. Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao

Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua

Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo

View attachment 466186
View attachment 466187
Tatizo letu watanzania tulisha zoea kuviona vya kale ni vya nini hata kama ndivyo vilivyotufikisha hapo tulipo,Binafsi sidhani kama Huyo Mond atakubaliana na ushauri wako coz walikotoka wanajuana wao wewe umekuja kwajua Mara baada ya kufikia hatua hiyo waliyofikia.

In short acha wivu wa kike.
 
Leta statistics usilete hoja bila vigezo fafanua Kila kitu tukuelewe
 
hapana siombi kazi ,ila ni shabiki wa kutupwa wa diamond hivyo naona kama ananywonywa vile na mimi kama shabiki kukaa kimyaa siwezi
Yaani unaona kama ....khaaa yaani unapenda mpka unakuwa hovyo kabisa
 
Tatizo letu watanzania tulisha zoea kuviona vya kale ni vya nini hata kama ndivyo vilivyotufikisha hapo tulipo,Binafsi sidhani kama Huyo Mond atakubaliana na ushauri wako coz walikotoka wanajuana wao wewe umekuja kwajua Mara baada ya kufikia hatua hiyo waliyofikia.

In short acha wivu wa kike.
haya umesomeka mkuu
 
Mgawanyo wa mameneja wa diamond uko hivi:
1. Sallam sk - anashughulikia ishu za kimataifa, kwa mfano show za nje ya nchi, promo ya nyimbo nje ya mipaka ya Tanzania na kuhakikisha inapenya nje, collabo za diamond za kimataifa nk.

2. Babu Tale na Mkubwa Fela - hawa ni watu muhimu sana ambao wana uzoefu mkubwa sana na mambo ya ku-manage wasanii ndani ya nchi, na kushugilikia ishu za ndani, kwa njia za halali mpaka kifitna (Hawa watu fitna wanazijua kweli).

Tale na Fela walianza na mond toka kitambo, na wamechangia kwa namna ya pekee ku-mbrand Diamond nchini, na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa. Baadae ndo wakakutana na Sallam mwenye connections nyingi nje ya nchi, na ndie aliefanikisha kolabo na davido, na umeneja kwa mond ukaanzia hapo.

Kwa kumalizia hawa ma-manager watatu kila mmoja ana nafasi yake na umuhimu wake, na diamond anajua hilo. Usidhani wewe shabiki ndo unajua kinachoendelea zaidi ya msanii mwenyewe

Kwa kuongezea tu sio kitu cha ajabu kwa babu tale au mkubwa fela kua na pesa chafu kuliko mond (kama ni kweli anyways), kinacho-matter ni je wanapiga kazi wanayotakiwa kufanya. last time i checked matunda ya kazi yao yanaonekana, na mond anajua umuhimu wao ndo maana yupo nao mpaka leo
 
Acha chuki na wivu,deal na maisha yako asee
 
Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum

Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond

Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo. Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao

Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua

Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo

View attachment 466186
View attachment 466187
Sawa Tiffa rapper tumekuelewa.
 
UNAONEKANA UMEUMIA SANA MKUU , TAFTA HELA WEWE BOYA ACHANA NA HAO
 
yan umekurupuka tu kama umetoka chooni mjomba....taratibu bhana.

haya tupe uthibitisho wa kwamba anafedha nyingi kuliko diamond kama unavosema kwanza!!!
 
Back
Top Bottom