Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

kikikiki walah nilikuwa nakutafuta juzi nikakukosa humu nikaangalia insta kwa tunda nikakukosa aghrrr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

usinitafutie ban bhana

ni avatar tu hii imefanana

Tena ngoja nibadilishe kabla hawa mabwana hawajanichukulia hatua za kinidhamu
 
Una uhakika gani kama pesa zao ni za kuimba na kufanya disco?
 
huu ndio ukweli... kwa mtu anaeijua biashara ya burudani.. unagundua kabisa nyuma ya diamond kuna genious mkubwa san na kwa tanzania ni ruge tu...

hao kina salam sijui babu tale hawana management skills za kumfikisha diamond alipofika sasa

Meneja wa mond ni ruge hao wengine wapo kama vivuli tu
 
Uchawi siyo mpaka uruke angani,na hii roho ni ya kichawi kabisa
 
Watanzania kwa majungu kila sehemu mmejaa wivu..ujinga..chuki ...kiroho cha husda acheni wivu acheni majungu...maofisni hivyo hivyo kila pahala majuuunguuu....mnakera sana nyie mijitu
Duuuu! Broo hili la maofisini limenigusa kabisa ndo maana nataka kuacha kazi kabisa ....hizi ngozi nyeusi hizi zinamatatizo sana aseee
Tatizo mashabiki wa diamond mnaushabiki unaovuka mipaka diamond tumemjua sababu ya muziki mambo mengine hayatuhusu kivile sijaona alikofeli tale sema mi naona abadili style ya kutembea kila kona na diamond anaonekana kama mbeba bag
 
Sitaki kuamini kama unakaa na kuanza kupoteza Muda wako kuandika mambo haya mambo hayakuhusu kabisa! Acha ukike fanya kazi au fikiria mambo yenye tija kwa jamii acha kuwaza Utumbo.
 
Inawezekana kwenye mgao Diamond anachukua asilimia kubwa lakini mkumbuke Diamond ana matumizi makubwa, ukoo mzima anaulea yeye ukijumliza na boss lady ndo kabisa
 
Yale yale tunayokataa siku zote kwani Babu kuwa na pesa kunamfanya Mondi awe hana pesa? Ndio nyinyi msiotaka wenzenu waendelee kwa fikra wakiendelea wenzenu ninyi mtakuwa hamna maendeleo hizi ni fikri dhaifu mno. Una jua kwa nini Babu Tale yuko na Mondi au unajua anamchango gani kumfikisha Mondi aliko?

Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum

Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo

Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond


Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo


Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao


Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua


Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo




View attachment 466186



View attachment 466187
 
Hao watu bzness wanaoifanya ni wenyewe wanaijua so ww kuwa mbali nao
 
Sitaki kuamini kama unakaa na kuanza kupoteza Muda wako kuandika mambo haya mambo hayakuhusu kabisa! Acha ukike fanya kazi au fikiria mambo yenye tija kwa jamii acha kuwaza Utumbo.
Unajua upo jukwaa gani?
 
Back
Top Bottom