Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #81
Muu eehhance mtanashari nilikumiss saaaana nitafute 0713800880 hahahahaha
Mimi sio hance bhana
Ni avatar tu hiyo imefanana
Mm ni mgeni humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muu eehhance mtanashari nilikumiss saaaana nitafute 0713800880 hahahahaha
Muu eeh hii namba haipo what's uphance mtanashari nilikumiss saaaana nitafute 0713800880 hahahahaha
kikikiki walah nilikuwa nakutafuta juzi nikakukosa humu nikaangalia insta kwa tunda nikakukosa aghrrrMuu eeh hii namba haipo what's up
na miandiko inafanana ? usinibanie bhana nakupenda gaMuu eeh
Mimi sio hance bhana
Ni avatar tu hiyo imefanana
Mm ni mgeni humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kikikiki walah nilikuwa nakutafuta juzi nikakukosa humu nikaangalia insta kwa tunda nikakukosa aghrrr
Umenipa namba ya bajaji muuna miandiko inafanana ? usinibanie bhana nakupenda ga
Meneja wa mond ni ruge hao wengine wapo kama vivuli tu
Duuuu! Broo hili la maofisini limenigusa kabisa ndo maana nataka kuacha kazi kabisa ....hizi ngozi nyeusi hizi zinamatatizo sana aseeeWatanzania kwa majungu kila sehemu mmejaa wivu..ujinga..chuki ...kiroho cha husda acheni wivu acheni majungu...maofisni hivyo hivyo kila pahala majuuunguuu....mnakera sana nyie mijitu
Tatizo mashabiki wa diamond mnaushabiki unaovuka mipaka diamond tumemjua sababu ya muziki mambo mengine hayatuhusu kivile sijaona alikofeli tale sema mi naona abadili style ya kutembea kila kona na diamond anaonekana kama mbeba bag
Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum
Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond
Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo
Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao
Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua
Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo
View attachment 466186
View attachment 466187
Meneja wa mond ni ruge hao wengine wapo kama vivuli tu
Ww umejuaje kiasi cha hela na utajiri wakemkuu kabla hajawa na mondi hakuwa na pesa kiasi hicho
Unajua upo jukwaa gani?Sitaki kuamini kama unakaa na kuanza kupoteza Muda wako kuandika mambo haya mambo hayakuhusu kabisa! Acha ukike fanya kazi au fikiria mambo yenye tija kwa jamii acha kuwaza Utumbo.