Mimi sinywi pombe kabisa lakini kwa experience niliyo nayo wanaume wengi ambao wanakunywa pombe wana roho nzuri kuliko sisi wanywa soda
Ninao ndugu na marafiki wanywaji na wasio kunywa Frank speaking walevi wana roho nzuri wengi sio wanafiki wana roho za kusaidia hapa nadhani na wala mjani ni watu peace saana ni nadra sana kukuta mlevi mwenye roho ngumu
Ukubali au unatae walevi vile vikao vya wanaume baa vinawajenga saana kua gentleman wanaume walevi mara chache saana kumkuta anaendeshwa na mke wake kama mlevi ameoa mwanamke kisirani au mwenye roho mbaya ni rahis saana mlevi kum control huyo mwanamke
Walevi hawana reasoning za ajabu anaweza akakutana na mtu hamjui as long as yupo mbele ya macho yake na ana shida atamsadia tu
Sisi ambao tunajifanya walokole ni wanafiki tuna roho mbaya kusaidia wenzio unaona km hasara mwenzio akipata mchongo unaona nongwa yaan tabu tupu wengi wetu tunaendeshwa na wake zetu kwa kujifanya romantic ujinga mtupu,
Kongole kwa vikao vya baa vina impact kubwa saana kwenye maisha