Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Ulishawahi ona wapi walevi hawachomi nyama .hakuna watu wanakula vizuri kama wanywa biaMlevi hana roho nzuri anaweza kumnunulia mtu pombe za elf 30, lakini mtuhuyo anaemnunulia akisema ananjaa amnunulie ugali wa buku hapati na ofa ya pombe inaishia hapo na anaweza kuhama bar pia.
Anyway,mipia na piga vyombo lakini roho yangu sio nzuri wala mbaya.